AU kuzungumzia migogoro Afrika
Viongozi wa Afrika wanakutana katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa ambapo agenda kuu yao itakuwa swala la mizozo katika Jamhuri ya Afrika ya Kati na Sudan Kusini.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili09 Nov
Viongozi wa Afrika kuzungumzia Usalama
11 years ago
Habarileo29 Mar
‘Migogoro yaathiri Afrika kiuchumi’
IKIWA migogoro inayojitokeza mara kwa mara itaachwa iendelee, kuna uwezekano mkubwa wa bara zima la Afrika kuathirika kiuchumi, imeelezwa. Kauli hiyo imetolewa na Mkufunzi wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC), Profesa Eginald Mihanjo wakati akitoa mada katika mkutano wa vyama vyenye mrengo wa ujamaa, ulioanza jana jijini Dar es Salaam.
10 years ago
MichuziMWAROBAINI WA MIGOGORO YA WAFANYABIASHARA WA AFRIKA MASHARIKI WAPATIKANA
10 years ago
Habarileo11 May
Viongozi Afrika watakiwa kuepusha nchi na migogoro
MWAKILISHI wa Kudumu wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Marekani, Balozi Amina Salum Ally amewataka viongozi wa Afrika kutumia mbinu mbalimbali ili kuziepusha nchi zao na migogoro ya mara kwa mara inayoweza kusababisha uvunjifu wa amani na kudumaa kwa uchumi.
9 years ago
Raia Mwema25 Nov
Kongamano kuzungumzia soka letu
TAIFA Stars imetolewa na Algeria katika kinyang’anyiro cha kutafuta nafasi ya kucheza hatua ya ma
Mwandishi Wetu
9 years ago
Habarileo02 Nov
Kingunge kuzungumzia uchaguzi mkuu
MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale- Mwiru amesema atazungumzia mchakato wa Uchaguzi Mkuu baadaye baada ya kukusanya taarifa za kutosha.
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Chikawe kuzungumzia Bunge la Katiba leo
10 years ago
Habarileo19 Dec
Rais Kikwete kuzungumzia sakata la Escrow
RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kulihutubia taifa leo wakati atakapozungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam.
10 years ago
Mtanzania28 Feb
Prof. Muhongo agoma kuzungumzia urais
NA EVANS MAGEGE
SIKU chache baada ya wazee wa Wilaya ya Musoma, na jana tena baadhi ya viongozi wa mashina na matawi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) jijini Dar es Salaam kumtaka aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, achukue fomu ya kuwania urais, mwanasiasa huyo amesema hataki kujisumbua kuzungumzia mambo ya urais kwa sasa.
Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu katikati ya wiki hii kuhusiana na tamko hilo, Profesa Muhongo, licha ya kukiri wazi kuwa amesikia...