Australia yabadili kauli kuhusu Burka
Australia imebatilisha uamuzi wake ambao unawazuia wanawake wanaovalia Burka kuingia bungeni mjini Canberra.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uY3PJt2fxPwRDIGWEl4gKdgVDDiMfhapgOIQDzeGPz5OM5wprYJ2nonnVtC8JxFGZNwDxjhDyWHjMQkvxNX5LQHOCToZbeOR/dc.jpg)
KAULI YA DC KUHUSU KONDOMU YAZUA TAFRANI
Na Dustan Shekidele, Morogoro MKUU wa Wilaya ya Mvomero (DC), Antony Mtaka amezusha tafrani na kulalamikiwa na baadhi ya wanachama wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT), wilayani humo baada ya kutoa kauli kwamba wasikubali kutumika kama kondomu ama tambara la deki wakati wa chaguzi mbalimbali. Mkuu wa Wilaya ya Mvomero (DC), Antony Mtaka. Wakizungumza na wandishi wa habari mjini hapa, wanachama hao ambao hawakupenda...
11 years ago
BBCSwahili12 May
Kauli ya Zitto Kabwe kuhusu katiba TZ
Nchini Tanzania, hivi karibuni kulikuwa na mvutano mkubwa kule Dodoma katika Bunge maalum la Katiba, wakati wa kujadili rasimu ya katiba mpya.
10 years ago
BBCSwahili28 Aug
Waasi wabadili kauli kuhusu makubaliano
Waasi wa Sudan Kusini wamebadilisha kauli na kukataa makubaliano yaliyotiwa saini hivi karibuni ya kugawana madaraka
10 years ago
BBCSwahili26 Nov
Kauli ya Bi Maria Nyerere kuhusu Escrow
Mjane wa hayati Julius Nyerere, Maria Nyerere Tanzania amezungumzia sakata ya ufisadi ya Escrow. Je kauli yake ilikuwa nini?
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://2.bp.blogspot.com/-BNG1OSkOxig/VkPx5It3OsI/AAAAAAAAXFY/yx9sXXs3KDw/s72-c/eu-page-001.jpg)
10 years ago
BBCSwahili24 Sep
Jeshi labadili kauli kuhusu wanafunzi
Jeshi la Nigeria limekanusha taarifa ya awali kuwa baadhi ya wanafunzi wa shule waliotekwa nyara na Boko Haram, wameachiliwa.
10 years ago
Mwananchi08 Feb
Kauli ya Obama kuhusu Ukristo yazua kizaazaa
Kauli ya Rais Barack Obama ya kuwataka Wakristo kujua kuwa Uislamu si dini pekee inayohusishwa na vurugu na mauaji, imezua kizaazaa duniani na baadhi wameanza kuhoji kama kiongozi huyo wa kwanza mweusi wa Marekani ni Mkristo.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NFpLPbeZNYDfIOh8pUWsaizlXUsTSe*yfo8voTH28ylI*ylP2SDDPESTNmH-I3JgVFNv0uayjlXBjf3DyZBYxvRcn6SK4Klh/mnyika2.jpg)
KAULI KUHUSU UONGO WA WAZIRI PROFESA MUHONGO
Waziri Kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika (Mb). Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ametoa kauli za uongo kwa nyakati mbalimbali mwaka 2012 na 2013 ndani na nje ya Bunge kuhusu utafiti na uendelezaji wa gesi asilia. Waziri Muhongo alijibu uongo kwamba hafanyi kazi kwa vyombo vya habari nilipohoji kuhusu utekelezaji wa maazimio ya Bunge ya kuanzia Novemba 2011 ya kushughulikia ufisadi uliothibitika katika...
11 years ago
GPLKAULI YA AWALI KUHUSU ONGEZEKO LA BEI ZA UMEME
Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), katika kikao chake cha tarehe 10 Desemba 2013 pamoja na mambo mengine, ilitoa maamuzi ya ongezeko la bei za umeme kwa viwango mbalimbali kwa makundi mbalimbali ya wateja hatua ambayo itaongeza mzigo wa gharama za maisha kwa wananchi na itaathiri uchumi wa nchi. Maamuzi hayo yamefikiwa kufuatia tarehe 11 Oktoba 2013, Shirika la Umeme Tanzania...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania