Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jeshi labadili kauli kuhusu wanafunzi

Jeshi la Nigeria limekanusha taarifa ya awali kuwa baadhi ya wanafunzi wa shule waliotekwa nyara na Boko Haram, wameachiliwa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Boko Haram labadili nia kuhusu wasichana

Wasichana waliotekwa nyara nchini Nigeria wanazuiliwa nje ya taifa hilo katika kambi tatu tofauti asema kiongozi mmoja wa kidini

 

11 years ago

GPL

KAULI YA DC KUHUSU KONDOMU YAZUA TAFRANI

Na Dustan Shekidele, Morogoro MKUU wa Wilaya ya Mvomero (DC), Antony Mtaka amezusha tafrani na kulalamikiwa na baadhi ya wanachama wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT),  wilayani humo baada ya kutoa kauli kwamba wasikubali kutumika kama kondomu ama tambara la deki wakati wa chaguzi mbalimbali. Mkuu wa Wilaya ya Mvomero (DC), Antony Mtaka. Wakizungumza na wandishi wa habari mjini hapa,  wanachama hao ambao hawakupenda...

 

10 years ago

BBCSwahili

Australia yabadili kauli kuhusu Burka

Australia imebatilisha uamuzi wake ambao unawazuia wanawake wanaovalia Burka kuingia bungeni mjini Canberra.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waasi wabadili kauli kuhusu makubaliano

Waasi wa Sudan Kusini wamebadilisha kauli na kukataa makubaliano yaliyotiwa saini hivi karibuni ya kugawana madaraka

 

10 years ago

BBCSwahili

Kauli ya Bi Maria Nyerere kuhusu Escrow

Mjane wa hayati Julius Nyerere, Maria Nyerere Tanzania amezungumzia sakata ya ufisadi ya Escrow. Je kauli yake ilikuwa nini?

 

11 years ago

BBCSwahili

Kauli ya Zitto Kabwe kuhusu katiba TZ

Nchini Tanzania, hivi karibuni kulikuwa na mvutano mkubwa kule Dodoma katika Bunge maalum la Katiba, wakati wa kujadili rasimu ya katiba mpya.

 

11 years ago

GPL

KAULI KUHUSU UONGO WA WAZIRI PROFESA MUHONGO

Waziri Kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika (Mb). Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ametoa kauli za uongo kwa nyakati mbalimbali mwaka 2012 na 2013 ndani na nje ya Bunge kuhusu utafiti na uendelezaji wa gesi asilia. Waziri Muhongo alijibu uongo kwamba hafanyi kazi kwa vyombo vya habari nilipohoji kuhusu utekelezaji wa maazimio ya Bunge ya kuanzia Novemba 2011 ya kushughulikia ufisadi uliothibitika katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani