AY awakumbuka Ngwair na Langa kwenye ‘Sijakusahau ya Crème De La Crème
Ambwene Yessayah aka AY hajawasahau Albert Mangwair na Langa Kileo.
Kupitia wimbo wa DJ wa Kenya, Crème De La Crème ‘Sijakusahau’ hitmaker huyo wa Zigo amewakumbuka rappers hao waliotangulia mbele ya haki.
“Naiona sura ya Ngwair na Langa (Tazama anga), Nakumbuka tuliyopanga lakini Mungu alipanga pia, tuliongazana wengine wakadisappear, daima uzuri umenitanda na moyoni nawalilia,” anarap AY.
Ngwair alifariki May 28, 2013 na Langa June 13, 2013.
Pia AY amewakumbuka wazazi wake kwenye wimbo...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo503 Nov
Mkanda wa ngono wa DJ anayeheshimika zaidi Kenya, Crème De La Crème wavuja mtandaoni,
![resize](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/resize-94x94.jpg)
9 years ago
Bongo504 Nov
DJ Crème De La Crème wa Kenya ajitokeza na kuomba msamaha baada ya mkanda wake wa ngono kuvuja
![creme (1)](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/creme-1-300x194.jpg)
Baada ya kukumbwa na skendo kubwa ya kusambaa mtandaoni kwa mkanda wa ngono, DJ Crème De La Crème wa Kenya amevunja ukimya na kujitokeza kuzungumzia swala hilo pamoja na kuomba msamaha.
DJ huyo maarufu na aliyekuwa akiheshimika, ametumia akaunti yake ya Instagram kuomba msamaha kwa kile kilichotokea.
Crème ambaye ni baba wa watoto wawili ameomba msamaha watu mbalimbali, ikiwemo familia yake, msichana aliyehusika naye kwenye mkanda huo aitwaye Halima, mashabiki wake pamoja na marafiki...
11 years ago
CloudsFM17 Jun
Wimbo mpya wa Langa aliomshirikisha Julio & Langa
Ni mwaka mmoja tangu kifo cha rapper Langa, imefahamika kuwa siku 5 kabla ya kufariki kwakealiweza kumalizia ngoma yake ya mwisho iliyokuwa inahusiana na maisha yake. Na ndio siku waliokutana na Julio Batalia aliyekuwa mshiriki wa BBA 2012 na kufikia hatua ya kumaliza kipande chao na kumsubiria TID ambaye mwaka 2013 siku hiyo alikuwa Uingereza na ilikuwa ombi lake la mwisho kwamba kwenye ngoma yake hiyo alikuwa anataka kumsikia mnyama TID angefanya nini kwenye chorus. Pata ngoma hii ambayo...
10 years ago
BBCSwahili18 Nov
BBC kutangaza fainali za Langa langa
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
Ilikotokea, ilipo Zaiko Langa Langa
UKITAKA kuuzungumzia muziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, huwezi kumaliza pasipo kuwataja Zaiko Langa Langa, bendi ya dansi inayoongozwa na Nyoka Longo. Zaiko wamekuwa maarufu na kuendeleza umaarufu wao...
10 years ago
BBCSwahili03 Feb
Langa langa yazindua magari mapya
10 years ago
BBCSwahili03 Nov
Hamilton amshinda Rosberg,Langa Langa
9 years ago
Bongo522 Sep
Black Rhino asimulia jinsi collabo ya Chagua Moja ya Fid Q, Langa na Adili ilivyowaweka kwenye ushindani wa kutaka kufunikana