Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AY: Wazungu wamenitibulia sapraizi

Ambwene Yesaya (2)Ambwene Yesaya ‘AY ‘.

Gabriel ng’osha
Hii nayo kali! Unajua AY na ngoma yake iitwayo Zigo, sasa basi jamaa alifanya remix ya wimbo huo akimshirikisha Diamond kisha kutaka kufanya sapraizi kwa Wabongo.

Unajua kilichotokea? Unaambiwa Wazungu ambao ndiyo waliotengeneza kichupa cha wimbo huo wakawapiga picha kisha kuziachia mtandaoni, kitendo kilichotibua kila kitu.

“Nilitaka kufanya sapraizi kwa kufanya video ya wimbo huo kwa siri kisha kuja kuiachia kwa kuwashtukiza. Kumbe bwana Wazungu...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MONALISA AMWANDALIA TYSON SAPRAIZI

Stori: Chande Abdallah STAA wa Bongo Movie, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ amefunguka kuwa bado anamkumbuka sana aliyewahi kuwa mumewe, marehemu George Tyson hivyo atafanya kitu kwa ajili ya kumuenzi. Staa wa Bongo Movie, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Akizungumza na mwandishi wetu siku ya Arobaini ya Tyson, Monalisa alisema daima ataendelea kumkumbuka na kumuombea Tyson na ameona kuna umuhimu wa kufanya kitu...

 

9 years ago

GPL

VAN VICKER KUMFANYIA SAPRAIZI WEMA


Wema Sepetu ‘Madam’, akiwa na muigizaji wa Ghana, Van Vicker. Stori:melda Mtema ZIKIWA zimesalia wiki kadhaa kabla ya kufanyika kwa sherehe ya bethidei ya muigizaji Wema Sepetu ‘Madam’, muigizaji wa Ghana, Van Vicker amesema amemuandalia zawadi ya ‘sapraizi’ mrembo huyo katika sherehe yake hiyo muhimu.
Akifunguka hayo kupitia katika akaunti yake ya Instagram, Van alimtakia Wema heri ya siku yake ya kuzaliwa kisha...

 

11 years ago

GPL

Loga: Nitasajili Wazungu

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Hans Mloli
MCHAKAMCHAKA wa kuhakikisha Simba inafanya vema msimu ujao na kurudisha hadhi ya timu hiyo ambayo imekuwa ikiyumba, mpango wa kuongeza wachezaji wenye kiwango cha juu unafanyika ambapo kuna mpango wa kusajili wachezaji kutoka nchini Croatia. Akizungumza na Championi Jumamosi, Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, raia wa Croatia amesema yupo kwenye maandalizi ya usajili...

 

11 years ago

GPL

Wazungu wamvamia Mrundi wa Simba

Amissi Cedric. Na Mwandishi Wetu
WAKATI Simba imeshaanza harakati za kumnasa Amissi Cedric ili ajiunge nayo msimu ujao, kuna taarifa timu za Ubelgiji na Ulaya Mashariki zimeanza mipango ya kumnasa. Cedric, raia wa Burundi, anayekipiga katika kikosi cha Rayon Sports ya Rwanda, amekuwa kivutio kwa Simba tangu msimu uliopita na siku chache zilizopita ilifanya naye mazungumzo baada ya kuja nchi akiwa na timu yake ya taifa ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mugabe awafukuza wakulima wazungu

Rais Robert Mugabe, amewataka wakulima wazungu waliosalia nchini humo kuondoka na kuwaachia mashamba wazalendo wa nchi hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

‘Wazungu wa unga’ wanolewa panga

Siku za wauza unga sasa zinahesabika baada ya Tume ya Kudhibiti Dawa za Kulevya kuvunjwa rasmi na chombo kingine kitakachokuwa na mamlaka ya kuchunguza, kukamata, kupekua, kuteketeza na kuwapeleka mahakama kikitarajiwa kuundwa hivi karibuni.

 

9 years ago

TheCitizen

Lessons from Beijing athletes and the ‘Wazungu’ line

One thing I have come to appreciate in Wazungu is their culture of learning from mistakes. These people evolve constantly because they have a culture of evaluating and appraising.

 

10 years ago

GPL

WAZUNGU WAMPA OKWI MSHAHARA WA SAMATTA

Emmanuel Okwi akikabidhiwa jezi na mmoja viongozi wa juu wa timu ya Sonderjyske Fodbold ya nchini Denmark. Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KLABU ya Daraja la Kwanza ya Sonderjyske Fodbold ya nchini Denmark, imemnasa mshambuliaji Emmanuel Okwi na kumpa mkataba wa miaka mitano. Pamoja na dau la usajili kuonekana ni siri, lakini Okwi atakuwa akilamba mshahara wa dola 10,000 (Sh milioni 20) kwa mwezi. Kiasi hicho cha mshahara...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwanini Wazungu wanaomtukuza Kikwete walimchukia Nyerere?

SEPTEMBA 20 mwaka jana, Rais Jakaya Kikwete alitunukiwa shahada ya uzamivu ya udaktari wa sheria na Chuo Kikuu cha Guelph cha nchini Canada. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani