Azam yaichimba mkwara Simba
KOCHA Mkuu wa timu ya Azam FC, Stewart Hall, amesema kikosi chake kipo tayari kwa mapambano na kwamba kinaweza kuifunga timu yoyote itakayotokea mbele yake. Hall ametoa kauli hiyo zikiwa zimebakia siku chache kabla ya Azam kuvaana na Simba Jumamosi katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi18 May
Kamati Simba yachimba Mkwara
9 years ago
Habarileo08 Nov
Kipa Simba achimba mkwara Ligi Kuu
KIPA wa kimataifa wa Simba, Vicent Angban, amesema kama ataendelea kupangwa kuidakia timu hiyo kwenye mechi za Ligi Kuu ya Tanzania bara ana uhakika wa kubeba tuzo ya kipa bora msimu huu kwa kua hajaona mshambuliaji wa kumhofia.
10 years ago
MichuziSimba yaifunga Azam FC 2-1
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
9 years ago
Mtanzania28 Nov
Azam yaitisha Simba
NA ZAINAB IDDY
TIMU ya Azam FC imewatangazia hali ya hatari Simba katika mechi yao ya Ligi Kuu Tanzania Bara, itakayochezwa Desemba 12 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Azam imetamba kuinyuka Simba katika mchezo huo, ambapo hadi sasa vinara hao wa ligi kuu wamefikisha pointi 25, wapinzani wao hao wakishika nafasi ya nne wakiwa na pointi 21 katika mechi tisa walizocheza kila mmoja.
Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi, Ofisa Habari wa Azam, Jaffar Idd, alisema maandalizi yao kwa...
9 years ago
Habarileo01 Dec
Azam wafuata makali ya Simba
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Azam FC wanaondoka kesho Jumatano kwenda Tanga kwa ajili ya kusaka makali ya kuiua Simba. Azam inatarajia kucheza na wekundu hao wa Msimbazi Desemba 12, mwaka huu katika mchezo wa ligi utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
9 years ago
Habarileo08 Dec
Azam kamili kuikabili Simba
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC imerejea salama jijini Dar es Salaam juzi na jana waliingia kambini mchana kujiwinda na mchezo wake ujao wa Ligi Kuu dhidi ya Simba utakaochezwa Desemba 12, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi29 Sep
Azam, City zapeta, Simba mh!
9 years ago
Habarileo06 Dec
Azam kamili kuivaa Simba
WACHEZAJI wa Azam FC wamesema mafunzo wanayopewa katika kambi yao ya Tanga yanatosha kuwamaliza wapinzani wao Simba Jumamosi wiki ijayo.
10 years ago
TheCitizen04 May
Simba pile pressure on Azam