Babi aukwaa unahodha
Kiungo wa Kimataifa wa Tanzania, Abdi Kassim ‘Babi’ amelamba dume baada ya kuteuliwa kuwa nahodha katika klabu yake ya UITM.FC.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi31 Jul
Rio: Rooney apewe unahodha
11 years ago
Mwananchi08 Aug
Babi aibukia mazoezini Yanga SC
11 years ago
Mwananchi17 Dec
Kassim ‘Babi’ atua Malaysia, Bahanuzi njiani kumfuata
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EiPRnn58uVmronSgXiG0aPL2NPHhQ92*zUoFIPmUf4WNp9v-gROLX3naVKIPCplXAvHXMX08orboEEnDIcER1D*K7r9RHiRw/1.jpg?width=650)
STEVE NYERERE AUKWAA UKAMANDA CCM
9 years ago
Habarileo13 Dec
Mwenyekiti MRFA aukwaa umeya Moro
WAJUMBE wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, wamemchagua Diwani wa Kata ya Mazimbu Pascal Kihanga (CCM) kuwa Meya mpya wa Manispaa hiyo hadi mwaka 2020.
9 years ago
Bongo504 Jan
Chris Brown aukwaa msala mwingine tena
![Chris-Brown-PNG](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/08/Chris-Brown-PNG-300x194.png)
Chris Brown ni mtuhumiwa wa kumpiga na kumjeruhi mtu pamoja na wizi uliotokea Jumamosi iliyopita kwenye kiota cha Palms Casino Resort, jijini Las Vegas.
Polisi wanadaiwa kuitwa hapo asubuhi na walimkuta mwanamke aliyekuwa na majereha mwilini mwake kufuatia kupigwa.
Kwa mujibu wa The Hollywood Reporter, mwanamke huyo anadai kupigwa na Chris Brown baada ya kuchukua simu yake kupiga naye picha. Anadai kuwa muimbaji huyo alichukua simu yake.
Mwakilishi wa Brown alidai kuwa tuhuma hizo si za...
10 years ago
Bongo Movies27 Apr
Wema Azidi Kung’ara, Aukwaa Ubalozi Tena
Mrembo wa Tanzania, muigizaji na mjasiriamali Wema Sepetu, Amesign makubaliano ya kuwa Balozi wa Hospital ya Kimataifa ya macho Iliyopo Ali hassan mwinyi Road katika jengo la Tropical House.....
Mkataba huu ni wa mwaka mmoja.. Wema amehaidi kuwa balozi wa hospitali hiyo iliyokuja na mitambo mpya ambayo itawezesha vijana wenye umri chini ya miaka 35 wanaotumia miwani kuacha kabisa utumiaji wa miwani kwakuwa wanauwezo wa kuondoa swala la uvaaji miwani kwa vijana.
By Martin Kadinda, Meneja wa...