Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kassim ‘Babi’ atua Malaysia, Bahanuzi njiani kumfuata

Kiungo Abdi Kasim ‘Babi’ amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea klabu ya UITM.FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Malaysia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Waziri Mkuu mteule ni Kassim Majaliwa Kassim!

BRAEKI

kasim

Kassim Majaliwa

Tayari dakika chache zilizopita kutoka ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dk, John Pombe Magufuli ametuma jina la Waziri Mkuu,  ambaye  ni Kassim Majaliwa aliyekuwa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

Jina hilo limefikishwa kwa mbwembwe likiwa ndani ya bahasha tatu huku likiwa limeandikwa kwa mkono. Kwa hatua hiyo sasa  Bunge limeenda mapumziko na dakika chache kutoka sasa litarejea kwa ajili ya kupigia kura na wabunge...

 

11 years ago

Mwananchi

Babi aukwaa unahodha

Kiungo wa Kimataifa wa Tanzania, Abdi Kassim ‘Babi’ amelamba dume baada ya kuteuliwa kuwa nahodha katika klabu yake ya UITM.FC.

 

11 years ago

Mwananchi

Babi aibukia mazoezini Yanga SC

>Kiungo wa zamani wa Yanga, Abdi Kassim ‘Babi’ ameibukia kwenye mazoezi ya timu hiyo jana yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Loyola, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

Ubalozi wa Tanzania Malaysia wakutana na wafanyabiashara wa Malaysia (MEXPA)

Ubalozi wa Tanzania leo hii ulikutana na kufanya Manzungumzo ya pamoja kuangalia fursa za Kiuchumi zilizipo Tanzania na na kikundi na uongozi wa Malaysian Exporters Association.(MEXPA) Kwenye picha ya pamoja baada ya mazungumzo hayo kutoka kushoto ni: Mr. Rogathian Shao,  Naibu Mkurugenzi na Balozi Mdogo, Dr. S. P.Dhanabalan Makamu wa Rais wa Kuala Lumpur & Selangor Indian Chamber of Commerce and Industry, Ms. Puan severan Dhalliwal- Makamu wa Rais wa MEXPA, Mr. Abdul Kabur Ibrahim-Rais...

 

11 years ago

GPL

PICHA SI ZA MABAKI YA NDEGE YA MALAYSIA - MAOFISA WA MALAYSIA

Waziri wa ulinzi Hishammuddin Hussein (katikati) akikanusha madai ya ndege kukaa masaa manne hewani kabla ya kupotea.…

 

10 years ago

Mtanzania

Bahanuzi amwonyesha Dida

Said Bahanuzi

Said Bahanuzi

Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Said Bahanuzi, ameendeleza kuonesha cheche zake za kurejea kwenye moto wake wa mwaka juzi, kwani jana alimuonesha cha moto kipa wa timu hiyo, Deogratius Munishi ‘Dida’.

Bahanuzi alimpigia mashuti makali Dida, ambayo alishindwa kuyadaka, huku mawili kati ya hayo yakigonga mwamba wa juu na kujaa wavuni, jambo ambalo liliamsha hisia za mashabiki wa Yanga na kumsifia.

Mashabiki hao waliokuwa wakichungulia mazoezi ya Yanga kwa nje sambamba na MTANZANIA...

 

9 years ago

Habarileo

Bahanuzi, Javu moto Mtibwa

WASHAMBULIAJI Said Bahanuzi na Hussein Javu wanatarajiwa kuwa mwiba mchungu kwa timu pinzani kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2015-2016 inayotarajiwa kuanza kesho, kwa mujibu wa kocha Mecky Maxime.

 

10 years ago

Mwananchi

Bahanuzi, Omega hao Ndanda

Nyota wa Yanga, Said Bahanuzi, Omega Seme na Hamisi Thabit wako mbioni kutua Ndanda FC kwa mkopo.

 

11 years ago

GPL

SIKU YA 17 KUPOTEA NDEGE YA MALAYSIA: NDEGE YA MALAYSIA ILIRUKA CHINI YA FUTI 12,000

Naibu Waziri Mkuu wa Malaysia, Warren Truss, kulia, akizungumza na ofisa wa juu ya kikosi cha uokoaji na mratibu wa operesheni ya kuitafuta ndege iliyopotea, John Rice. Wataalamu wa Rada wakiwa wamepigwa picha ndani ya ndege ya Kijeshi ya New Zealand wakiwa katika msako wa chombo hicho kilichopotea Kusini mwa bahari ya…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani