Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bahanuzi, Javu moto Mtibwa

WASHAMBULIAJI Said Bahanuzi na Hussein Javu wanatarajiwa kuwa mwiba mchungu kwa timu pinzani kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2015-2016 inayotarajiwa kuanza kesho, kwa mujibu wa kocha Mecky Maxime.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa

Mchezo wa pili wa Kundi B wa michuano ya Mapinduzi 2016 ulichezwa usiku wa January 3 kwa kuzikutanisha klabu za Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC. Huu ni mchezo ambao ulimalizika kwa sare ya goli 1-1, baada ya Azam FC kusawazisha goli, lakini pia kuna goli lilifungwa na Mtibwa Sugar lilikataliwa na muamuzi na kuleta […]

The post Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Mtanzania

Bahanuzi amwonyesha Dida

Said Bahanuzi

Said Bahanuzi

Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Said Bahanuzi, ameendeleza kuonesha cheche zake za kurejea kwenye moto wake wa mwaka juzi, kwani jana alimuonesha cha moto kipa wa timu hiyo, Deogratius Munishi ‘Dida’.

Bahanuzi alimpigia mashuti makali Dida, ambayo alishindwa kuyadaka, huku mawili kati ya hayo yakigonga mwamba wa juu na kujaa wavuni, jambo ambalo liliamsha hisia za mashabiki wa Yanga na kumsifia.

Mashabiki hao waliokuwa wakichungulia mazoezi ya Yanga kwa nje sambamba na MTANZANIA...

 

10 years ago

Mwananchi

Bahanuzi, Omega hao Ndanda

Nyota wa Yanga, Said Bahanuzi, Omega Seme na Hamisi Thabit wako mbioni kutua Ndanda FC kwa mkopo.

 

11 years ago

GPL

Bahanuzi arudi Bongo kama alivyoondoka

Mshambuliaji wa Yanga, Said Bahanuzi. Na Khadija Mngwai
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Said Bahanuzi amemaliza majaribio yake ya wiki moja aliyokwenda kufanya nchini Malaysia katika Klabu za Teregganu na T-Team ambapo amerejea nchini. Bahanuzi aliondoka nchini Alhamisi iliyopita kuelekea nchini humo kwenda kufanya majaribio ya wiki moja kwa ajili ya kucheza soka la kulipwa. Akizungumza na Championi Ijumaa, Msemaji wa Yanga, Baraka...

 

10 years ago

GPL

Bahanuzi ajipeleka Simba, aukataa mkataba wa Yanga

Straika wa Polisi Moro, Said Bahanuzi. Saphyna Mlawa, Dar es Salaam
STRAIKA wa Polisi Moro, Said Bahanuzi ambaye yupo kwenye kiwango kizuri, amefunguka rasmi kuwa, yupo tayari kuichezea Simba ikiwa klabu hiyo itamfuata na kufikia makubaliano naye.Bahanuzi ambaye anaichezea Polisi kwa mkopo akitokea Yanga, amesema kuwa mkataba wake unaelekea mwishoni na kama Simba au klabu nyingine yoyote itakuwa inamhitaji, yupo tayari kufanya...

 

11 years ago

Mwananchi

Kassim ‘Babi’ atua Malaysia, Bahanuzi njiani kumfuata

Kiungo Abdi Kasim ‘Babi’ amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea klabu ya UITM.FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Malaysia.

 

10 years ago

Vijimambo

MAGARI TISA YATEKETEZWA KWA MOTO, NYUMBA 16 ZATIWA MOTO MGOGORO WA ENEO LA MALISHO SIHA

Mabaki ya nyumba yaliyoteketezwa kwa moto na wafugaji wa kimasaii wakidai eneo la malisho yao.(picha: Elias Kija, Siha, Kilimanjaro)Jeshi la Polisi likiwa limeimarisha ulinzi katika kijiji cha Miti-Mirefu wilayani Siha. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiliangalia mojawapo la gari la mwekezaji lililochomwa moto katika eneo la Ndarakwai. Mwekezaji wa eneo la Ndarakwai wilayani Siha mkoani Kilimanjaro Peter Jones akizungumza na wanahabari katika eneo la tukio.Kwa picha na maelezo...

 

11 years ago

Michuzi

utumiaji mbaya wa mitandao wapamba moto, Naura spring hotel yazushiwa kuungua moto, polisi yakanusha

Zile habari zilizosambaa kwenye mitandao  ya kijamii  kuonesha  kwamba hotel ya Naura Spring ya jijini Arusha inawaka moto zilikuwa si za kweli ni watu wametengeza picha hizo ambazo zilikuwa zimeenea kila pembe.Kamanda wa Polisi Arusha Liberatus Sabas ameongea jioni hii na vyombo vya habari na kukanusha habari za hotel hiyo ya kitalii jijini Arusha kwamba iliwaka moto hizo ni picha za kutengeneza hotel ipo salama kabisa kama unavyoona kwenye picha ya juu. Picha ya chini yake ndiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani