Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bahanuzi ajipeleka Simba, aukataa mkataba wa Yanga

Straika wa Polisi Moro, Said Bahanuzi. Saphyna Mlawa, Dar es Salaam
STRAIKA wa Polisi Moro, Said Bahanuzi ambaye yupo kwenye kiwango kizuri, amefunguka rasmi kuwa, yupo tayari kuichezea Simba ikiwa klabu hiyo itamfuata na kufikia makubaliano naye.Bahanuzi ambaye anaichezea Polisi kwa mkopo akitokea Yanga, amesema kuwa mkataba wake unaelekea mwishoni na kama Simba au klabu nyingine yoyote itakuwa inamhitaji, yupo tayari kufanya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Straika aliyeiua Yanga avunja mkataba Simba

Mshambuliaji aliyetokea kukonga mioyo ya mashabiki wa Simba kwa kufumania nyavu, Betram Mwombeki(kushoto). Na Hans Mloli
STRAIKA wa Simba, Betram Mwombeki, amesema kwamba yupo tayari kuvunja mkataba na klabu hiyo endapo ataendelea kusota benchi na kukosa amani kwenye kikosi hicho msimu ujao.
Mwombeki aliyesajiliwa na Simba iliyokuwa chini ya Abdallah Kibadeni msimu uliopita, alikuwa shujaa wa timu hiyo kwenye mechi kadhaa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.

Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.

Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.

Unahisi nani ataibuka kidedea...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

Mkataba wa Simba, Singano

Kiungo wa Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’. Na Mwandishi Wetu
SAKATA kubwa linaloutikisa mpira wa Tanzania sasa ni ule mkataba kati ya kiungo Ramadhani Singano ‘Messi’ na klabu yake ya Simba.Messi anasema mkataba wake unaisha 2015, lakini Simba inasisitiza mkataba wao na Messi unaisha mwaka 2016, jambo ambalo linazua tafrani kubwa. Championi Jumatatu lina kopi ya mikataba yote miwili, ule wa Simba...

 

10 years ago

Habarileo

Simba yaingia mkataba na Majabvi

KLABU ya Simba imemsainisha kiungo mkabaji wa kimataifa kutoka Zimbabwe, Justice Majabvi, mkataba wa miaka miwili wa kuichezea timu hiyo inayojiandaa kushiriki msimu ujao wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara.

 

10 years ago

GPL

SIMBA YAINGIA MKATABA NA EAG

Aveva akizungumza jambo katika hoteli ya Southern Sand kuhusu mkataba na EAG Group. Rais wa Simba, Evans Aveva (wa pili kushoto), Mkurugenzi wa Kampuni ya EAG Group, Iman Kajula (katikati) na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Jasmine Badar Soud wakati wa hafla ya kutangaza mkataba.  Aveva na Kajula.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Simba kujadili mkataba wa Singano

Uongozi wa klabu ya Simba umeagizwa kuanza mazungumzo mapya na mchezaji Ramadhani Singano baada ya mvutano wa mkataba wake.

 

11 years ago

GPL

Logarusic apewa mkataba feki Simba

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Sweetbert Lukonge
AKIWA amebakiza siku chache za kuendelea kuutumikia mkataba wa kuifundisha Simba, kocha wa timu hiyo, Zdravko Logarusic ameweka wazi kuwa hajasaini mkataba wowote na klabu hiyo. Loga raia wa Croatia ameweka wazi kuwa hana mkataba wa ziada wa kuendelea kuifundisha Simba, bali uliopo sasa ni ule unaoisha mwisho wa msimu huu na kusisitiza kuwa wanaosema ameongeza...

 

10 years ago

GPL

MKATABA WA SIMBA NA SINGANO WAVUNJWA NA TFF

Mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi'. LEO sakata la kiungo mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi' lilikuwa linasikilizwa kwenye ofisi za TFF ambapo pandehizo  mbili zilikutana chini ya TFF. Baada ya kikao kirefu muafaka uliofikiwa chini ya TFF  kuvunjwa kwa mikataba yote miwili ambayo inatofautiana. Kikao kimeamua mkataba alionao Messi uvunjwe na mkataba walionao Simba uvunjwe waingie makubaliano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani