Balotelli akemewa kwa kubadilishana jezi
Mkufunzi wa Liverpool amemkumbusha Mario Baloteli kuhusu utamaduni wa soka ya Uingereza na ule wa Liverpool.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili04 Jul
Mwindaji akemewa Facebook
Ukurasa wake wa Facebook umezua hisia kali huku maelfu wakimtaka akome kuwinda barani Afrika.
9 years ago
BBCSwahili13 Oct
Mkuu wa polisi Uganda akemewa
Neno lililo na alama ya reli SomeonetellKayihura linaendelea kutumiwa katika mtandao wa twitter nchini Uganda
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Yyq9zrGrKEi2aQmAM1Kw-Yhz8-bfCN0MjnyWwf4q2Kvt9Kn15GkwgrdeB72RAKPLBsndT-Sf2G1jva3FCMxjXaIFQV6VO7Vr/238550balotelli45.jpg?width=600)
BALOTELLI NDIYE MCHEZAJI ANAYEONGOZA KWA KUBAGULIWA EPL
Mshambuliaji wa Liverpool Mario Balotelli. Mshambuliaji wa Arsenal Danny Welbeck.
Takwimu zimeripotiwa hivi karibuni na Kick it Out, zinaonesha kuwa Mario Balotelli ndiye mchezaji aliyebaguliwa sana katika ligi ya Uingereza, huku mchezaji huyo akipokea zaidi ya ujumbe 8000, asilimia 50 kati ya…
10 years ago
CloudsFM20 Apr
Balotelli ndiye mchezaji anayeongoza kwa kubaguliwa Ligi Kuu ya Uingereza.
Kick it Out wameripoti takwimu hizo za kushtua, ambao walibaini kwamba raia huyo wa Itali (Mario Balotelli) alilengwa sana katika mitandao ya Twitter huku mshambuliaji wa Arsenal Danny Welbeck akipokea ujumbe 1700 asilimia hamsini kati ya hizo zikiwa za...
11 years ago
Mwananchi14 Apr
Jezi za Ronaldo zaongoza kwa mauzo
Jumla ya jezi milioni 1 za mchezaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ziliuzwa msimu wa mwaka 2013/14 na kuzidi jezi za timu nzima ya Bayern Munich ambayo iliuza jezi 880,000.
10 years ago
BBCSwahili10 Apr
Walcott na Sterling kubadilishana timu
Liverpool na Arsenal zinapanga makubaliano ambayo yatazifanya timu hizo mbili kubadilishana wachezaji
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9whBoo1pTWPRztTbChcTq5lCdQzj1hXKOvTpdIt-5EF0jdY2Y9s-n2pWe3kW9BcDPwuLIg*NolUO6KWPtzEq3htHVp7AD2EG/SHAFII.jpg?width=650)
WINGA Mbeya City aitaka jezi ya Simba kwa Sh 45m
Kiungo mshambuliaji wa Mbeya City, Deus Kaseke. Na Wilbert Molandi
KAMA kweli Simba na Yanga zinataka kumsajili kiungo mshambuliaji wa Mbeya City, Deus Kaseke basi zijiandae kuvunja benki na kumlipa daua la shilingi milioni 45 ili ajiunge na moja kati ya timu hizo. Mkataba wa Kaseke na Mbeya City unafikia tamati mwishoni mwa msimu huu, tayari Simba na Yanga zimeshaonyesha nia ya kumsajili Kaseke lakini zilishindwa kuvunja...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-6szd10Sw8T8/Vk2mvIGuAuI/AAAAAAABpUg/lga7ZXRgW00/s72-c/SFDL%2BPIX%2B2.jpg)
STARTIMES YAKABIDHI JEZI KWA TIMU ZA LIGI DARAJA LA KWANZA SFDL
![](http://3.bp.blogspot.com/-6szd10Sw8T8/Vk2mvIGuAuI/AAAAAAABpUg/lga7ZXRgW00/s640/SFDL%2BPIX%2B2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Rs7824QSYGc/Vk2mvNiiqOI/AAAAAAABpUk/xdZddAtcNOM/s640/SFDL%2BPIX%2B3.jpg)
10 years ago
GPLMBUNGE WA ILALA ATOA MSAADA WA JEZI KWA TIMU YA ASHANTI UNITED
Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Hassan Zungu (katikati), akiteta jambo na viongozi wa Ashanti kabla ya kutoa msaada wa jezi kwa timu hiyo.
Zungu (wa pili kulia) akimkabidhi jezi Katibu wa Ashanti United, Haji Bechina, kulia ni msemaji wa timu hiyo, Rajab Marijan na kushoto ni meneja, Frank Manati wakishuhudia.
 Zungu (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kutoa msaada… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania