Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi Mahiga: Al-Shabaab ina Watanzania

BALOZI wa kudumu wa Umoja wa Mataifa, Augustine Mahiga, amesema kuwa amewashuhudia vijana wa Kitanzania wakishirikiana na kundi la kigaidi la Al-Shabaab la nchini Somalia. Mahiga, alitoa ushuhuda huo mjini...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Dk Mahiga abainisha mzizi wa Al Shabaab

>Wakati makundi ya kigaidi ya Al Shabaab na Boko Haram yakiendelea kuitikisa Afrika, Balozi Dk Augustine Mahiga amesema makundi hayo yalianzishwa kwa ajili ya kushambulia Afrika Mashariki, Kaskazini na Magharibi.

 

9 years ago

Mwananchi

Balozi Mahiga akabidhiwa mikoba ya Balozi Mwapachu

Balozi Augustine Mahiga ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), kuziba nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Balozi Juma Mwapachu.     

 

10 years ago

Habarileo

Balozi Mahiga rasmi urais CCM

Balozi Mahiga na mkewe, Elizabeth.MWANADIPLOMASIA maarufu, Balozi Dk Augustine Mahiga ametangaza nia kukiomba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumfikiria na hatimaye kupendekeza ili apate fursa ya kugombea nafasi ya Urais wa Tanzania.

 

5 years ago

CCM Blog

GSM WAMLILIA BALOZI AUGUSTINE MAHIGA

   Mwenyekiti wa Makampuni ya GSM Tanzania Ghalib Said Mohamed ni miongoni mwa wanaomlilia Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Augustine Mahiga aliyefariki leo Dodoma.
Kwenye taarifa iliyotolewa na GSM GROUP, Ghalib amemuelezea Marehemu kama Mtu wa aina yake na mwenye unyenyekevu ambao sio kila mmoja anao.... “Tutakukumbuka kwa upole wako, ukarimu pamoja na unyenyekevu” - Ghalib.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Balozi Mahiga alikuwa hodari tangu shuleni’

Balozi Augustino Mahiga ni miongoni mwa makada wa CCM ambao wamejitokeza kutangaza na kuchukua fomu ya kuomba kuwania nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu ujao kupitia chama hicho tawala.

 

5 years ago

Michuzi

WASIFU WA MAREHEMU BALOZI DKT AUGUSTINE MAHIGA


Dk Augustine Mahiga alizaliwa Agosti 28, 1945 huko Tosamanganga, Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa (atatimiza miaka 75 ifikapo Agosti mwaka huu). Amesoma elimu ya msingi katika shule za Serikali enzi ya mkoloni na alihitimu darasa la VIII muda mfupi baada ya uhuru. Safari ya elimu ya Dk Mahiga ilikuwa ya umaskini uliopitiliza, alishindwa kuendelea na elimu ya sekondari kwa kutokuwa na fedha za kulipia mashuka na mablanketi hadi aliposaidiwa na msamaria mwema kutoka Shirika la Kennedy wakati...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI MAHIGA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
ALIYEKUWA Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa,Dk.  Augustine Mahiga ametangaza nia ya kugombea urais ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), jijini Dar es salaam leo.
Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam, Mahiga amesema maadili yamemomonyoka na kufanya kuwepo kwa rushwa na ufisadi.
Mahiga amesema ubadhirifu na ufisadi katika taifa kunahitajika kuwepo kwa mwelekeo katika kuweza kupambana na vitu hivyo ili...

 

9 years ago

Habarileo

Balozi Mahiga afurahishwa na utulivu alioukuta Burundi

WAZIRI wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Augustino Maiga ameeleza kuridhishwa na hali ya utulivu aliyoikuta Burundi alipofanya ziara ya siku moja nchini humo hivi karibuni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani