Balozi Sefu atamba CCM kuendelea kutawala
Balozi Seif akiwapongeza Viongozi wa CCM Majimbo,Wadi, na Matawi yaliyomo ndani ya Wilaya ya kati kwa kusimamia vyema ujenzi wa ofisi za chama hicho katika maeneo mbali mbali ya Wilaya hiyo.(Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ).
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif akiwasisitiza wana CCM wa matawi na Wadi za Wilaya ya Kati Kujenga Ofisi za chama zitakazoambatana na miradi ya kuichumi ili kuepuka tegemezi alipokuwa katika ziara ya kukagua ujenzi wa ofisi hizo.
Mjumbe wa Kamati Kuu...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog01 Dec
Balozi Sefu Iddi ataka jamii itumie fursa elimu ya juu
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akiwa na Mwenyeji wake Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Dr. Asha-Rose Migiro wakiliongoza Gwaride kulingia kwenye uwanja wa Mahafali ya 26 ya chuo kikuu huria cha Tanzania yaliyofanyika Makamu Makuu yake Bungo Kibaha, Mkoa wa Pwani.
Na Othman Khamis Ame
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewahimiza Watanzania kuitumia fursa inayotolewa na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT) katika kujipatia Taaluma huku wakiendelea na...
11 years ago
Dewji Blog15 Jun
Balozi Sefu Iddi abariki tamasha la 17 la ZIFF 2014 visiwani Zanzibar
Makamu wa Rais wa Pili wa Zanzibar, Balozi Sefu Ali Iddi akisalimiana na baadhi ya wageni alipowasili kwenye ufunguzi wa Tamasha la 17 la ZIFF Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya ZIFF Mh. Mahmoud Thabit Kombo.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).
Mgeni rasmi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Sefu Ali Iddi akisalimiana na Mgeni maalum mwalikwa mwigizaji wa filamu ya MANDELA “Long Walk to Freedom” Terry Pheto ambayo ilifungua tamasha hilo la 17 la ZIFF usiku wa kuamkia leo visiwani...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/DSC_0157.jpg)
BALOZI SEFU IDDI ABARIKI TAMASHA LA 17 LA ZIFF 2014 VISIWANI ZANZIBAR
10 years ago
Raia Mwema25 Jun
CCM Kama Babeli, imepoteza sifa na uhalali wa kutawala
KATI ya mwaka 605- 539 Kabla ya kuzaliwa Kristo (KK) na baada ya baada ya gharika, jambo muhimu l
Fred Mpendazoe
10 years ago
Habarileo08 Jun
Mwenyekiti CCM atamba kumng’oa Mchungaji Msigwa
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu (39) amesema anayo nia na uwezo wa kumuangusha katika Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu, Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini anayemaliza muda wake Mchungaji Peter Msigwa (Chadema).
10 years ago
Mtanzania29 Jan
Malecela atamba CCM kusuluhisha Sudan Kusini
NA PENDO MANGALA, DODOMA
MWANASIASA mkongwe na Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM, John Malecela, amesema kitendo cha chama hicho kuwa mwenyeji katika mkutano wa usuluhishi wa mgogoro wa Sudan Kusini, anaamini ni moja ya mambo yatakayokisogeza mbele.
Malecela aliyekuwa msuluhishi wa mgogoro huo, alitoa kauli hiyo jana mjini hapa, wakati akiwashukuru wanaCCM wa Mkoa wa Dodoma kwa mapokezi makubwa, kwani ni heshima kwake na taifa.
“Kiukweli kazi ile ilikuwa ni ngumu sana kwani kusuluhisha watu...
11 years ago
Mwananchi10 Feb
Mgeja atamba CCM ipo imara hakuna wa kuiyumbisha
10 years ago
Habarileo16 Dec
CCM yashinda viti vyote Monduli, Lowassa atamba
CHAMA Cha Mapinduzi wilayani Monduli imechukua nafasi zote katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, vitongoji na vijiji.
10 years ago
Mtanzania16 Dec
Ni mtikisiko * Ukawa watesa miji mikubwa, ngome za CCM * Lowassa atamba
Na Waandishi Wetu, Dar na mikoani,
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetikiswa na vyama vinavyounda Umoja ya Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwenye matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji.
Katika uchaguzi huo uliofanyika nchini juzi, matokeo yanaonyesha kupanda kwa vyama vya upinzani hasa kwa kushinda maeneo yaliyokuwa yakiongozwa na CCM hali iliyokitikisa vilivyo chama hicho tawala.
Kutangazwa huko kwa matokeo hayo kunakuja baada ya kukamilika kwa uchaguzi huo katika baadhi ya...