Balozi wa zamani Vatican matatani
Vatican imempa kifungo cha nyumbani aliyekuwa balozi wake katika jamuhuri ya Dominica Jozef Wesolowski kwa kuwadhalilisha watoto.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili10 Apr
Vatican yamkataa balozi,kunani?
Mzozo wa kidiplomasia umezuka kati ya makao makuu ya papa mtakatifu ya the Vatican na Ufaransa kuhusiana na uteuzi wa balozi mpya
10 years ago
Vijimambo11 Apr
VATICAN YAMKATAA BALOZI, KUNANI?
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/04/05/150405035055_pope_francis_easter_vigil_640x360_afp.jpg)
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani papa Francis
Mzozo wa kidiplomasia umezuka kati ya makao makuu ya papa mtakatifu ya the Vatican na Ufaransa kuhusiana na uteuzi wa balozi mpya wa Ufaransa, mjini Rome.Rais wa Ufaransa Francois Holland, amempendekeza muumini mmoja wa kanisa hilo ambaye ni mpenzi wa jinsia moja kuwa balozi wake mjini Vatican.Lakini utawala wa Vatican umesema uteuzi huo haukubaliki.Makao makuu ya papa mjini The Vatican hayajasema lolote kuhusiana na uteuzi huo ,lakini ni...
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
Balozi wa mapenzi ya jinsia moja Vatican
Ufaransa imesema kuwa inangojea jibu kutoka kanisa Katoliki kuhusu uajiri wa balozi wa mapenzi ya jinsia moja huko Vatican
9 years ago
MichuziBALOZI WA VATICAN NA MWAKILISHI WA PAPA NCHINI TANZANIA AWASILI MKOANI KAGERA KUFANYA ZIARA YA SIKU SITA
Na Sylvester Raphael Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla atembelea mkoa wa Kagera katika ziara ya kujione shughuli mbalimbali za Kanisa Katoliki mkoani zinavyotekelezwa pia na kutoa Baraka za pamoja kwa wakristo wa kanisa hilo. Balozi Padilla akiwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa Kagera alipowasili kumsalimia aliishukuru serikali ya mkoa wa Kagera kwa kuwaunganisha wananchi wa Kagera bila kujali imani zao ambapo wanafanya shughuli zao kila mmoja...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2N2MZkFA5Qc/VRKc4uMXKtI/AAAAAAAHNGM/pwwoud_4nrY/s72-c/unnamed%2B(30).jpg)
Balozi Kamala aomboleza kifo cha Kiongozi wa zamani wa Singapore
![](http://1.bp.blogspot.com/-2N2MZkFA5Qc/VRKc4uMXKtI/AAAAAAAHNGM/pwwoud_4nrY/s1600/unnamed%2B(30).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ncPtcXp8Ick/U_dpJYwyxpI/AAAAAAAGBes/NPBROruu87A/s72-c/unnamed%2B(27).jpg)
BALOZI KAMALA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA IRELAND
![](http://4.bp.blogspot.com/-ncPtcXp8Ick/U_dpJYwyxpI/AAAAAAAGBes/NPBROruu87A/s1600/unnamed%2B(27).jpg)
10 years ago
VijimamboBALOZI WA ZAMANI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA AFANYA MAZUNGUMUZO NA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI WASHINGTON, DC
5 years ago
BBCSwahili12 Jun
Thomas Thabane: Waziri Mkuu wa zamani wa Lesotho 'alilipa majambazi kumuua mke wake wa zamani''
Stakabadhi zilizowasilishwa mahakamani na polisi zanaelezea jinsi Thomas Thabane alivyohusika na mauaji hayo.
11 years ago
BBCSwahili11 Jul
Kombe la dunia katika Vatican ?
Papa Francis na Papa Benedict kushabikia fainali ya kombe la dunia ?
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania