Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vatican yamkataa balozi,kunani?

Mzozo wa kidiplomasia umezuka kati ya makao makuu ya papa mtakatifu ya the Vatican na Ufaransa kuhusiana na uteuzi wa balozi mpya

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

VATICAN YAMKATAA BALOZI, KUNANI?


Kiongozi wa kanisa katoliki duniani papa Francis
Mzozo wa kidiplomasia umezuka kati ya makao makuu ya papa mtakatifu ya the Vatican na Ufaransa kuhusiana na uteuzi wa balozi mpya wa Ufaransa, mjini Rome.Rais wa Ufaransa Francois Holland, amempendekeza muumini mmoja wa kanisa hilo ambaye ni mpenzi wa jinsia moja kuwa balozi wake mjini Vatican.Lakini utawala wa Vatican umesema uteuzi huo haukubaliki.Makao makuu ya papa mjini The Vatican hayajasema lolote kuhusiana na uteuzi huo ,lakini ni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Balozi wa zamani Vatican matatani

Vatican imempa kifungo cha nyumbani aliyekuwa balozi wake katika jamuhuri ya Dominica Jozef Wesolowski kwa kuwadhalilisha watoto.

 

10 years ago

BBCSwahili

Balozi wa mapenzi ya jinsia moja Vatican

Ufaransa imesema kuwa inangojea jibu kutoka kanisa Katoliki kuhusu uajiri wa balozi wa mapenzi ya jinsia moja huko Vatican

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI WA VATICAN NA MWAKILISHI WA PAPA NCHINI TANZANIA AWASILI MKOANI KAGERA KUFANYA ZIARA YA SIKU SITA

Na Sylvester Raphael Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla atembelea mkoa wa Kagera katika ziara ya kujione shughuli mbalimbali za Kanisa Katoliki mkoani zinavyotekelezwa pia na kutoa Baraka za pamoja kwa wakristo wa kanisa hilo.  Balozi Padilla akiwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa Kagera alipowasili kumsalimia aliishukuru serikali ya mkoa wa Kagera kwa kuwaunganisha wananchi wa Kagera bila kujali imani zao ambapo wanafanya shughuli zao kila mmoja...

 

10 years ago

BBCSwahili

Burundi yamkataa mpatanishi mpya

Burundi imemkataa Mwanadiplomasia wa pili aliyeteuliwa na Umoja wa mataifa kutatua mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini humo

 

11 years ago

GPL

Yanga SC yamkataa msaidizi wa Maximo

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji. Wilbert Molandi na Nicodemus Jonas
UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umekataa mapendekezo ya kocha mkuu wa timu hiyo, Marcio Maximo juu ya msaidizi wake ambaye anahisi anaweza kuelewana naye kwa kuwa wamewahi kufanya kazi pamoja. Habari za uhakika ambazo zimefika mezani kwenye gazeti hili, zinaeleza kuwa, Maximo alipendekeza uongozi wa klabu hiyo umpe ajira Kocha wa KMKM ya Zanzibar, Ali Bushiri,...

 

11 years ago

Mtanzania

Serikali yamkataa Mkurugenzi wa Bugando

Hospitali ya Bugando

Hospitali ya Bugando

NA FREDERICK KATULANDA, MWANZA

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imemkataa mkurugenzi mpya wa Hospitali ya Rufaa Bugando, Dk. Kien Mteta, aliyeteuliwa na kanisa hilo kushika nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Hospitali hiyo, Profesa Charles Majinge.

Kutokana na hali hiyo, Serikali imelazimika kuliandikia barua kanisa hilo kueleza jinsi isivyotambua mabadiliko hayo yaliyofanywa kinyume cha mkataba uliopo kati yake na kanisa hilo.
Taarifa hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kombe la dunia katika Vatican ?

Papa Francis na Papa Benedict kushabikia fainali ya kombe la dunia ?

 

9 years ago

TheCitizen

Vatican security team in Uganda

The Vatican advance security team yesterday arrived in the country and made various spot checks at places Pope Francis is expected to visit during his three-day visit that starts this Friday.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani