Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yamkataa Mkurugenzi wa Bugando

Hospitali ya Bugando

Hospitali ya Bugando

NA FREDERICK KATULANDA, MWANZA

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imemkataa mkurugenzi mpya wa Hospitali ya Rufaa Bugando, Dk. Kien Mteta, aliyeteuliwa na kanisa hilo kushika nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Hospitali hiyo, Profesa Charles Majinge.

Kutokana na hali hiyo, Serikali imelazimika kuliandikia barua kanisa hilo kueleza jinsi isivyotambua mabadiliko hayo yaliyofanywa kinyume cha mkataba uliopo kati yake na kanisa hilo.
Taarifa hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MKURUGENZI WA TIMES FM AMPA MKONO WA POLE BI ESTA BUGANDO, MWANZA

Mkurugenzi Mtendaji wa Times Radio Fm,  Mr. Rehure Nyaulawa akiwa hospitali Bugando Mwanza alipoenda kumpa mkono wa pole bi Esta Jonas ambaye mtoto wake wa mwaka mmoja mwenye ulemavu wa ngozi (albino) aliyekutwa na majanga kukatwa mikono na miguu na watu wasiojulikana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Burundi yamkataa mpatanishi mpya

Burundi imemkataa Mwanadiplomasia wa pili aliyeteuliwa na Umoja wa mataifa kutatua mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini humo

 

10 years ago

Vijimambo

VATICAN YAMKATAA BALOZI, KUNANI?


Kiongozi wa kanisa katoliki duniani papa Francis
Mzozo wa kidiplomasia umezuka kati ya makao makuu ya papa mtakatifu ya the Vatican na Ufaransa kuhusiana na uteuzi wa balozi mpya wa Ufaransa, mjini Rome.Rais wa Ufaransa Francois Holland, amempendekeza muumini mmoja wa kanisa hilo ambaye ni mpenzi wa jinsia moja kuwa balozi wake mjini Vatican.Lakini utawala wa Vatican umesema uteuzi huo haukubaliki.Makao makuu ya papa mjini The Vatican hayajasema lolote kuhusiana na uteuzi huo ,lakini ni...

 

11 years ago

GPL

Yanga SC yamkataa msaidizi wa Maximo

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji. Wilbert Molandi na Nicodemus Jonas
UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umekataa mapendekezo ya kocha mkuu wa timu hiyo, Marcio Maximo juu ya msaidizi wake ambaye anahisi anaweza kuelewana naye kwa kuwa wamewahi kufanya kazi pamoja. Habari za uhakika ambazo zimefika mezani kwenye gazeti hili, zinaeleza kuwa, Maximo alipendekeza uongozi wa klabu hiyo umpe ajira Kocha wa KMKM ya Zanzibar, Ali Bushiri,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Vatican yamkataa balozi,kunani?

Mzozo wa kidiplomasia umezuka kati ya makao makuu ya papa mtakatifu ya the Vatican na Ufaransa kuhusiana na uteuzi wa balozi mpya

 

11 years ago

Michuzi

Mkurugenzi wa Idara ya Habari atembelea Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali Wizara ya Mambo ya Nje

Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Bw. Assah Mwambene akizungumza na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali cha Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Mkumbwa Ally alipotembelea Kitengo hicho kwa ajili ya kujionea shughuli mbalimbali zinazofanyika.Bw. Mwambene akiangalia moja ya machapisho aliyopatiwa na Bw. Mkumbwa kuhusu Wizara.Picha na Reginald Philip

 

10 years ago

Habarileo

Wagonjwa wa saratani waongezeka Bugando

Mkuu wa Idara ya Saratani, Dk Nestory MasaluIDADI ya wagonjwa wa saratani katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini, Mwanza imeongezeka kutoka 3,400 mwaka 2009 hadi kufikia wagonjwa 10,200 mwaka jana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rais Bugando afanyiwa ya Ulimboka

RAIS wa Chuo Kikuu cha CUHAS (Bugando) na Mwenyekiti wa Shirikisho la wanafunzi vyuo vikuu nchini (TAHLISO), Mussa Mdede ameokotwa akiwa amepoteza fahamu baada ya kutekwa nyara na watu wasiojulikana....

 

11 years ago

Mwananchi

Mwandishi wa Mwananchi ahamishiwa Bugando

Mwandishi wa habari wa gazeti hili, Florence Focus amehamishiwa kwenye Hospitali ya Rufaa Bugando, mkoani hapa kutoka Hospitali ya Serikali ya Mkoa wa Mara kwa matibabu zaidi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani