Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baraza la Famasia lafungia maduka

BARAZA la Famasia Tanzania limeyafungia maduka ya dawa mbalimbali nchini yaliyokuwa yakifanya biashara bila kufuata taratibu na sheria. Akizungumza na Tanzania Daima  mwishoni mwa wiki, Mratibu wa Mpango  wa Maduka...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAFANYABISHARA WANAOMILIKI MADUKA STENDI KUBWA YA MOSHI WAAMUA KUVUNJA KUFULI BAADA YA MANISPAA YA KUYAFUNGA MADUKA HAYO

 
 Na Woinde Shizza,KILIMANJARO

WAFANYABIASHARA 10  wanaomiliki maduka katika eneo la stendi kubwa Moshi mkoani Kilimanjaro wamelazimika kuvunja kufuli mara baada ya kufungiwa maduka yao   na mgambo wa Manispaa kwa madai kwamba sio wapangaji halali

Wakizungumzia tukio hilo kwa niaba ya wafanyabiashara hao Iren Charles ameleza kwamba wananyanyasika na Mgambo wa Manispaa ya Moshi kwa  kuwavamia na kufunga maduka yao hivyo kukazimika kuvunja kufuli hizo.

Ameeleza kuwa  walifungua kesi Mahakamani...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MTENDAJI BARAZA LA BIASHARA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA WANAHABARI KUHUSU MKUTANO WA NANE WA BARAZA HILO UTAKAOFANYIKA DESEMBA 16 ZANZIBAR

 Katibu Mtendaji Baraza la Biashara Zanzibar Bw. Ali Haji Vuai wa kwanza (kulia) akizungumza na wandishi wa Habari kuhusu Mkutano wa nane wa Baraza hilo, utakaofanyika Disemba 16 Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar. Wandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali wakimsikiliza Katibu Mtendaji Baraza la Biashara Zanzibar Bw. Ali Haji Vuai ofisini kwake Kinazini Mjini Zanzibar.Mwandishi wa Habari wa Radio Coconat Fm Tabia Makame akiuliza swali kuhusu Mkutano wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Uchumi yafunga maduka yake TZ na UG

Maduka ya jumla ya Uchumi yametangaza kufungwa kwa oparesheni zake nchini Tanzania na Uganda katika zoezi la kubana matumizi .

 

11 years ago

Habarileo

Maduka 50 ya dawa muhimu yafungwa

MADUKA zaidi ya 50 ya dawa muhimu katika Manispaa ya Dodoma, yamefungwa kutokana na kuendeshwa bila kuzingatia sheria na taratibu huku baadhi yake yakituhumiwa kujihusisha na vitendo vya utoaji mimba. Kufungwa kwa maduka hayo kunafuatia zoezi la kushtukiza la kukagua lililoendeshwa na Baraza la Famasi Nchini kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa Dodoma.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Moto watekeza maduka Kibaha

MADUKA nane katika mji wa Mailimoja Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani yameteketea kwa moto na kusababisha hasara kubwa kwa wafanyabiashara wamiliki wa maduka hayo. Tukio hilo lilitokea juzi majira ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara Kibaha wafunga maduka

WAFANYABIASHARA zaidi ya 50 wa mji wa Kibaha Mkoani Pwani, wamefunga maduka yao kuwaunga mkono wafanyabiashara saba waliofungiwa maduka na Mamlaka ya Mapato (TRA), mkoani hapa kutokana na kukosa mashine...

 

10 years ago

Vijimambo

MADUKA MBEYA BADO NI KITENDAWILI

Wakaazi wa jijini Mbeya wakiwa hawajui la kufanya baada ya wenye maduka yao jijini hapa kugoma kufungua maduka yao kutokana na kinachodaiwa ya kutopewa dhamana kwa mwenyekiti Taifa wa wafanyabishara huku akitaka aachiwe huru.Maduku jijini Mbeya yakiwa yamefungwa.Maduka yakionekana bado yamefungwa.Ni shiida jijini Mbeya.Hii ndiyo hali halisi maduka bado hayajafunguliwa leo siku ya pili 
Picha na Mbeya yetu

 

10 years ago

Habarileo

Wavamia maduka Kibaha na kupora

HUKU ikiwa imepita wiki moja tangu mfanyabiashara wa Dar es Salaam, Mahoro Mlelwa kupigwa risasi na majambazi na kufa eneo la Maili Moja wilayani Kibaha watu wenye silaha za jadi wamevamia maduka na kupora.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Moto wateketeza maduka Tanga

MADUKA manne yameteketea kwa moto kutokana na hitilafu ya umeme barabara ya 14 jirani na stendi ya mabasi yaendayo mikoani jijini Tanga, usiku wa kuamkia jana. Moto huo uliozuka majira...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani