BATULI AANIKA MAMBO YA CHUMBANI
![](http://api.ning.com:80/files/p9piKYn1mVK8OHKImKEn5ZgbSgVVhSsgiJW1xfrU4eVWUPvnojwVNtYmlyF1hYEFFWR4CUtwzlaOqHxVyjVWR5W6fz4XXtgG/Batuli.jpg)
Stori: Laurent Samatta/Amani STAA wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ amefungukia mambo yake ya chumbani na kuanika kuwa anapenda kuvaa kufuli zenye rangi tofauti. Staa wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’. Akizungumza na mwanahabari wetu, Batuli ambaye anaendelea kufanya vizuri Bongo Movies kila kukicha, alisema kama binadamu wengine na yeye linapofika suala la viwalo hivyo vya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KNI8B2SjT0e0EoImlj9MGX6WqQCP-ArZN4WkGF46zHlB8FDwrW4fWzbrl7KrnUr9xseP5jtJB83bBrKtKCwfeKxvfJe3J5z/amini1.jpg)
MAIMARTHA AFUNGUKIA MAMBO YA CHUMBANI ZAIDI
10 years ago
CloudsFM09 Apr
Baada ya kuachana na Nay Wa Mitego,mambo yamnyookea Siwema,aanika mkoko wake mpya.
Mambo yameanza kumnyookea mzazi mwenziye na msanii wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego,Siwema baada ya kuanika mkoko wake mpya mtandaoni.
Nay Wa Mitego na Siwema wapo kwenye mgogoro hadi kufikia hatua msanii huyo kumchukua mtoto wake ambaye hivi sasa analelewa na mama yake Nay. Kupitia mtandao wa Instagram Siwema aliwahi kulalamika kuwa Nay Wa Mitego alimrudisha nyuma kimaendeleo.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Tkccsb*3vm5DilE9VqQujpxq-6-SKK9Qa1bVXFHKZQ0Bg9W9ZQKmoP6A6sALOea0mOS8KaQ*anWmSKIG1mR290mkVoEhn0i-/shilolelle.jpg)
SHILOLE LIVE CHUMBANI
11 years ago
Habarileo24 Jan
Ajinyonga chumbani kwake
MKAZI mmoja wa Ukonga aliyetambulika kwa jina la Justine Tumbeza (43) amekutwa chumbani kwake amejinyonga.
10 years ago
Mwananchi12 Sep
Mtoto afichwa chumbani miezi 4
11 years ago
Habarileo11 Jun
Akutwa amekufa chumbani kwake
MFANYABIASHARA Mkazi wa Kigogo, Kinondoni, Idd Abdalah (31) amekutwa amekufa chumbani kwake huku mwili wake ukiwa hauna jeraha lolote.
10 years ago
GPLWANANDOA WAKUTWA WAMEFARIKI CHUMBANI INDIA
10 years ago
Mtanzania21 Apr
Mwanafunzi darasa la nne ajinyonga chumbani
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
MWANAFUNZI wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Pugu jijini Dar es Salaam, Festo Filbert (11) amekutwa chumbani kwake akiwa amejinyonga hadi kufa kwa kutumia mkanda wa kuvalia nguo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Mary Nzuki alisema tukio hilo lilitokea jana katika eneo la Majohe kwa Ngozoma.
Alisema sababu za kujinyonga mwanafunzi huyo bado hazijafahamika kwani hakuacha ujumbe wowote.
“Mtoto huyu alikutwa chumbani kwake anakolala akiwa peke...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TL-la4qMC-2wyRe1DF8m4GyGgC0iDZyTpdwRn6JpfAmBgyXasUewb7mRLtNVNc-clGZogJcS91bSQy-VIDueRUxEEecdAoOm/Kirungi.jpg)
RAIS WA CHUO ABAMBWA NA MAMILIONI CHUMBANI