Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BATULI: NAYACHUKIA MAPENZI YALIYOPITA

Stori: Imelda Mtema STAA mkali wa filamu za hapa Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa hakuna kitu ambacho kinamuuza na kukichukia kama mapenzi yaliyopita. Staa mkali wa filamu za hapa Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’. Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Batuli alisema kuwa  anachukia na kudharau mno uhusiano uliopita kwani haukuwa ni sahii kwake hivyo hataki hata kuukumbuka....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Batuli: Nayachukia Mapenzi Yaliyopita

Mrembo na mwigizaji  wa kike wa filamu za hapa Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa hakuna kitu ambacho kinamuuza na kukichukia kama mapenzi yaliyopita.

Akizungumza na mwandishi wa GPL, Batuli alisema kuwa  anachukia na kudharau mno uhusiano uliopita kwani haukuwa ni sahii kwake hivyo hataki hata kuukumbuka.

“Nayachukia sana mapenzi yaliyopita kwa kweli na kuna wakati sipendi kabisa kuifanya akili yangu ikumbuke uhusiano wa nyuma, maana hauna kumbukumbu nzuri kwangu,” alisema...

 

10 years ago

BBCSwahili

Micho ajinasibu kwa yaliyopita

Milutin 'Micho' Sredojevic amesema timu yake, The Cranes ilicheza kwa umakini na kuwafunga wenyeji wao Taifa Stars.

 

11 years ago

BBCSwahili

'Yaliyopita si ndwele Tugange yajayo'

Je unamkumbuka Monica Lewinsky? mwanamke aliyekuwa na uhusiano wa kimapenzi ya aliyekuwa Rais wa Marekani Bill Clinton?

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sahau yaliyopita, ukumbatie yajayo

TUNAISHI katika dunia yenye maudhi na machungu mengi na hakuna mtu ambaye hajawahi kukwazika maishani. Ukiwa bado hai, tegemea kukutana na mambo mengi ingawa kila mtu anawaza kuhusu mafanikio, ni...

 

11 years ago

Habarileo

Pinda- Ukawa mrudi, yaliyopita si ndwele

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amewataka wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) waliotoka bungeni wiki iliyopita, kurejea Agosti kuendelea na mchakato.

 

10 years ago

Bongo Movies

Huu Ndiyo Mtazamo wa Shamsa Juu ya ‘Mapenzi ni Kupetipeti au Mapenzi ni Pesa’

Staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford amabaye hivi sasa anatoka na Staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego baada ya kuachana na mumeo, ameweka wazi kuwa kwenye mapenzi yeye anahitaji kupetipetiwa na pesa pia vinginevyo atakusaliti.

Akiwa anaipa promo nyimbo mpya ‘Mapenzi au Pesa’ ya Nay wa Mitego na Diamond Platinum itakayotoka hivi karibuni,  Shamsa amefunguka hayo na kuwataka mashabiki wake watoe mitazamo yao ikiwa

“Eti mapenzi ni kupetipeti au mapenzi ni pesa..?? Kwa upande wangu vyote...

 

11 years ago

GPL

KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?

Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita utakumbuka nilizungumzia suala la kuwajali wapenzi wetu. Niligusia suala ya kuwapa nafasi watuchune. apo walioshituka kuona kichwa kile cha habari lakini kiukweli sikumaanisha kuchuna kule ambako wanawake micharuko hufanya hasa kwa waume za watu, nilimaanisha utayari wa kila mmoja kumsaidia mwenzake kifedha. Mkeo akitaka pesa ili aende saluni kama zipo, mpe! Akihitaji pesa akanunulie vipodozi...

 

11 years ago

GPL

KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?-2

Uhali gani mpenzi msomaji wa safu hii. Ni matumaini yangu umzima kabisa na uko tayari kusoma muendelezo wa makala haya ambayo niliianza wiki iliyopita. Maudhui hasa ya makala haya ni kuwatahadharisha baadhi ya watu ambao wanahusudu mapenzi kuliko kitu kingine utadhani wana pepo la ngono. Sikatai, kufanya mapenzi ni kitu muhimu sana hasa kwa watu walioingia kwenye ndoa. Kwa kifupi ni haki ya kila mmoja kuridhishwa na mwenza wake...

 

10 years ago

GPL

BATULI KUOLEWA SOON

Stori: Gladness Mallya
GOOD news kwa mtoto mzuri Bongo Movies, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ ni kwamba anatarajia kuolewa hivi karibuni baada ya kuishi maisha ya upweke kwa muda mrefu, Risasi Jumamosi linakujuza. Msanii wa Bongo Movies, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’. Batuli ambaye ni mama wa watoto wawili, ameliambia Risasi Jumamosi kuwa kwa umri alionao, amejifunza vitu vingi katika maisha hivyo kwa kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani