Bayern yaandika mkataba wa miaka 2 na Xavi
Bayern Munich imekubaliana mkataba wa miaka miwili na Xabi Alonso.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
RAIS WA BAYERN MUNICH AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 3 KWA KUKWEPA KODI
Rais wa Bayern Munich, Uli Hoeness. Rais wa Bayern Munich amehukumiwa kwenda jela kwa kifungo cha miaka mitatu na miezi sita kutokana na kosa la kukwepa kodi. Uli Hoeness, 62, alikiri kukwepa kodi inayofikia kiasi cha €18.5 million kupitia akaunti zake za benki za siri lakini utetezi wake wa kukiri kosa akidhania ungemsaidia kuepukana na adhabu ya kifungo ulishindwa kumsaidia. Mwendesha mashtaka alitaka Hoeness afungwe...
10 years ago
BBCSwahili30 Jun
Arsenal yampa Cech mkataba miaka minne
Timu ya Arsenal ya ligi kuu ya England imemsajili mlinda mlango wa Chelsea, Petr Cech kwa mkataba wa miaka minne
11 years ago
GPL
ARSENE WENGER ASAINI MKATABA WA MIAKA 3 KUBAKI ARSENAL
Arsene Wenger ameongeza miaka mitatu Arsenal. KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger ameongeza mkataba wa miaka mitatu kubaki klabuni hapo. Atakuwa Arsenal mpaka mwaka 2017 kwa mkataba wa pauni milioni 24 sawa na bilioni 66.9 za Tanzania. Wenger baada ya kutwaa Kombe la FA. Kocha huyo aliyetwaa Kombe la FA baada ya ukame wa makombe kwa miaka tisa, amepatiwa pauni milioni 100 kwa ajili ya usajili. Wenger mwenye miaka 64,… ...
11 years ago
Bongo508 Jul
Ashley Cole atua AS Roma kwa mkataba wa miaka miwili
Hatamiye mchezaji wa zamani na beki wa timu ya taifa ya Uingereza pamoja na Chelsea, Ashley Cole 33,amejiunga rasmi na timu AS Roma na kukubali kutia saini ya mkataba wa miaka miwili na timu hiyo ambapo anatakuwa akipokea mshahara wa euro elfu 48,000 kwa wiki. Ashley Cole akisaini Mkataba wa miaka miwili Roma Kikosi hicho […]
11 years ago
Michuzi01 Nov
TANZANIA NA BURUNDI ZA SAINI MKATABA WA MIAKA 50 KUSAFIRISHA UMEME KUTOKA MRADI WA RUSUMO
10 years ago
Michuzi
Vodacom na TFF zasaini mkataba wa udhamini wa ligi kuu kwa miaka mitatu


10 years ago
Michuzi
MAYANJA ATUA TANGA, ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUIFUNDISHA COASTAL UNION
MABINGWA wa Ligi kuu soka Tanzania bara mwaka 1988,Coastal Union,Wagosi wa Kaya imeingia mkataba wa miaka miwili na aliyekuwa Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Jackson Mayanja ambaye ni raia wa Uganda kuifundisha timu ya Coastal Union katika msimu ujao wa Ligi kuu soka Tanzania Bara itakayoanza Mwezi Agosti mwaka huu . Utiliaji wa saini wa Kocha huyo ulifanyika leo mjiniTanga na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa timu ya Coastal Union akiwemo Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Albert Peter na...
11 years ago
VijimamboTANZANIA NA BURUNDI ZATILIANA SAINI MKATABA WA MIAKA 50 KUSAFIRISHA UMEME KUTOKA MRADI WA RUSUMO
11 years ago
CloudsFM18 Aug
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania