Bei ya vyakula yapaa
![](http://www.habarileo.co.tz/images/images_2012_june_dec/Noti10000.jpg)
KUTOKANA na kuanza kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, baadhi ya wafanyabiashara katika mikoa mbalimbali nchini, wamepandisha bei za vyakula, hali iliyoanza kuleta usumbufu kwa wananchi. Gazeti hili lilitembelewa masoko kadhaa katika mikoa ya Dar es Salaam, Zanzibar na Shinyanga jana na kubaini kuwa bei za vyakula, zimepanda maradufu mara tu baada ya Mfungo kuanza juzi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Apr
Bei za vyakula zapaa, mfumuko wa bei mwezi Machi wafikia asilimia 4.2
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Bei ya Tanzanite nchini yapaa
11 years ago
Mwananchi09 Jul
Mfumuko wa bei nchini waporomoka, shilingi yapaa
11 years ago
Habarileo08 Jul
'Wafanyabiashara punguzeni bei za vyakula'
WAFANYABIASHARA visiwani hapa wametakiwa kupunguza bei ya vyakula kutoa nafasi kwa wananchi kutekeleza vizuri mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambao ni moja ya ibada muhimu kwa Waislamu.
10 years ago
StarTV18 Dec
Bei za vyakula, bidhaa Dar zapanda.
Na Epiphania Magingo,
Dar es Salaam.
Zikiwa zimesalia siku chache za kusherehekea sikukuu za Krismas na mwaka mpya, bei za vyakula na bidhaa mbalimbali jijini Dar es Salaam zimeonekana kupanda kwa kasi na kufanya wanunuzi wengi kushindwa kununua bidhaa hizo.
Changamoto hii imekuwa ikionekana kila inapokaribia msimu wa sikukuu kubwa ambayo licha ya kukemewa lakini imeendelea kujitokeza na kuwa tatizo sugu linalowaathiri wananchi wengi.
Ni katika soko la Kariakoo Jijini Dar es Salaam,...
11 years ago
CloudsFM02 Jul
BEI ZA VYAKULA JIJINI DAR ZAPANDA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI
BAADHI ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wamelalamikia bei kubwa za vyakula katika kipindi hiki cha Mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwenye badhi ya masoko jijini humo.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakazi wa jiji hilo Bw. Khamis Mshaka na Bi. Salma Jumbe, walisema baadhi ya wafanyabiashara wanapandisha bei ya vyakula ili kupata faida.
Walisema hali hiyo inawafanya wananchi wengi hasa wenye kipato kidogo washindwe kumudu bei za vyakula wanapokwenda sokoni.
“Tabia hii si nzuri na...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-qeMcWcI6xRM/VIAtx_cXJ3I/AAAAAAAARho/i7ZZdNgpElU/s72-c/DIAMOND%2BDINNER%2BSAFARI.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-aXr9LcHzar0/VHgTY0miF2I/AAAAAAAARgo/CMKb_rR84dY/s72-c/THANKS%2BGIVING%2BFRIDAY.jpg)
9 years ago
Habarileo17 Dec
Yanga yapaa kileleni
YANGA jana iliishusha Azam na kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu baada ya kushinda bao 1-0 dhidi ya African Sports. Ushindi huo unaifanya Yanga ambayo ndio bingwa mtetezi wa ligi hiyo kufikisha pointi 27 na kuishusha Azam yenye pointi 26, lakini ikiwa na mchezo mmoja nyuma.