Bendi ya Q Chief ‘QS International Band’ imegharimu shilingi milioni 40
Q Chief amekamilisha maandalizi ya bendi yake mpya ya muziki iitwayo ‘QS International Band’ aliyodai imegharimu zaidi ya shilingi milioni 40.
Muimbaji huyo aliyeachia wimbo Mkungu wa Ndizi akiwa na TID hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa huo ndio utakuwa mwisho wake wa kufanya show kwa kutumia play back.
“Sitofanya show yoyote bila bendi yangu,” alisema. “Hii itanitoa kutoka daraja la kawaida kwenda daraja lingine kubwa kwa sababu muziki umebadilika kila msanii anataka kuwa na bendi....
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo514 Nov
Video ya ‘Don’t Bother’ imegharimu milioni 32 — asema Joh Makini
![Johmakini.1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/Johmakini.1-300x194.jpg)
Mara nyingi wasanii wengi wa Bongo huwa hawapendi kutaja gharama walizotumia kwenye kazi zao hususan video wanazofanya, na kila mmoja huwa anasababu zake tofauti za kutotaka kusema ametumia kiasi gani.
Rapper wa Weusi, Joh Makini ambaye hivi sasa wimbo wake mpya ‘Don’t Bother’ umekuwa ‘talk of the town’ toka alipoachia video Alhamisi, iliyofatiwa na audio iliyotoka siku ya Ijumaa (Nov 13) ametaja gharama iliyotumika kukamilisha video hiyo.
Joh makini amesema video hiyo iliyofanyika Afrika...
10 years ago
CloudsFM02 Apr
10 years ago
Bongo523 Aug
Video: MB Dogg aezelea ujio mpya, ngoma yake na Q-Chief na bendi yao
5 years ago
BBCSwahili08 Jun
Mashabiki wa bendi ya BTS wachangisha dola milioni moja.
9 years ago
Dewji Blog02 Oct
Dkt . Gharib Bilal atembelea Banda la Fastjet maonesho Swahili International Tourism Expo (S!TE)
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt . Gharib Bilal akitambulishwa kwa wafanyakazi wa Fastjet na Meneja Mkuu wa Fastjet Afrika Mashariki Jimmy Kibati wakati wa maonesho ya Swahili International Tourism Expo (S!TE) Jijini Dar Es Salaam jana.
Meneja Mkuu wa Fastjet Afrika Mashariki Jimmy Kibati akimkaribisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt . Gharib Bilal wakati uzinduzi wa maonesho ya Swahili International Tourism Expo(S!TE) Jijini Dar Es Salaam jana. Pembeni ni Afisa...
11 years ago
Dewji Blog02 Jul
Waziri Mkuu Mizengo Pinda atembelea banda la kampuni ya Property International Limited katika maonyesho ya Sabasaba
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Miengo Pinda akiwasili kwenye banda la Kampuni ya Property Itnernational Limited ya jijini Dar es salaam wakati alipotembelea banda hilo Katika maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa (TANTRADE) kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam, Ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo inayojihusisha na miradi mikubwa ya upimaji na uuzaji wa viwanja vilivyopimwa kitaalamu maeneo mbalimbali...
10 years ago
BBCSwahili19 Apr
Rinda lauzwa shilingi milioni 12 Marekani
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XK5BrsN2RVeu5aZE1HtzwKO32A*J29Od6pn4tqsgVT8tSqQZ-4tcXhIyXCtrBO5BbIz18BBqvfTa6kRel0Kqjnj-VwmXxF7b/AIBU.jpg?width=650)
AIBU MKE WA MTU, SHILINGI MILIONI 15 ZAMPONZA