Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rinda lauzwa shilingi milioni 12 Marekani

Rinda la Vivien Leigh aliyeigiza kama Scarlet O'Hara katika filamu ya 'Gone With the Wind' limeuzwa kwa shilingi millioni 12.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Yaliyojificha kuporomoka kwa shilingi dhidi ya Dola ya Marekani Shilingi inahujumiwa na Mabenki?

Yaliyojificha kuporomoka kwa shilingi dhidi ya Dola ya Marekani

Shilingi inahujumiwa na Mabenki? – Zitto Kabwe[1]

Katika ukurasa wangu wa facebook mnamo tarehe 25 Aprili 2015 niliandika kuhusu sababu za shilingi kuporomoka thamani na majawabu ya namna ya kurejesha thamani halisi ya sarafu yetu. Nilieleza “Shilingi kuporomoka dhidi ya dola na kuvuka 1$/2000TS kunasababishwa na sababu kadhaa 1) Woga wa uchaguzi na hivyo Dola nyingi kutoingia nchini (FDI etc) kusikilizia Serikali ijayo...

 

11 years ago

GPL

AIBU MKE WA MTU, SHILINGI MILIONI 15 ZAMPONZA

Stori: Issa Mnally na Richard Bukos
MWANAMKE aliyetajwa kwa jina moja la Winfrida ambaye ni mke wa mtu amekwaa aibu ya karne baada ya kudaiwa kutaka kuuza kiwanja ambacho si mali yake na kujipatia fedha isivyo kihalali kutoka kwa mtu aitwaye Stanlaus Hajj ‘Stan’, Ijumaa lina mkanda kamili. Winfrida ambaye ni mke wa mtu akiwa mikononi mwa polisi baada ya kunaswa. Awali ilidaiwa kuwa mwanamke huyo, alichukua Sh....

 

9 years ago

Bongo5

Kundi la One Direction huingiza shilingi milioni 62 kila siku

Kundi maarufu la Uingereza la One Direction, huingiza pauni 19,000 kila siku ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 62. Waimbaji hao waliopata mafanikio baada ya kuwa chini ya usimamizi wa Simon Cowell kupitia kipindi cha The X Factor mwaka 2010, huingiza kiasi hicho cha fedha kufuatia taarifa zao za fedha zilizochapishwa na Companies House. One […]

 

9 years ago

Bongo5

Video ya ‘Never Ever’ yamgharimu Vanessa Mdee zaidi ya shilingi milioni 40

Vanessa Mdee ana-make headlines hivi sasa kutokana na ushindi wake wa tuzo ya AFRIMMA 2015 ‘Best Female East Africa’, pamoja na video yake mpya ya ‘Never Ever’ ambayo ilitambulishwa rasmi wiki iliyopita exclusively na Trace Tv ya Ufaransa kabla ya kusambazwa kwenye vituo vingine vya nyumbani. Kwa mujibu wa ukurasa wa Instagram wa Clouds Fm […]

 

9 years ago

Bongo5

Matonya: Vaileti iliingiza shilingi milioni 150 fasta

Staa wa muziki wa Bongo Flava, Seif ‘Matonya’ Shaaban, ameuelezea wimbo wake wa kitambo ‘Vaileti’ kuwa ndio wimbo uliompatia pesa nyingi na kwa haraka.

Matonya-559x520

Akizungumza katika kipindi cha The Jump Off cha Times FM, Matonya alisema wiki kadhaa tu baada ya kuachia ngoma hiyo, alijikuta akiwa na pesa nyingi kwenye akaunti yake.

“Vaileti was crazy song kiukweli,” alisema Matonya. “Ulikuwa wimbo mkubwa sana, nilipokea simu nyingi kutoka Marekani na kwingineko, yaani ulipagawisha watu kiukweli. Sasa...

 

11 years ago

Habarileo

Chama cha Msalaba Mwekundu chapokea Shilingi milioni 20.7

CHAMA cha Msalaba Mwekundu Tanzania kimepokea msaada wa Sh milioni 20.7 na vyakula mbalimbali vyenye thamani ya Sh milioni 4.

 

9 years ago

Bongo5

Bendi ya Q Chief ‘QS International Band’ imegharimu shilingi milioni 40

Q Chief

Q Chief amekamilisha maandalizi ya bendi yake mpya ya muziki iitwayo ‘QS International Band’ aliyodai imegharimu zaidi ya shilingi milioni 40.

Q Chief

Muimbaji huyo aliyeachia wimbo Mkungu wa Ndizi akiwa na TID hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa huo ndio utakuwa mwisho wake wa kufanya show kwa kutumia play back.

“Sitofanya show yoyote bila bendi yangu,” alisema. “Hii itanitoa kutoka daraja la kawaida kwenda daraja lingine kubwa kwa sababu muziki umebadilika kila msanii anataka kuwa na bendi....

 

10 years ago

Dewji Blog

SUA kutumia shilingi milioni 65 kushawishi matumizi ya Mtama

DSC00963

Mhadhiri wa chuo ikuu cha kilimo Sokoine, Profesa Joseph Phillip Hella, akitoa mada yake ya uongezaji wa uzalishaji wa Mtama katika wilaya tisa zinazokabiliwa na ukame hapa nchini.

Na Nathaniel Limu, Singida

CHUO kikuu cha kilimo cha Sokoine Morogoro, kinatarajia kutumia zaidi ya shilingi 65 milioni kugharamia mradi wa kuongeza matumizi ya zao la Mtama,ili kukuza soko la zao hilo linalostahimili ukame.

Imedaiwa kwamba soko la Mtama likikua kutokana na kuongezeka kwa matumizi, wakulima...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani