Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BENKI YA EXIM YAAHIDI KUSAPOTI ZAIDI MICHEZO VISIWANI ZANZIBAR

Zanzibar, Benki ya Exim Tanzania imeahidi kuunganisha nguvu zaidi na mamlaka za kimichezo visiwani Zanzibar katika kuhakikisha sekta ya michezo visiwani humo inakua zaidi.
Hatua hiyo ya benki ya Exim ilitangazwa na Meneja wa tawi la benki hiyo visiwani humo Bw.Mwinyimkuu Said Ngalima wakati wa kilele cha mashindano ya soka yaliyolenga kuibua vipaji vya mchezo huo yaliyohitimishwa kwenye Uwanja wa Abeid Amani Karume, wilayani Mwanakwerekwe kwa udhamini wa benki hiyo.
“ Kutokana na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yaahidi kuunga mkono juhudi za serikali kuboresha hali ya magereza nchini

Wafanyakazi wa Benki ya Exim tawi la Mwanza na wawakilishi wa gereza la Butimba wakiwa katika picha ya pamoja, muda mfupi baada ya Benki hiyo kukabidhi vifaa vya usafi  kwa gereza la Butimba lililopo jijini Mwanza hivi karibuni. Mchango huo ni sehemu ya shughuli za kibenki za kijamii lakini pia ukilenga kusaidia wafungwa kubadili tabia.
Exim Bank imeahidi kuendelea kusaidia juhudi za serikali katika kuboresha hali ya magereza nchini, ikiwa ni sehemu ya shughuli zake za kibenki za kijamii....

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM YAWAANDALIA FUTARI WATEJA WAKE ZANZIBAR


Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko wa Zanzibar, Mhe. Nassor Mazrui (kulia) akizungumza wakati wa Iftari iliyoandaliwa na Benki ya Exim Tanzania Tawi la Zanzibar kwa ajili ya wateja wake hivi karibuni. Wengine kulia kwake ni baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo na wateja walioalikwa katika tukio hilo.  Baadhi ya wafanyakazi na wateja wa Benki ya Exim Tanzania wakijumuika pamoja akatika Iftari iliyoandaliwa na benki hiyo Visiwani Zanzibar kwa ajili ya wateja wake

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM TANZANIA YAFUNGUA TAWI JIPYA ZANZIBAR

Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania Bw Selemani Ponda (wa pili kulia) akizundua tawi jipya la benki hiyo lililopo eneo la Mwanakwerekwe, Zanzibar wakati wa hafla fupi ya uzinduzi iliyofanyika Zanzibar hivi karibuni. Wanaoshuhudia ni baadhi ya maofisa wa benki hiyo pamoja na wageni waalikwa.

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yatangaza washindi wa droo ya kwanza ya kampeni ya 'Chanja Kijanja na Exim Bank Mastercard'

 Benki ya Exim Tanzania hii leo imetangaza washindi watano wa mwezi katika kampeni yake ya 'Chanja Kijanja na Exim Mastercard'. Kampeni hiyo inalenga kuhamasisha wateja wa benki ya Exim kutumia kadi zao za Mastercard katika manunuzi ya mtandaoni au kufanya malipo kupitia mashine za malipo (POS) katika maduka mbalimbali na maeneo mengine nchini.
Akizungumza kwenye hafla fupi ya kuwatangaza washindi wa droo ya kwanza  wa kampeni hiyo iliyofanyika Makao Makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Karibu Zanzibar Fashion Festival 2015 ilivyofana Visiwani Zanzibar

DSC_0633Mmoja wa waanzilishi wa Karibu Zanzibar Fashion, Joseph Alban (mwenye suti nyeusi) akiongea machache kwa niaba ya wenzake wakati wa kuhitimisha tukio hilo usiku wa jana…(Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog.com)

Na Andrew Chale, modewjiblog 

(Zanzibar) Usiku wa Julai 20 ulikuwa ni wa kipekee kwa  viunga vya Unguja Kisiwani Zanzibar   kutokana na tukio moja tu la kipekee la onesho la mavazi  lijulikanalo kama KARIBU ZANZIBAR FASHION FESTIVAL 2015 lililoteka umati wa wadau wa fani hiyo na...

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YAAHIDI KUONGEZEA MTAJI BENKI YA TADB



  SERIKALI imeahidi kuiongezea mtaji Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) kutokana na namna inavyowasaidia wakulima na kuwapa kipaumbele wawekezaji wazawa.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji, Angela Kairuki leo wilayani Manyoni, Singida wakati alipofanya ziara ya kutembelea kiwanda cha kuchakata mbegu za Alizeti cha Qstek.

Akizungumza kiwandani hapo, Waziri Kairuki ameipongeza Benki ya Kilimo kwa namna ambavyo imekua ikiwainua wakulima na wawekezaji...

 

11 years ago

Mwananchi

Exim: Wekeni fedha benki

>Benki ya Exim Tanzania imewashauri wananchi kutumia huduma za fedha za kibenki kwa ajili ya usalama na maendeleo yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Benki ya Exim yafungua tawi

Benki ya Exim imezindua tawi mkoani Arusha kwa ajili ya huduma kwa wateja wakubwa ndani ya mkoa huo na maeneo ya jirani.

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya wafanyakazi 14 benki ya Exim yasuasua

KESI inayowakabili wafanyakazi 14 wa benki ya Exim tawi la jijini Arusha kwa tuhuma za kuibia benki hiyo zaidi ya Sh bilioni 7.6, inaendelea kusuasua.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani