Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bibi aagizwa na mahakama kufuta picha za wajukuu Facebook kwa kukosa kuomba idhini

Sheria ya faragha ni kwamba bibi anahitaji ruhusa ya mtoto wake kuweka picha za wajukuu zake mtandaoni

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Bibi na wajukuu wawili wateketea kwa moto

Watu watatu wa familia moja wamefariki dunia wilayani Mbarali mkoani hapa baada ya nyumba yao ya nyasi walimokuwa wamelala, kuungua moto.

 

10 years ago

GPL

FACEBOOK YALAZIMIKA KUOMBA RADHI

Wanaume na wanawake waliobadili jinsia yao au (transgender) kwa kusisitiza kuwa lazima watumie majina yao halisi kwenye kurasa sao za mtandao huo. Mtandao wa Facebook umewaomba radhi jamii ya wanaume na wanawake waliobadili jinsia yao au (transgender) kwa kusisitiza kuwa lazima watumie majina yao halisi kwenye kurasa sao za mtandao huo.
Kurasa nyingi za watu wa jamii hiyo zilianikwa au kufichuliwa na mtumiaji mmoja mwezi jana...

 

10 years ago

Habarileo

Mahakama yakataa ombi kufuta kesi ya Uamsho

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imetupilia mbali ombi la kufutwa kwa kesi ya ugaidi inayomkabili Kiongozi wa Uamsho, Farid Ahmed na wenzake 21, kwa kuwa haina mamlaka ya kufanya hivyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mahakama yapinga Rais Banda kufuta matokeo Malawi

Mahakama Kuu ya Malawi imepinga uamuzi wa Rais wa nchi hiyo, Joyce Banda kufuta matokeo ya awali yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi ya Malawi (MEC) kwa madai kuwa hana mamlaka hayo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Twitter kufuta picha za waliofariki

Twitter kufuta picha za watu waliofariki ambao katika maisha yao walikuwa wanatumia mtandao huo.

 

5 years ago

Michuzi

MKANDARASI AAGIZWA KUPELEKA TAARIFA YA UTEKELEZAJI MRADI KWA BODI YA REA

Mjumbe wa mradi wa Wakala wa Nishati  vijijini REA HenryMwatwinza Akiongea na mkandarasi    anayetekeleza mradi wa Wakala wa Nishati  vijijini REA mkoa wa Arusha kutoka kampuni ya NIPO group  wakati walipofanya ziara ya kutembelea na kukagua kazi mkandarasi huyo alizozifanya juzi, ambapo  alimtaka kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa  mradi huo kwa kipindi cha miezi mitatu alichoomba kuongezewa.(picha Woinde Shizza)



Na Woinde Shizza,ARUSHA

MKANDARASI anayetekeleza mradi wa Wakala wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Picha ya nguva iliyokataliwa na Facebook

Mwanasiasa mmoja nchini Denmark alishangaa baada ya kuzuiwa kupakia picha ya sanamu ya nguva mtandaoni kwenye Facebook.

 

10 years ago

BBCSwahili

Facebook kukutambua bila picha ya uso

Facebook inakusanya taarifa katika picha zako ili kubaini migao ya maoni kutoka kwa marafiki wako pale wanapoweka mtandaoni picha.

 

10 years ago

GPL

MPIGA PICHA ATUMIA MIAKA 2 KUJIFANYA BIBI KIZEE ILI KUJUA WAZEE WANAVYOISHI

Kyoko Hamada katika mizunguko yake kama bibi kizee. IMEZOELEKA kuwa binadamu wengi hupenda kuonekana vijana hata kama umri umeenda huku wengine wakitumia baadhi ya vipodozi, dawa za kuficha mvi na kuvaa mavazi yanayofanya waonekane vijana japo si vijana. Mpigapicha Kyoko Hamada (42), yeye aliamua kuwa tofauti na kuishi kwa miaka miwili akijifanya bibi kizee ili kujua hasa wazee wanavyochukuliwa katika jamii. Hamada, ambaye ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani