FACEBOOK YALAZIMIKA KUOMBA RADHI
![](http://api.ning.com:80/files/jPvKO*I18G8*m*ds1BkeC1*MnSMP0rslz9MrbdyKyn-ulnch1HWFFr8wQfIE9fx1gp2Pu2pX5pQNpDsCunR7iip7ceTl1h2b/facebook.jpg?width=650)
Wanaume na wanawake waliobadili jinsia yao au (transgender) kwa kusisitiza kuwa lazima watumie majina yao halisi kwenye kurasa sao za mtandao huo. Mtandao wa Facebook umewaomba radhi jamii ya wanaume na wanawake waliobadili jinsia yao au (transgender) kwa kusisitiza kuwa lazima watumie majina yao halisi kwenye kurasa sao za mtandao huo. Kurasa nyingi za watu wa jamii hiyo zilianikwa au kufichuliwa na mtumiaji mmoja mwezi jana...
GPL