Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BIFU LA FLORA, NISHA LAFIKA PABAYA

Stori: Gladness Mallya
WASANII wawili waliowahi kuwa marafiki wa kupika na kupakua, Flora Mvungi na Salma Jabu ‘Nisha’ bifu lao sasa limefika pabaya baada ya hivi karibuni kuwaacha watu midomo wazi kwa kitendo chao cha kupitana kama hawafahamiani. Msanii wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’. Ishu hiyo ilitokea wikiendi iliyopita kwenye sherehe ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya staa wa filamu,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

FLORA: MTOTO KAVUNJA URAFIKI WETU NA NISHA

Na Gladness Mallya STAA wa sinema za Kibongo, Flora Mvungi amefunguka kuwa ubize wa kulea mwanaye ndiyo umemfanya avunje urafiki na shosti wake, Salma Jabu ‘Nisha’. Flora Mvungi akiwa na shosti wake, Salma Jabu ‘Nisha’. Flora alifunguka hayo juzikati baada ya paparazi wetu kumuuliza juu ya taarifa zinazodai kuwa wawili hao wamepishana kauli na kila mmoja kuishi kivyake.… ...

 

9 years ago

Michuzi

KUMBUKUMBU YA FLORA (MAPENDO YA FLORA)

TUNAPOADHIMISHA MIAKA MIWILI YA KUMBUKUMBU

YA KIFO CHA MPENDWA WETU

FLORA FLOWIN MKANULA

(1993 – 2013)

___________________________________


Tunaona ni vema kumshukuru MUNGU hasa kwa mapendo aliyotushirikisha kupitia maisha ya FLORA, nasi tukabakiwa kwa namna ya pekee tunamuenzi kwa matukio mbalimbali hasa kupitia Misa Takatifu katika kanisa kuu la Mtakatifu Joseph Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Siku ya tarehe 10/09/2015, saa 12.30 asubuhi.  Baada ya hapo tunazuru makaburi ya Kinondoni.Sote tuzidi...

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa: Tumewakamata pabaya

1

*Sumaye asema hakuna wa kukifufua chama hicho

NA MAREGESI PAUL, KIOMBOI na Shabani Matutu Dar

MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa,  amesema wamekikamata pabaya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa Watanzania sasa wanataka mabadiliko.

Amesema pia kwamba, kitendo cha mamilioni ya Watanzania kutaka mabadiliko, pia kinaungwa mkono na Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, aliyewahi kusema Watanzania wanahitaji mabadiliko...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yashikwa pabaya bungeni

Kashfa ya zaidi ya Sh200 bilioni za Akaunti ya Escrow ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imechukua sura mpya baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema kudai kuwapo kwa watu wanaonunua mashahidi.

 

11 years ago

Mwananchi

Utapeli wamfikisha pabaya Muunguja

Mkazi mmoja wa Unguja, amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu, baada ya kupatikana na hatia ya kughushi hati ya kumrithi isivyo halali, Mariam Masanja.

 

9 years ago

GPL

LULU, WEMA WAFIKA PABAYA

Pamoja na wenyewe kudai hawajui kilichotokea, mastaa wawili wenye sura za mauzo kunako sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Wema Isaac Sepetu, kwa sasa wanadaiwa kufikia pabaya kufuatia bifu zito linalofukuta kati yao. Staa wa sinema za kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Habari za mjini zinadai kwamba, Wema amekuwa akishtushwa na kuchukizwa na kitendo cha Lulu kuwa upande wa aliyewahi kuwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Simba, Messi wafikia pabaya

MESSI GOALNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
UTATA wa mkataba wa winga Ramadhan Singano ‘Messi’ na timu yake ya Simba sasa umefikia pabaya, baada ya pande hizo mbili kufikiria kushtakiana ili kusaka suluhu.
Wakati Messi akisaka ufumbuzi wa suala hilo kwenye Chama cha Wachezaji wa Soka Tanzania (Sputanza), uongozi wa Simba unataka kumshtaki kama akiendelea kuichafua klabu hiyo kwenye vyombo vya habari.
Winga huyo bado hajakubaliana na Simba kuhusu kusaini mkataba mpya baada ya kudai mkataba wake wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yaishika pabaya Ahly

Uongozi wa Klabu ya Al Ahly ya Misri umekataa mchezo wa baina yao na wawakilishi wa Tanzania, Yanga kupigwa katika mji wa El Gouna na badala yake umependekeza ufanyike katika jiji la Alexandria.

 

10 years ago

GPL

CHRIS, NIA WAFIKISHANA PABAYA!

Staa wa Pop, Christopher Maurice ‘Chris Brown’. New York Marekani
STAA wa Pop, Christopher Maurice ‘Chris Brown’ pamoja na mama wa mtoto wake, Nia Guzman wamefikia pabaya kwa kutupiana maneno mitandaoni kisa, mtoto wao Royalty. Nia Guzman akiwa na mwanaye, Royalty. Maneno hayo yamekuja ikiwa ni siku chache zimepita tangu Chris awasilishe jalada la kudai mtoto mahakamani. Kupitia ukurasa wa Instagram...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani