Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BIHARAMULO


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Ng’ombe 150 wauawa Biharamulo

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna TibaijukaNG’OMBE 150 wameuawa na askari wa Wanyama Pori katika Hifadhi ya Biharamulo, kutokana na mgogoro uliokuwepo wa kuwaondoa baadhi ya wafugaji, waliovamia eneo la hifadhi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbasa alia uhaba wa walimu Biharamulo

MBUNGE wa Biharamulo, Dk. Anthony Mbasa (CHADEMA), ameitaka serikali ieleze ni lini itaweza kupambana na uhaba wa walimu wa fani mbalimbali wilayani Biharamulo. Pia ametaka kuelezwa serikali ina mpango gani...

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu watumia mihogo kuandikia Biharamulo

Walimu wawili wanaojitolea katika Shule ya Msingi Msali, Kata ya Nyakahura, wilayani Biharamulo, mkoani Kagera wanatumia vipande vya mihogo mikavu na mkaa kuandikia ubaoni baada ya kukosa chaki.

 

10 years ago

Habarileo

Shule za Biharamulo zapewa madawati 350

SHULE tano za msingi katika kata ya Kaniha wilayani Biharamulo mkoani Kagera, zimenufaika na msaada wa madawati 350 yenye thamani ya Sh milioni 17.5, yaliyotolewa na kampuni ya Stamigold inayoendesha mgodi wa Biharamulo.

 

10 years ago

Michuzi

Chato, Biharamulo kupata umeme wa uhakika kuanzia Jumapili

Na Teresia Mhagama Imeelezwa kuwa Wilaya za Chato na Biharamulo zitaanza tena kupata umeme wa uhakika ifikapo Jumapili ya tarehe 19 Julai, 2015 baada ya kukamilika kwa ukarabati wa mtambo wa umeme wa kilowati 650 unaohudumia wilaya hizo.  Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Kagera na kujionea maendeleo ya ufungaji wa mtambo huo wa pili uliofungwa wilayani Biharamulo ambao ulianza kufanya kazi mwanzoni mwa mwezi Juni mwaka...

 

10 years ago

Michuzi

Umeme wa uhakika, Chato, Biharamulo kupatikana Juni, 2015

Na Teresia Mhagama
Imeelezwa kuwa wilaya za Chato na Biharamulo zitapata umeme wa uhakika ifikapo mwanzoni mwa mwezi Juni mwaka huu mara baada ya kukamilika kwa ufungaji wa mtambo wa pili wa umeme wilayani Biharamulo mkoani Kagera.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Kagera na kujionea maendeleo ya ufungaji wa mtambo huo utakozalisha umeme wa kiasi cha kilowati 650. Mwijage amesema kuwa mtambo huo utakaoanza kazi...

 

9 years ago

StarTV

Hatimaye kijiji cha Mpago Biharamulo chapatiwa hati ya ardhi

Mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka sita baina ya wakala wa huduma za misitu TFS, Serikali ya kijiji cha Kaniha na halmashauri ya wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera hatimaye umepatiwa ufumbuzi.

Mgogoro huo ulisababisha baadhi ya miradi ya maendeleo kukwama ikiwemo ujenzi wa shule pekee ya msingi Mpago iliyopo kijijini humo.

Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Biharamulo Nassib Mbaga wakati akikabidhiwa madarasa mawili na ofisi moja ya shule hiyo...

 

9 years ago

Michuzi

WATOTO WATATU WAFUTWA MACHOZI NA BIMA YA ELIMU YA BAYPORT BIHARAMULO

Na Mwandishi Wetu, Kagera TAASISI ya kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mambo ya mikopo, jana imewakabidhi hundi ya Sh Milioni tatu watoto watatu wilayani Biharamulo, mkoani Kagera, kwa ajili ya kunufaika na huduma ya Bima ya Elimu iliyoachwa na mzee wao Karume Ochieng aliyefariki Dunia, huku akiwa amejiunga na huduma ya bima kwa ajili ya watoto wake hao.Mratibu Mauzo wa Bima ya Elimu wa Taasisi ya Kifedha inayotoa Mikopo(Bayport Financial Services, Ruth Bura...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani