Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BONGO5 WAZINDUA RASMI TUZO ZA WATU TANZANIA

Mkurugenzi Mtendaji wa Bongo5, Nancy Sumari (katikati), Mhariri wa Bong Mhariri wa Bongo5, Fredrick Bundala(kulia) wakizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari. Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa kwenye uzinduzi huo. Akiongea na waandishi wa habari, Mkurugenzi Mtendaji wa Bongo5 Media Group, Nancy Sumari, amesema tuzo za watu Tanzania ni za kwanza za aina yake na zina lengo la kuwatambua watu… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BONGO5 MEDIA GROUP YATANGAZA MAJINA YATAKAYOWANIA TUZO ZA WATU TANZANIA, 2014

Tarehe 29 April, Bongo5 Media Group ilizindua rasmi tuzo za watu Tanzania kwa mwaka 2014. Uzinduzi huo ulienda sambamba na kuanza rasmi kwa mchakato wa kupendekeza majina yatakayoingia kwenye tuzo za mwaka huu. Wananchi walishiriki kupiga kura kupitia njia ya mtandao kwenye tovuti ya www.tuzozetu.com, na kwa njia ya ujumbe mfupi wa  simu za mkononi.


Awamu ya kwanza ya upigaji kura iliyodumu kwa wiki mbili na siku kadhaa imekua ikikusanya majina matano kwenye kila kipengele kama ifuatavyo:...

 

9 years ago

StarTV

Tanzania na UN wazindua rasmi malengo 17 ya maendeleo

Umoja wa Mataifa kwa Ushirikiano na Serikali ya Tanzania umezindua malengo ya Maendeleo Endelevu 17 (SDGs) jijini Dar es Salaam ikiwa ni ishara ya utekelezaji baada ya kuzinduliwa Rasmi na wakuu wa nchi mbalimbali Septemba 25, mwaka huu.

Uzinduzi huo umekuja baada ya kumalizika kwa Mpango wa Maendeleo ya Millennia uliodumu kwa miaka 15 uliokuwa na malengo 10 yakiwemo ya kumaliza umasikini, njaa na tabianchi.

 

Mkutano ulioamua na kupitisha malengo mapya endelevu kwa ulimwengu mzima,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Proin Promotions na Ubalozi wa Tanzania nchini Ubelgiji wazindua rasmi ununuzi wa filamu za Kitanzania Online

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Mheshimiwa Diodorus Kamala[l] akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wageni waalikwa kutoka mataifa mbalimbali katika uzinduzi wa filamu za kitanzania ambazo sasa zitakuwa zikiuzwa online.sherehe hizo za uzinduzi ambazo zilifanyika jijini Brussel nchini Ubelgiji na kuhudhuriwa na watu mbalimbali.  Mwenyekiti wa Proin Group Tanzania ndugu Johson Lukaza akizungumza machache na kuwashukuru watu wote waliohudhuria uzinduzi wa manunuzi ya filamu...

 

10 years ago

Vijimambo

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UBELGIJI UKISHIRIKIANA NA PROIN PROMOTIONS WAZINDUA RASMI MANUNUZI YA FILAMU ZA KITANZANIA ONLINE

 Mwenyekiti wa Proin Group Tanzania ndugu Johson Lukaza akizungumza machache na kuwashukuru watu wote waliohudhuria uzinduzi wa manunuzi ya filamu za kitanzania online hapo jana katika ukumbi wa ACP House jijini Brussel nchini Ubelgiji na kuudhuriwa na watu wa mataifa mbalimbali.Uzinduzi huo ulifanywa na balozi wa Tanzania Mheshimiwa Diodorus Kamala.Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Mheshimiwa Diodorus Kamala[l] akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wageni waalikwa kutoka mataifa...

 

10 years ago

Vijimambo

TUZO ZA FILAMU TANZANIA ZAZINDULIWA RASMI

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel, akiongea neno wakati wa uzinduzi wa Tuzo za filamu Tanzania chini ya Shirikisho la Filamu Tanzania.Raisi wa Shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba akielezea jambo katika hafla za uzinduzi wa Tuzo za Filamu Tnzania zilizofanyia mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.Lulu akipozi kwa picha katika uzinduzi huo.Kelvin akiwa katika zulia jekundu la uzinduzi huo.Naibu katibu mkuu wa Wizara ya...

 

10 years ago

Michuzi

TUZO ZA WATU TANZANIA 2015


Washindi wa Tuzo ya Watu Tanzania 2014

 

11 years ago

GPL

10 years ago

GPL

MCHAKATO WA TUZO ZA WANAWAKE WENYE MAFANIKIO TANZANIA WAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR

Rais wa Taasisi ya kijamii ya Wanawake wenye Mafanikio Tanzania (Tanzania Women of Achievement ),Bi. Irene Kiwia (kulia) akisisitiza jambo mbele ya wanahabari (hawapo pichani) juu ya utoaji wa Tuzo za Wanawake wenye Mafanikio Tanzania ambazo zitafanyika Machi 7,2015 kwa mara ya nne tangu kuanzishwa kwake, ikiwa na lengo la kuwatambua na kuwapongeza wanawake ambao wamechangia maendeleo ya nchi katika nyanja tofauti.… ...

 

9 years ago

Vijimambo

ULIISIKIA HII YA MANJI KUSHINDA SHANI AU TUZO KUBWA ZAIDI, TUZO AMBAYO HUWANIWA NA WATU KAMA DANGOTE


Mwenyekiti wa makampuni ya Quality group, Yusuf Manji ameibuka mshindi wa tuzo maarufu ya Mfanyabiashara Gwiji Duniani.
Manji ambaye ni mwenyekiti wa mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga ameibuka mshindi wa tuzo hiyo na kuwashinda mabosi wengine kama bilionea namba moja Afrika Aliko Dangote.Kwa mujibu wa mtandao wa Business Forum, Mwenyekiti huyo wa amekuwa kiongozi wa kwanza kutoka Afrika kushinda tuzo hiyo ambayo awali walikuwa wakichukua matajiri wengine wakubwa na maarufu kutoka katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani