BRELA YAPATIWA MAFUNZO YA KUJIKINGA NA VIRUSI VYA CORONA NA HOMA YA INI
Watumishi kutoka Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wamepewa mafunzo ya kujikinga dhidi ya virusi vya Corona (COVID-19) pia namna ya kuepuka ugonjwa wa homa ya Ini. Mafunzo hayo yametolewa na Madaktari bingwa wa magonjwa ya mlipuko kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. John C. Rwegasha na Dkt. Lilian Tina Minja katika ukumbi wa mikutano wa BRELA leo tarehe 17/03/2020 jijini Dar es salaam.
Katika mafunzo hayo Dkt. Minja amesisitiza kunawa vizuri mikono kila wakati kwa kutumia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA TTB WAPATA MAFUNZO YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA NA UKIMWI
Dkt. Grarvin Kweka wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akitoa mada ya namna ya kujikinga na virusi vya Corona kwa wafanyakazi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) juu ya kujikinga na...
5 years ago
MichuziSHIRIKA LA SEMA LATOA MAFUNZO YA KUJIKINGA NA VIRUSI VYA CORONA KWA WASAIDIZI WA KISHERIA ILONGERO MKOANI SINGIDA
Mtoto Samia Selemani akinawa mikono wakati wa kampeni ya utoaji elimu ya namna ya kujikinga dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa corona Ilongero Wilaya ya Singida Vijijini mkoani hapa jana. Kampeni hiyo ilifanywa na Shirika lisilo la Kiserikali la Sustanable Environment Management Action (SEMA) kwa kushirikiana na wadau kutoka Taasisi ya Empower Youth Prosperity ( EYP) ya mkoani Mbeya kwa ufadhili wa Shirika la Stromme East Africa Foundation lenye Makao Makuu Kampala nchini Uganda huku...
5 years ago
MichuziUVCCM WILAYA YA IRINGA WAENDELEA KUTOA EILIMU NA VIFAA VYA KUJIKINGA NA VIRUSI VYA CORONA
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi(UVCCM) Wilaya ya Iringa vijijini umeeleza kuwa zoezi la...
5 years ago
BBCSwahili25 Mar
Coronavirus: Tofauti kati ya virusi vya corona, homa ya kawaida na mzio
5 years ago
MichuziSBL yajitolea kusambaza vipeperushi kujikinga na vIrusi vya Corona
SBL tayari imeshavifikisha vipeperushi hivyo sehemu mbali mbali hapa nchini na kuvikabidhi kwa Waganga wakuu wa Mikoa na Wilaya pamoja na maafisa afya kwa ajili ya kuvigawa kwa wanachi wa maeneo husika. Mwakilishi wa...
5 years ago
MichuziVodacom Tanzania yatoa elimu ya kujikinga na virusi vya Corona
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC. makao makuu Jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza kwa makini Dkt. Ismail Gatalya wakati akitoa elimu na mafunzo kwa wafanyakazi hao juu ya namna ya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona.
5 years ago
BBCSwahili16 May
Habari katika Picha: Jitihada za kujikinga na virusi vya corona
5 years ago
BBCSwahili26 Jun
Virusi vya corona: Dereva bajaji wanaotoa mafunzo ya Corona nchini Tanzania
5 years ago
BBCSwahili23 Mar
Coronavirus: Je kujitenga na watu ni kupi na kunasaidia vipi kujikinga na virusi vya corona?