Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Brigedia Jenerali Njau awafunda wahitimu JKT

Mkuu wa Mafunzo na Operesheni wa Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Kamandi ya Nchi Kavu, Brigedia Jenerali Francis Njau amesema lengo la Serikali kutoa mafunzo ya kujitolea kwa vijana nchini ni kutaka kuwawezesha kujiajiri.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Jenerali Mwamunyange awafunda wakufunzi

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama wa Tanzania (JWTZ), Jenerali Devis Mwamunyange amesema katika kuendeleza juhudi za Serikali juu ya kuboresha mafunzo ya JKT nchini, wakufunzi wa mafunzo hayo wanapaswa kufuata maadili ya taaluma yao katika utekelezaji wa majukumu waliyokabidhiwa na jeshi hilo.

 

10 years ago

Habarileo

Brigedia Jenerali Mtezo kuzikwa leo

BRIGEDIA Jenerali mstaafu, Hashimu Said Mtezo (69) wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ambaye alifariki mwishoni mwa wiki, anatarajiwa kuzikwa leo Mbezi Louis jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

HATIMAYE BRIGEDIA JENERALI MBITA AZIKWA

Mwili wa Brigedia Jenerali Hashim Mbita ukiswaliwa Msikitini. Mwili wa Marehemu Mbita ukiingizwa kwenye gari maalum la Jeshi kwa ajili ya kupelekwa makaburi ya Kisutu Dar kwa maziko.…

 

10 years ago

Mtanzania

Brigedia Jenerali Mbita afariki dunia

mbitaJonas Mushi na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam

MMOJA wa Watanzania waliofanikisha ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika,Brigedia Jenerali Hashim Mbita (82), alifariki dunia jana katika Hospitali Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo ambako alikuwa amelazwa kwa muda mrefu.

Akizungumza na MTANZANIA nyumbani kwa marehemu Chang’ombe Madukani Dar es Salaam jana, mtoto wa marehemu Iddi Mbita alisema baba yake alifariki dunia saa 3:30 asubuhi baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu...

 

10 years ago

Mtanzania

Brigedia Jenerali Mbita kuzikwa leo

mbitaAdam Mkwepu na Easther Mnyika, Dar es Salaam
ALIYEKUWA Katibu Mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU), Brigedia Jenerali mstaafu Hashim Mbita (82), anatarajiwa kuzikwa leo jijini Dar es Salaam.
Mbita aliyefariki dunia Mei 26, mwaka huu katika Hospitali ya Jeshi Lugalo, anatarajiwa kuzikwa leo alasiri katika makaburi ya Kisutu.
Kifo cha mpigania uhuru huyo wa nchi za Afrika kimewagusa viongozi mbalimbali wa vyama na Serikali ambapo Katibu Mkuu wa Chama...

 

10 years ago

Mtanzania

Nchi 16 wamzika Brigedia Jenerali Mbita

Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam

VIONGOZI wa nchi mbalimbali za Afrika jana walijitokeza kuaga mwili wa aliyekua katibu mtendaji wa kamati ya ukombozi kusini Afrika, Brigedia Jenerali Hashim Mbita katika Hosipitali ya jeshi ya Lugalo, Dar es salaam.

Mbali na nchi hizo, Rais Jakaya Kikwete aliongoza kuaga mwili wa marehemu Mbita akifuatana na Rais mstaafu, Benjamin Mkapa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda pamoja na viongozi waandamizi wa jeshi na vyama vya siasa.
Mwili wa Mbita uliagwa jana...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wasira awafunda wahitimu St. Anne Marie

WANAFUNZI waliohitimu kidato cha nne nchini, wameaswa kutobweteka na kujiona kuwa wamemaliza shule badala yake waelewa kuwa safari ya elimu haina mwisho. Hayo yalisemwa jana na Waziri wa nchi, ofisi...

 

10 years ago

Mwananchi

JK aongoza mamia kumzika Brigedia Jenerali Mbita

Dar es Salaam. Mamia ya waombolezaji wakiongozwa na Rais Jakaya Kikwete jana walijitokeza katika Makaburi ya Kisutu jijini hapa kuuzika mwili wa Brigedia Jenerali Hashim Mbita aliyefariki dunia mwanzoni mwa wiki hii.

 

10 years ago

Michuzi

BRIGEDIA JENERALI MSAAFU HASHIMU SAID MTEZO AFARIKI DUNIA

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (TWTZ) linasikitika kutangaza kifo cha Brigedia Jenerali  (mstaafu) Hashimu Said Mtezo kilichotokea tarehe 04 Oct 14 kwa ugonjwa katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo     Dar es Salaam alipokuwa akipata matibabu.              

Alizaliwa Machi 18, 1945 Wilaya ya Dodoma mjini katika Mkoa wa Dodoma, alisoma katika shule ya Sekondari ya Tabora kuanzia mwaka 1962 hadi alipohitimu Kidato cha Sita mwaka 1967.  Alijiunga na Jeshi la Wananchi wa Tanzania tarehe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani