Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BUNDI WA AJALI TANZANIA BADO AENDELEA KULIA

Basi la Sai Baba Express limepata ajali eneo la Pingo, Chalinze leo asubuhi baada ya kutaka kulipita basi lingine wakati mvua ikinyesha na kupelekea basi hilo kupinduka. Basi hilo lilikuwa linatokea Dar likielekea mkoani Mbeya. kwa taarifa za mapema zinasema kuwa hakuna mtu aliyefariki katika ajali hiyo

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Amani Karume bado aendelea kuwa gumzo Kisonge

Na Mwadini Ali KILICHOANDIKWA kwenye ubao wa matangazo wa Maskani ya Muembekisonge, inayoendeshwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), ndio uthibitisho hasa wa fikra mgando zilizoganda akilini mwa viongozi wakuu wa chama hichi. Maskani hii imeandika maneno […]

The post Amani Karume bado aendelea kuwa gumzo Kisonge appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Vijimambo

DEVELOPING STORY: PICHA: MWANA DIASPORA BADO AENDELEA KUWA GUMZO MBIO ZA UBUNGE

Ni Liberatus Mwang'ombe ambaye amewahi kukaa Washigton D.C., ameendelea kukonga nyoyo za wana Mbarali kwa kila uchao. Kila baada ya mkutano wananchi wa Mbarali wamekuwa wakimuomba asipande gari na watembee naye umbali wa kilometer 2 hadi 3.
 "Wangapi watanipeleka Dododma? Mikono juu". Hayo yalikuwa maneno ya Mh. Mwang'ombe akiwauliza wananchi ambao wote walinyosha mikono juuBaada ya mkutano mitaa ilifungwa na wananchi kumwambia Mh. Mwang'ombe asipande gari bali atembee nao umbali wa kilometer...

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali za magari bado tishio-DCI Mngulu

>Jeshi la Polisi nchini limesema ajali za barabarani bado ni tishio kwa maisha ya watu na kwamba kati ya Januari na  Novemba mwaka huu watu 3,749 walikufa kwa ajali ikilinganishwa na watu 3,741 waliokufa mwaka 2012.

 

10 years ago

Vijimambo

Miaka 19 ya ajali Mv. Bukoba: Usafiri bado wa kubahatisha, Ahadi ya Rais kikwete haijatekelezwa.

Sehemu ya chini ya meli ya MV Bukoba iliyozama katika Ziwa Victoria na kuua mamia ya watu.
Ni kawaida kwa nchi yeyote kama ilivyo kwa watu binafsi, kuwa na utaratibu wa kuadhimisha matukio yaliyo muhimu katika historia ama maisha ya nchi zao, watu binafsi, jumuiya au taasisi.

Kwa ujumla, sherehe ama maadhimisho ya matukio ya aina hiyo muhimu, huweza kufanyika kwa namna mbili.
Kufanya kumbukumbu ya tukio au matukio ya furaha kwa upande mmoja, ama kumbukumbu ya tukio au matukio ya huzuni kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Bundi atua Chadema Singida, tafrani tupu

DSC01835

Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Singida katika picha.

Na Nathaniel Limu, Singida

WAKATI siku zikishika kasi kuelekea uchaguzi  mkuu mwakani,’Bundi’ ametua ndani ya CHADEMA mkoa wa Singida,na hali imechafuka kwa viongizi wake kuanza kuvuana uanachama na kufukuzana  uongozi.

Baraza la uongozi mkoa wa Singida, limemvua na kumfukuza uongozi Mwenyekiti wa jimbo la Singida mjini,J ohn Kalaye Kumalija kwa tuhuma ya kuwa na mgogoro wa muda mrefu na katibu wake.

Uamuzi huo umeaanza kutekelezwa kuanzia...

 

11 years ago

Mwananchi

Operesheni Pamoja Daima: Itamtimua huyu bundi Chadema?

>Mwaka 2013 ulimalizika vibaya kwa Chadema. Vivyo hivyo mwaka huu ulianza vibaya baada ya kuingiliwa na ‘bundi’ wa migogoro aliyepania kukipasua katika makundi mawili.

 

10 years ago

Vijimambo

MBWA DOMO BAYA LAWAMANI KWA KUMTOROSHA BUNDI WA KAMANDA

Jumamosi ya 6 Juni 2015 inasemekana haikuwa nzuri katika kambi ya FFU -ughaibuni baada ya msimu wa joto kuanza nchini ujerumani ,kikosi maalumu cha kuangalia wanyama kiliungana na Kamanda ras Makunja kumsaka Bundi wa mkuu
huyo wa Ngoma Africa Band,Bundi maarufu kwa jina la udi udi alichomoka katika
banda maalumu katika makao ya Ras Makunja marufu kama himaya ya Anunnaki Alien, Kutoroka kwa Bundi huyo kumesababishwa na mbwa wa kamanda aitwae Kopro Dogi Domobaya, mbwa huyo anashutumiwa kwa...

 

10 years ago

Michuzi

MBWA DOMO BAYA LAWAMANI KWA KUMTOROSHA BUNDI WA KAMANDA RAS MAKUNJA

Jumamosi ya 6 Juni 2015 inasemekana haikuwa nzuri katika kambi ya FFU -ughaibuni baada ya msimu wa joto kuanza nchini ujerumani, kikosi maalumu cha kuangalia wanyama kiliungana na Kamanda ras Makunja kumsaka Bundi wa mkuu huyo wa Ngoma Africa Band, Bundi maarufu kwa jina la udi udi alichomoka katika banda maalumu katika makao ya Ras Makunja marufu kama himaya ya Anunnaki Alien.
 Kutoroka kwa Bundi huyo kumesababishwa na mbwa wa kamanda aitwae Kopro Dogi Domobaya, mbwa huyo anashutumiwa kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM wazidi kulia na Warioba

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimezidi kuilaumu iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwa kuandika rasimu iliyojaa mawazo ya wajumbe wake waliotaka muundo wa serikali tatu. Lawama hizo zilitolewa jana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani