Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunduki ya FFU yatumika kwenye ujambazi

TUKIO la ujambazi ambalo liliua watu watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi, limechukua sura mpya baada ya silaha waliyokuwa wakitumia majambazi hao kugundulika kuwa ilikuwa ikimilikiwa na askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), Sospeter Peter Manyika ambaye kwa sasa yuko rumande.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Mamilioni yatumika kwenye miradi ya maendeleo Udonja 2015-2020

Na Amiri Kilagalila,Njombe . Zaidi ya milioni mia nne ishirini na saba zimetumika katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali za kimaendeleo ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya shule,barabara na madaraja kwa kipindi cha miaka mitano katika kata ya Udonja wilayani Wanging'ombe Mkoani Njombe

Hayo yamebainishwa na Diwani wa kata ya udonja Hapnes Bomba wakati akisoma taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa miaka mitano, ambapo amesema fedha hizo zimetolewa na serikali,mbunge wa...

 

10 years ago

Habarileo

Polisi Ilala wachunguza ujambazi kwenye daladala

JESHI la Polisi limesema linachunguza tukio la uporaji wa Dola za Marekani 570 lililofanyika kwenye daladala katika eneo la Jangwani, jijini Dar es Salaam lililosababisha kifo na majeruhi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Gesi ya chlorine yatumika Syria

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa linasema kuwa gesi ya chlorine ilitumika kwenye shambulizi mwezi uliopita nchini Syria.

 

11 years ago

KwanzaJamii

TRUVADA yatumika kuzuia UKIMWI

WANAWAKE wanaofanya biashara ya kuuza miili na wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja sasa wanatumia dawa za kufubaza makali ya Virusi vya Ukimwi aina ya Truvada pichani juu kwa ajili ya kuzuia maambukizi ya ugonjwa huo badala ya kutumia mipira ya kondomu. Baadhi ya wafanyabiashara ya ngono jijini katika maeneo ya Mwananyamala Hospitali, Komakoma na Vingunguti ambao walisema kuwa wanatumia dawa hizo kwa ajili ya kuzuia maambukizi ya VVU ili kuwaridhisha wateja wasiopendelea mipira...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sidiria yatumika kusafirisha 'unga'

Mwanamke muuza dawa za kulevya anakabiliwa na adhabu ya kifungo baada ya kukutwa amesheheni dawa za kulevya katika sidiria yake

 

10 years ago

BBCSwahili

Internet yatumika kuuza watoto China

Uchunguzi umebaini kuwepo matangazo ya kuuza watoto nchini China kwa njia ya Internet

 

10 years ago

BBCSwahili

Sumu yatumika kuua ndovu 60 Zimbabwe

Wawindaji haramu wamewaua ndovu 60 kwa kutumia sumu aina ya Cynide katika mbuga kubwa ya wanyama nchini Zimbabwe

 

10 years ago

Habarileo

Mabomu yatumika kuwadhibiti wanafunzi KIU

Sehemu ya wanafunzi hao wakitawanyikaPOLISI na askari wa Kikosi Maalumu cha Kuzuia Fujo (FFU) wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya wanafunzi wa Chuo cha Kimataifa cha Kampala (KIU) baada ya wanafunzi wa Fani ya Afya kugoma kuondoka chuoni hapo wakifanya mkusanyiko kulalamikia kuwa fani wanayosoma haijasajiliwa.

 

11 years ago

Habarileo

Mabomu yatumika kuzima vurugu Moravian

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius WamburaJESHI la Polisi jana lililazimika kutumia mabomu ya machozi, kutawanya waumini wa Kanisa la Moravian Ushirika wa Kinondoni, baada ya makundi mawili yanayovutana, kuibua vurugu kanisani hapo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani