Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge la Somalia lashambuliwa

Milipuko na risasi zimesikika huku majengo ya bunge la Somalia yakishambuliwa mjini Mogadishu wabunge wakiwa ndani kwa mkutano.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Bunge la Afghanistan lashambuliwa

Ripoti zinasema kuwa kumetokea mlipuko mkubwa karibu na bunge la Afghanistan huko Kabul .

 

9 years ago

GPL

SIMULIZI YA AL- SHABAB: WASHAMBULIA BUNGE LA SOMALIA

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Mpenzi mfuatiliaji wangu, wiki iliyopita tuliona jinsi ambavyo mapambano kati ya Al-Shabaab na majeshi ya Serikali ya Somalia yakisaidiwa na yale ya kigeni yalivyokuwa yakipambana. Licha ya vipigo vikali kutoka kwa majeshi ya Afrika, wapiganaji hao walishambulia Kambi ya Wakimbizi ya Daadab iliyopo kwenye mpaka wa Somalia na Kenya ambayo inahesabiwa kuwa moja ya kambi kubwa zaidi ya wakimbizi duniani....

 

11 years ago

BBCSwahili

Mlipuko Mkubwa karibu na Bunge Somalia

Mlipuko mkubwa umetokea na milio ya risasi imeripotiwa karibu na Bunge la Somalia.

 

11 years ago

BBCSwahili

Bomu laua wanne nje ya Bunge Somalia

Bomu lililotegwa kwenye gari limelipuka na kuua watu wanne karibu na Bunge la Somalia.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Basi la mahabusu lashambuliwa Dar



Lamiminiwa risasi mfululizo, watatu wajeruhiwa Balozi wa Libya nchini ajiua kwa risasi ofisini
NA MWANDISHI WETU
GARI la Magereza lililokuwa limebeba mahabusu likitokea Mahakama ya Mwanzo Kawe kwenda Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, limeshambuliwa kwa risasi na mtu asiyefahamika.

Wakati tukio hilo likitokea jana mchana maeneo ya Mikocheni na kusababisha askari Magereza wawili, akiwemo dereva na mahabusu kujeruhiwa,
aliyekuwa Kaimu Balozi wa Libya, Ismail Nwairat, alifariki dunia...

 

11 years ago

GPL

BASI LA MAGEREZA LASHAMBULIWA DAR

BASI la Jeshi la Magereza lililokuwa na mahabusu likitokea Mahakama ya Kawe jijini Dar es Salaam, limeshambuliwa na watu wenye silaha waliokuwa kwenye pikipiki. Inadaiwa kuwa watu hao walitaka kumdhuru mtu aliyekuwa kwenye gari lililokuwa mbele ya basi hilo. Walipoliona basi hilo wakadhani kuwa lazima kutakuwa na askari wenye silaha ndipo wakalishambulia. Katika shambulio hilo, dereva wa basi na askari mmoja wamejeruhiwa na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Gazeti jengine la Ujerumani lashambuliwa

Polisi nchini Ujerumani wanasema kumekuwa na shambulizi la kuchoma gazeti ambalo lilichapisha vibonzo vya Charlie Hebdo.

 

10 years ago

Vijimambo

GAZETI JINGINE LA UJERUMANI LASHAMBULIWA



Gazeti jengine la Ujerumani lashambuliwaGazeti la Humburger Post lililoshambuliwa kwa kuchapisha vibonzo vya kumkejeli mtume Mohammed.
Polisi nchini Ujerumani wanasema kuwa kumekuwa na shambuli la kuchoma moto ofisi za gazeti ambalo lilichapisha vibonzo kutoka kwa gazeti la vibonzo la Charlie Hebdo.
Mawe na vitu vinavyowaka moto vilirushwa katika dirisha la ofisi za gazeti la Hambuger Morgenpost mapema leo Jumapili.
Vyumba viwili kwenye afisi hizo viliharibiwa lakini moto huo ulizimwa kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani