Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bwana Apewe Sifa na Kuinuliwa

Wapendwa Watanzania na marafiki popote pale duniani,
Kwa niaba ya uongozi wa Tanzania Global Prayer Movement (TGPM) natoa shukrani za dhati kwa wale wote waliojiunga nasi kwenye maombi ya Jumapili hii na siku zote kuanzia Jumapili July 26 tukiombea utakaso wa kiti cha Raisi, Ikulu, viti vya wabunge na madiwani pamoja na amani wakati vyama vinajipanga sawa sawa na uchaguzi.
Yafuatayo ndiyo tunayoendelea kuombea mpaka siku ya Jumapili Agosti 9 ambapo itakuwa hitimisho la wiki tatu kuombea haya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA TAWI LA CCM NY BWANA SELF AKIDA AENDA KUTOA POLE NYUMBANI KWA BWANA KIBODYA.


Nyumbani kwa Bwana Isaac Kibondya akiongea na watu walioenda kumpa pole nyumbani kwake baada ya kufiwa na mkwe wake, Kifo kimetokea huko Tanzania siku ya Tarehe July, 16. Marehemu ni mzazi wa Mke wa Bwana Kibodya na Kama inakumbukwa wote walikuwa Tanzania kumuona marehemu akiwa anaumwa mwezi uliopita.
Mwenyekiti wa tawi la CCM New York bwana Seif Akida pamoja na Ny Ebra wote kutoka New York wakiwa nyumbani kwa bwana Kibodya Vail, Springfield. MA kutoa pole.




 

10 years ago

Mwananchi

Tibaijuka: Bwana alitoa, bwana ametwaa

>Siku moja baada ya kufukuzwa  uwaziri, Mbunge wa Muleba Kusini (CCM),  Profesa Anna Tibaijuka amewasili jimboni kwake na kusema, “Bwana alitoa na Bwana ametwaa.”

 

9 years ago

Dewji Blog

Pires amwagia sifa Wanyama, asema ana sifa zote za kucheza Arsenal

robert-pires_3068381k

Robert Pires.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Robert Pires amemsifia mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya na Southampton, Victor Wanyama na kuwa ana sifa za kucheza Arsenal kutokana na ubora alionao.

Pires aliulizwa na mwandishi wa habari wa Kenya kuhusu uwezo wa Wanyama na kusema kuwa amekuwa akimwangalia mchezaji huyo na anamwona kama mchezaji mwenye uwezo mzuri ambao kama akiongeza juhudi anaweza katika ubora wa wachezaji bora wa dunia.

“Namjua Wanyama, ni balozi...

 

11 years ago

Mwananchi

Rio: Rooney apewe unahodha

Rio Ferdinand anaamini kuwa mshambuliaji Wayne Rooney anafaa kuwa mrithi wa Steven Gerrard katika nafasi ya unahodha wa timu ya taifa ya England, lakini pia anaona ushindani uliopo kutoka kwa Joe Hart.

 

11 years ago

Mwananchi

Mjumbe ataka JK apewe Tuzo ya Katiba

>Mjumbe wa Bunge la Katiba, Yusuph Manyanga amependekeza Bunge hilo na Serikali kuandaa tuzo maalumu ya kumpatia aliyekuwa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge hilo, Pandu Ameir Kificho.

 

9 years ago

BBCSwahili

Moyes : Van gaal apewe muda

Meneja wa zamani wa Manchester United David Moyes ameitaka klabu hiyo kumpa muda kocha wa sasa wa kikosi hicho Louis van Gaal.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wataka Sokwe apewe haki za kibinadamu

Sokwe hawana haki sawa na binadamu na wala sio lazima wanyama hao kuachiwa huru na wale wanaowafuga. Hii ni kwa mujibu wa uamuzi wa mahakama nchini Marekani.

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha Majimaji ataka apewe miezi mitatu

Licha ya kusema timu yake iko tayari kwa Ligi Kuu, kocha mkuu wa Majimaji, Mika Lonnstrom amekiri kuwa bado kikosi chake hakijawa na ubora anaoutaka, ila amejipa miezi mitatu ili timu hiyo iwe fiti kwa asilimia 100.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanamke alivyokubali mtoto apewe jina la Arsenal

Shabiki mmoja wa Arsenal alifanikiwa kumshawishi mkewe wampe mtoto wao jina la Arsenal bila mwanamke huyo kugundua hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani