Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bweni laungua, wanafunzi 100 wakosa pa kulala

Wanafunzi 100 wa Shule ya Sekondari ya Kilimo ya Kilosa, hawana mahali pa kulala baada ya bweni lao kuteketea kwa moto jana asubuhi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Bweni sekondari Tabora laungua

Bweni moja la Shule ya Sekondari ya Mtakatifu Petro Manispaa ya Tabora, limeungua na kuteketeza mali za wanafunzi ambazo thamani yake haijajulikana.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanafunzi Njombe wateketeza bweni

Shule ya Sekondari ya Wavulana Njombe (Njoss) iliyoko mjini hapa, imefungwa kuanzia jana hadi Novemba 8, mwaka huu, baada ya wanafunzi kuchoma moto bweni, karakana na kuharibu mali mbalimbali za shule na walimu.

 

10 years ago

Mwananchi

Moto wateketeza bweni la wanafunzi wa kike Dar

Jengo  la ‘Block B’  la Hostel za Mabibo,  za wanafunzi wa kike wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), jijini hapa limeungua kwa moto na kuteketeza vifaa na mali kadhaa  za wanafunzi waliokuwa wakiishi kwenye jengo hilo.

 

10 years ago

Mwananchi

Nauli ya mabasi yawaliza wanafunzi wa bweni mkoani Tanga

Wanafunzi wanaosoma shule za bweni mkoani hapa, wameitaka Serikali kuweka utaratibu maalumu utakaoainisha nauli wanazopaswa kuzilipa katika mabasi makubwa ya mikoani kama ilivyo kwa daladala.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanafunzi 18,751 wakosa nafasi kidato cha tano

Wanafunzi 18,751 waliofaulu mtihani wa kidato cha nne mwaka 2014, wamekosa nafasi ya kujiunga na shule za kidato cha tano kwa sababu mbalimbali ikiwamo ufinyu wa nafasi.

 

11 years ago

Mtanzania

Moto wateketeza vyumba 20 vya kulala wanafunzi

Wafanyakazi wa  Shule ya sekondari ya African Muslim iliyopo mjini Moshi,wakifanya jitihada za kuzima moto kwenye Bweni la wasichana wa shule hiyo uliosababishwa na hitilafu ya umeme  juzi usiku. Picha na Fadhili Athumani

Wafanyakazi wa Shule ya sekondari ya African Muslim iliyopo mjini Moshi,wakifanya jitihada za kuzima moto kwenye Bweni la wasichana wa shule hiyo uliosababishwa na hitilafu ya umeme juzi usiku. Picha na Fadhili Athumani

FADHILI ATHUMANI NA SAFINA SARWATT, MOSHI

VYUMBA 20 vya bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari ya African Muslim, iliyoko Kata ya Kaloleni, Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, vimeteketea kwa moto.

Moto huo ambao ulizuka juzi saa 1:45 jioni na kuwaka kwa zaidi ya saa...

 

9 years ago

Michuzi

Zitto Kabwe akabidhi bweni la wanafunzi Shule ya watoto wenye ulemavu wa ngozi Buhangija, Shinyanga

Mbunge wa Kigoma mjini Mhe. Zitto Kabwe amekabidhi bweni la wanafunzi Shule ya watoto wenye ulemavu wa ngozi Buhangija iliyoko mkoani Shinyanga baada ya kutoa msaada wa kujenga bweni hilo.  Katika makabidhiano hayo Mhe.  Zitto alisema Tarehe 18 April mwaka huu alitembelea Shule hiyo akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Mama Anna E Mghwira kwa lengo la kusalimia watoto na walimu wao na kutazama mazingira ya watoto.  "Nilifika hapa kwa lengo la kuona mazingira ya shule na watoto...

 

11 years ago

Michuzi

Bonnah Education Trust Fund kuwasomesha sekondari wanafunzi 100

 Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Elimu wa Bonnah (Bonnah Education Trust Fund), Bonnah Kaluwa (wa pili Kulia) akizungumzia uzinduzi wa Awamu ya Pili ya Mpango wa ‘Elimu Mwanzo Mwisho’, ambapo wanafunzi wengine 100 wasio na uwezo na yatima wa jijini Dar es Salaam watakaofaulu kujiunga na elimu ya sekondari watanufaika na mpango huo kwa kulipiwa ada.Mfuko huo umeandaa Chakula cha Hisani Agosti mwaka huu.

Meneja Rasilimali Watu na Utawala wa Kampuni ya Aramex Tanzania Limited,  Jane Njagi...

 

10 years ago

Bongo5

Weusi wapanga kujenga maktaba 100 nchini kote ili wanafunzi wajisomee

Weusi wanaendelea kufikia ‘Nje ya Box’ kila kukicha. Kundi hilo linatarajia kushirikiana na Watanzania kujenga maktaba 100 katika vijiji mbalimbali vya Tanzania ili kuwahamasisha wanafunzi kujisomea. Msemaji wa kundi hilo, Nick wa Pili ameiambia 255 ya kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa kundi hilo lilikuwa na mpango huo kwa miaka mingi na sasa unakaribia […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani