CATHY: NILIJITEGEMEA KABLA SIJAKOMAA!
![](http://api.ning.com:80/files/QsQ1m7RyND0mTCLoQIPFMZdSkJCXbRgAsuRQV0KVSVwTvQ51FaE7XEOyUWz8KGx0bzFmlG*gis8EcqSXv0kcURvobmOeAzYa/CATHY.jpg)
KAMA kawa kama dawa, ndani ya Exclusive Interview leo tupo naye muigizaji mkongwe wa sinema za Kibongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ ambaye alianza sanaa tangu enzi za makundi hadi zilipofika zama za kurekodi sinema. Muigizaji mkongwe wa sinema za Kibongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ Alifanikiwa kuanza kutengeneza jina lake katika Kundi la Mambo Hayo na baadaye Kaole. Hapa chini amezungumza vitu vingi na mwandishi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q34XLvoT5YiZKrvOLaIoOK7uPlhYD0D-KtepReakv7f0CL73bZT0MudDQqpNJXqyv03KfVsqsni36Ke-8hU3Qmg9xz5crU01/cathy.jpg?width=650)
CATHY: NITAKUFA NAIGIZA
Stori:Andrew Carlos MKONGWE wa filamu kutoka Bongowood, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kuwa hataacha kuigiza mpaka siku anaingia kaburini. Mkongwe wa filamu kutoka Bongowood, Sabrina Rupia ‘Cathy’ Akipiga stori mbilitatu na mwandishi wetu, Cathy ambaye aliyetamba na Tamthiliya ya Simu ya Mkononi alimshukuru mumewe kwa kumpa sapoti mpaka alipofikia. “Kwenye filamu imeanza kuigiza toka sini...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XnAxcylq3iihD*oTzTMA1WzKo6AxGXbsq*BmoeKcVvmurfTt6FvdrN*1qmsqNkHCjQClzHUA3Hs3l0JPq*j9jC-aj1IzVW*B/gfhshj.jpg?width=650)
CATHY ATESWA NA UPWEKE!
IMELDA MTEMA MSANII mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amesema kuwa kwa sasa yupo katika kipindi kigumu cha upweke kutokana na mume wake kuhamishiwa Kisiwani Unguja kikazi. MSANII mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’. Akizungumza na mwandishi wetu, Cathy alisema kuwa hakuna kitu kigumu na kinachomtesa kama kutenganishwa na mtu ambaye anampenda...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hlBnt738bkwvvykJy9AlN4obeVVUjieDNv-epzOMe9*vBdA-9KswMRBXaFc-CoYpEfP0wpA7ler8lCKacMpKg5C*ulrir6f7/cathy.jpg)
MAWIFI WAMKERA CATHY
Stori: Gladness Mallya MSANII mkongwe wa filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kuwa anakerwa na tabia za mawifi kuwachukia wake za kaka zao bila sababu za msingi. Msanii mkongwe wa filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ Akichonga na paparazi wetu, Cathy alisema mawifi wengi huwachukia na kuwawekea vinyongo wake wa kaka zao hata kama hawajawakosea, kitu ambacho kinamkera na anaamini siyo yeye peke...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*XYMiYVii2v6sduZtvuNsosvIrhErYbAAZaDIqb8f-mvM5FSoS02SP3tOZJoPMMbS5gI5WXXjrrRPM29aUOtBKX/mainda.jpg?width=650)
NDOA YA CATHY YACHOKONELEWA
Na Imelda Mtema
MKONGWE Bongo Movies, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kuwa kuna mwanamke ambaye anaichokonoa ndoa yake kwa nia ya kuivunja. Sabrina Rupia ‘Cathy’. Akizungumza na mwandishi wetu, Cathy alisema amechunguza na kugundua kuna mwanamke ambaye anatuma meseji kwa mumewe na kwake kwa lengo la kuwagombanisha. “Anatumia kila njia kuisambaratisha ndoa yangu, anajisumbua, najua ni mwanamke...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/w3eiFFRDzzfFANOeWbWOckzM4Va*Ya3qjg*x8cyt92Kywt1S2kznStLXpDh0anPt1NfeFWF2o17DYXGnP1SFeFQCsZaWj4NA/cathy.jpg)
MAWIFI WAITIKISA NDOA YA CATHY
Stori: Gladness Mallya NDOA ya msanii mkongwe wa filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ ipo katika mtikisiko mkubwa kufuatia mawifi zake kumpenda zaidi mwanamke aliyezaa na mumewe kabla hajaolewa. Msanii mkongwe wa filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’. Chanzo makini kinasema Cathy yupo katika wakati mgumu kwani amesimama na mumewe tu na hakuna hata wifi mmoja ambaye anamkubali, bali wote wameelekeza nguvu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t08dki1KeXzkx6t6RlTHPTH8b529GBWb-3daH7Vhpco-V3C-MjatNaDkfAHA-g*qVceSt3-Ewc*zMQaxb94gTNEojTxKkTpO/CATHY.jpg?width=650)
CATHY: MIAKA 13 YA NDOA NIACHIKE, MH!
Stori: GLADNESS MALLYA MSANII mkongwe kunako gemu la filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kuwa hawezi kuachika kwenye ndoa yake iliyodumu kwa miaka 13 na wanaosubiri aachwe, watasubiri sana. Msanii mkongwe kunako gemu la filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’. Akizungumza na paparazi wetu juzi Cathy alisema kuwa, amekuwa akizushiwa kwamba anatoka nje ya ndoa na wasanii tofauti lakini hayo ni...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4MXCALxsrL2v*4rrUUx7LkijJK1hyKvdHeG-Vocp3Jqi7L9V0g6Hk7-FvSBlz07TCOx4l*ynuL8BA2E3yehoeNzEKsWsKJu5/cathy.jpg?width=650)
CATHY: KUSHINDANIA MAGARI NI USHAMBA
NA IMELDA MTEMA MKONGWE katika sanaa, Subrina Rupia ‘Cathy’ amewapa makavu wasanii wenzake ambao kila kukicha wanasifika kwa kushindana kununua magari mapya. Mkongwe katika sanaa ya maigizo, Subrina Rupia ‘Cathy’. Akizungumzia malengo yake mbele ya kinasa sauti cha Amani, Cathy alisema yeye siku zote anaamini zaidi katika kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba na si magari kama wasanii wengi wanavyoendekeza...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfiqPvmGUhlFkYDLDxeTRfLgzTwFjPKX-xe*yCEbwvGXRzNiyKyyR0D4wuheovFL9kCQ6rdwCWhd3476twa5YI6J/cathy.jpg?width=650)
CATHY ATANGAZA VITA NA MASTAA
Na Gladness Mallya MSANII mkongwe kwenye gemu la filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka hatokaa karibu na mastaa wa kike, badala yake atakuwa na marafiki wa kiume. Akipiga stori na paparazi wetu, Cathy alisema ameamua kubadili mfumo wa maisha na amejiweka pembeni na haitaji urafiki na wasanii wa kike kwani kazi yao kubwa ni kupiga majungu. Msanii mkongwe kwenye gemu la filamu Bongo, Sabrina Rupia...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1VJR9F-zilrU4mJL4pvZkOmRRgjU24zKqg7VHJpf9CiI7Q4kketybN37pVmlFPukaHVAwXhppp1dWOPTyNrXHYh0c-Myc*RM/CATHY.jpg)
CATHY: BONGO MUVI INAKUFA
Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu ambaye pia ni mweka hazina msaidizi wa klabu ya Bongo Movie Unity, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kwamba anaona kundi hilo linakwenda kufa na halitakuwepo kabisa kutokana na kujiuzulu kwa mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Msanii wa filamu Bongo Movie Unity, Sabrina Rupia ‘Cathy’. Akistorisha na paparazi wetu, Cathy alisema...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania