Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema kujenga viwanda Moshi

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Moshi Mjini, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Japhari Michae amehidi kuinua uchumi wa mji wa Moshi kupitia viwanda, kwa lengo la kupunguza tatizo la ajira, endapo wananchi watampa ridhaa ya kuwa mbunge wao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

UWASWATA YADHAMIRIA KUJENGA VIWANDA VIDOGO NCHINI

Na Leandra Gabriel, Michuzi TVUMOJA wa wajasiriamali wanaojishughulisha na utengenezaji wa sabuni nchini, wamezindua rasmi umoja wao unaokwenda kwa jina la Umoja wa Watengenezaji Sabuni  wadogo Tanzania (UWASWATA) utakaokuwa unafanya kazi chini ya mwavuli wa Shirika linalosimamia viwanda vidogo vidogo (SIDO) na ofisi ya mkemia mkuu wa Serikali.
Akizungumza na blogu ya jamii mara baada ya kuzindua umoja huo katibu mkuu wa umoja huo Maria Lucas amesema kuwa umoja huo una malengo ya kuwainua...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dkt. Magufuli aahidi kujenga viwanda vya Mananasi, Pamba na minofu ya Samaki Geita

 Mkazi wa Kijiji cha Nyamatongo, wilayani Sengerema, Mwanza, akiwa amevaa kichwani  mfano wa karatasi la kupigiwa kura lenye picha ya Mgombea urais wa Tganzania kupitia CCM, Dk John Magufuli na mgombea mwenza Samia Suluhu Hassan. Dk Magufuli alihutubia mkutano wa kampeni katika Kijiji hicho.

Dk Magufuli ameahidi kujenga viwanda vya kukamua juisi za mananasi yanayolimwa kwa wingi mkoani Geita ili kuongeza thamani ya zao hilo pamoja na kufufua viwanda vya pamba.PICHA NA RICHARD...

 

9 years ago

Vijimambo

CHADEMA MOSHI MJINI WATANGAZA ILANI YA UCHAGUZI YA JIMBO LA MOSHI MJINI.

Meneja Kampeni wa mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini kupitia Chadema na UKAWA,Jafary Michael ,Bw Raymond Mboya akifanya utamburisho mbele ya wanahabari wa mkutano wa mgombea huyo na wanahabari uliofanyika katika Hotel ya Keys.Waandishi wa Habari mkoa wa Kilimanjaro ambao ni wawakilishi wa vyombo mbalimbali vya Habari nchini wakiwa katika kikao na mgombea Ubunge jimbo la Moshi mjini kupitia Chadema na UKAWA,Jafary Michael.
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini aliyemaliza muda wake ,Philemoni...

 

9 years ago

Michuzi

mahafali ya 14 ya Mzumbe kampasi ya dar es salaam yafana, chuo chaazimia kujenga uwezo wa wajasiriamali wa viwanda vidogo

Chuo Kikuu cha Mzumbe kampasi ya Dar es Salaam kinatarajia kuanza kuwajengea uwezo wajasiriamali wa viwanda vidogo ili kuunga mkono juhudi za serikali katika kuiendeleza sekta hiyo na kuwa na mchango mkubwa katika maendeleo. Kaimu Makamu wa Chuo hicho, Profesa Josephat Itika alisema wakati wa mahafali ya 14 kuwa kwa sasa Kampasi hiyo inaandaa miradi mbalimbali ya ushauri na kozi fupi kwa kushirikiana na chuo cha Stellenbosch cha Afrika Kusini tayari kuanza kwa mpango huo mwakani. Alisema pia...

 

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA ZAO LA KOROSHO WATENGA BILIONI 6 KUJENGA VIWANDA VYA KUBANGUA KOROSHO.

Na Ismail NgayongaMFUKO wa wakfu wa kuendelezazao la Korosho nchini umetenga kiasi cha Tsh. Bilioni 6 kwa ajili ya ujenzi wa viwanda vitatu vya kubangulia korosho vitakavyojengwa katika Wilaya za Mtwara, Tunduru na Mkuranga.

Taasisi zitakazojenga viwanda hivyo ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kupitia Kitivo cha Biashara na Chuo Kikuu  cha Ardhi (ARU).


Akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa mikataba baina ya mfuko huo na wataalamu washauri jana (Jumatano Mei 6, 2015), Mwenyekiti wa Bodi ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mfuko wa kuendeleza zao la Korosho watenga bilioni 6 kujenga viwanda vya kubangulia Korosho

1.

Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania, Mundhir Mundhir akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya utiaji saini wa mikataba ya ujenzi wa viwanda vitatu vya korosho katika Wilaya za Mtwara, Tunduru na Mkuranga kati ya Mfuko Mfuko wa kuendeleza Zao la Korosho Nchini na wataalamu washauri wa kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi cha Jijni Dar es Salaam na Shule ya Elimu ya Biashara katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mtendaji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uhamiaji Moshi waichokoza CHADEMA

SIKU chache kabla kufanyika kwa uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata 27 nchini, Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Kilimanjaro inadaiwa kumwita na kumuhoji mgombea udiwani wa Kata ya Kiboriloni, Frank...

 

10 years ago

Mwananchi

Madiwani Chadema wasusia kikao Moshi

Baraza la Madiwani la Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro limesusia kushiriki kikao cha bajeti na kuamua kutoka nje ya ukumbi, wakimtuhumu mkurugenzi wa manispaa hiyo, Shaban Ntarambe kushiriki katika mgogoro wa kiwanja.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA Moshi yashtukia hujuma za CCM

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeshtukia mkakati wa kimya kimya unaotajwa kufanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa Desemba 14 na ule mkuu mwakani....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani