Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uhamiaji Moshi waichokoza CHADEMA

SIKU chache kabla kufanyika kwa uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata 27 nchini, Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Kilimanjaro inadaiwa kumwita na kumuhoji mgombea udiwani wa Kata ya Kiboriloni, Frank...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

CHADEMA MOSHI MJINI WATANGAZA ILANI YA UCHAGUZI YA JIMBO LA MOSHI MJINI.

Meneja Kampeni wa mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini kupitia Chadema na UKAWA,Jafary Michael ,Bw Raymond Mboya akifanya utamburisho mbele ya wanahabari wa mkutano wa mgombea huyo na wanahabari uliofanyika katika Hotel ya Keys.Waandishi wa Habari mkoa wa Kilimanjaro ambao ni wawakilishi wa vyombo mbalimbali vya Habari nchini wakiwa katika kikao na mgombea Ubunge jimbo la Moshi mjini kupitia Chadema na UKAWA,Jafary Michael.
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini aliyemaliza muda wake ,Philemoni...

 

9 years ago

Mtanzania

Mwanamkakati Chadema alikiuka masharti ya ukaaji — Uhamiaji

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

IDARA ya Uhamiaji imesema mwanamkakati wa aliyekuwa mgombea  urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Bashir Awale, amekiuka masharti ya kibali cha ukaaji alichopewa.

Kamishna  wa Uhamiaji, Usimamizi na Udhibiti wa Mipaka nchini,  Abdullah Abdullah    alisema hayo jana alipotoa ufafanuzi kuhusu hatua ya polisi kumkamata Awale   Jumatatu iliyopita.

“Hati yake ni ya ukaaji …inampa sifa ya mgeni aliyeruhusiwa kuishi nchini kwa kazi ya uwekezaji na...

 

10 years ago

Vijimambo

Maelezo ya Mwanasheria wa Uhamiaji kuhusu sheria mpya za uhamiaji nchini Marekani

Mwanasheria wa uhamiaji Fatmata Barrie akizungumza na wanaDMV kwenye mkesha wa mwaka mpyaKatika mkesha wa mwaka mpya (2014-2015), Jumuiya ya waTanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia , kulikuwa na matukio mbalimbali.
Moja wapo lilikuwa ni maelezo ya mwanasheria wa uhamiaji Fatmata Barrie kuhusu maamuzi mapya ya serikali ya Marekani kwenye sheria za uhamiaji.
Karibu umsikilize

 

10 years ago

Michuzi

Idara ya Uhamiaji yaendelea kupambana na uhamiaji haramu nchini

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
IDARA ya Uhamiaji nchini,Imesema inaendelea kupambana na uhamiaji haramu nchini na kuwataka wananchi waendelee kutoa taarifa za wahamiaji haramu na hatua zinachukuliwa dhidi ya wahamiaji hao.
Hayo ameyasema,Naibu Kamishina wa Idara ya Uhamiaji na Msemaji wa Mkuu wa Idara hiyo,Abbas Irovya ,amesema idara ya uhamiaji inaendelea kupambana na wahamiaji haramu na kufanya uhamiaji haramu kupungua.
Irovya amesema kuwa kuna gazeti moja la wiki jina tunalihifadhi...

 

9 years ago

Habarileo

Chadema kujenga viwanda Moshi

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Moshi Mjini, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Japhari Michae amehidi kuinua uchumi wa mji wa Moshi kupitia viwanda, kwa lengo la kupunguza tatizo la ajira, endapo wananchi watampa ridhaa ya kuwa mbunge wao.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA Moshi yashtukia hujuma za CCM

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeshtukia mkakati wa kimya kimya unaotajwa kufanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa Desemba 14 na ule mkuu mwakani....

 

10 years ago

Mwananchi

Madiwani Chadema wasusia kikao Moshi

Baraza la Madiwani la Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro limesusia kushiriki kikao cha bajeti na kuamua kutoka nje ya ukumbi, wakimtuhumu mkurugenzi wa manispaa hiyo, Shaban Ntarambe kushiriki katika mgogoro wa kiwanja.

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA CHADEMA MJINI MOSHI MKOANI KILIMANJARO.

Mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe akihutubia mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Reli, Kata ya Njoro, Manispaa ya Moshi mjini jana.Baadhi ya Wakazi wa  Kata ya Njoro,Manispaa ya Moshi mjini wakiwa kwenye mkutano wa hadhara katika uwanja wa reli wakimsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa ,Mh Freeman Mbowe.

 

9 years ago

Mwananchi

Mosha wa CCM apongeza ushindi wa Chadema Moshi

Aliyekuwa mgombea ubunge wa CCM Jimbo la Moshi Mjini, Davis Mosha amempongeza mpinzani wake, Jaffar Michael wa Chadema kwa kupata ushindi wa kishindo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani