Mwanamkakati Chadema alikiuka masharti ya ukaaji — Uhamiaji
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
IDARA ya Uhamiaji imesema mwanamkakati wa aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Bashir Awale, amekiuka masharti ya kibali cha ukaaji alichopewa.
Kamishna wa Uhamiaji, Usimamizi na Udhibiti wa Mipaka nchini, Abdullah Abdullah alisema hayo jana alipotoa ufafanuzi kuhusu hatua ya polisi kumkamata Awale Jumatatu iliyopita.
“Hati yake ni ya ukaaji …inampa sifa ya mgeni aliyeruhusiwa kuishi nchini kwa kazi ya uwekezaji na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima19 Feb
CHADEMA yampa JK masharti magumu
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimempa siku tatu Rais Jakaya Kikwete afute kauli ya kutaka CCM wajibu mapigo ya wapinzani, kikidai kuwa inachochea vita ya kiraia ndani ya nchi....
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
Uhamiaji Moshi waichokoza CHADEMA
SIKU chache kabla kufanyika kwa uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata 27 nchini, Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Kilimanjaro inadaiwa kumwita na kumuhoji mgombea udiwani wa Kata ya Kiboriloni, Frank...
11 years ago
Vijimambo
MBUNGE WA KAWE CHADEMA ALALA SEGEREA BAADA YA KUSHINDWA MASHARTI YA DHAMANA

Mdee na wenzake nane mapema leo walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar na kukana tuhuma zinazowakabili.Mdee na wenzake hao wanashitakiwa kwa makosa mawili kototii amri za maofisa wa polisi na kufanya maandamano kinyume na sheria Jumamosi iliyopita ya Oktoba...
10 years ago
VijimamboMaelezo ya Mwanasheria wa Uhamiaji kuhusu sheria mpya za uhamiaji nchini Marekani
Moja wapo lilikuwa ni maelezo ya mwanasheria wa uhamiaji Fatmata Barrie kuhusu maamuzi mapya ya serikali ya Marekani kwenye sheria za uhamiaji.
Karibu umsikilize
10 years ago
Michuzi
Idara ya Uhamiaji yaendelea kupambana na uhamiaji haramu nchini
IDARA ya Uhamiaji nchini,Imesema inaendelea kupambana na uhamiaji haramu nchini na kuwataka wananchi waendelee kutoa taarifa za wahamiaji haramu na hatua zinachukuliwa dhidi ya wahamiaji hao.
Hayo ameyasema,Naibu Kamishina wa Idara ya Uhamiaji na Msemaji wa Mkuu wa Idara hiyo,Abbas Irovya ,amesema idara ya uhamiaji inaendelea kupambana na wahamiaji haramu na kufanya uhamiaji haramu kupungua.
Irovya amesema kuwa kuna gazeti moja la wiki jina tunalihifadhi...
5 years ago
BBCSwahili02 Jun
Virusi vya corona: Serikali zimeanza kulegeza masharti ya kukabiliana maambukizi, Je kulegeza masharti ni hatari kiasi gani?
11 years ago
Michuzi29 Jul
11 years ago
Mwananchi29 May
Masharti yawatesa wauza samaki
10 years ago
Raia Tanzania07 Sep
Kocha Yanga atoa masharti
KOCHA wa Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga Hans Pluijm ameikataa kambi ya Zanzibar ameutaka uongozi kutafuta kambi hapa Dar es Salaam kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wao wa kwanza wa ligi Kuu dhidi ya Coastal Union Jumapili katika Uwanja wa Taifa.
Awali uongozi wa Yanga ulitangaza kwenda kuweka kambi visiwani Zanzibar na kucheza mchezo mmoja wa kirafiki ili kujiweka sawa na Ligi Kuu Tanzania Bara.
Katibu Mkuu wa Yanga Jonas Tiboroha alisema jana kuwa kocha wao hameghairi...