Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA yampa JK masharti magumu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimempa siku tatu Rais Jakaya Kikwete afute kauli ya kutaka CCM wajibu mapigo ya wapinzani, kikidai kuwa inachochea vita ya kiraia ndani ya nchi....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ugiriki yakubaliana na masharti magumu

Bunge la Ugiriki limepitisha masharti magumu yaliyowekwa na Jumuiya ya nchi za ukanda wa Euro.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Lowassa awapa masharti magumu polisi

ALIYEKUWA mgombea Urais wa Chadema, Edward lowassa, amelitaka jeshi la Polisi nchini kuwachukulia hatua wale wote wanadaiwa kumuua, aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo na kwamba kama hawatafanya hivyo, watachukua hatua wao wenyewe.Anaandika Moses Mseti, Mwanza … (endelea). Kauli hiyo ameitoa ikiwa ni siku mbili sasa tangu Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, kutoa hukumu

 

10 years ago

GPL

MAFUFU AMPA MASHARTI MAGUMU MKEWE!

Msanii wa filamu za Bongo, Jimmy Mafufu akiwa na mkewe.
Na Brighton Masalu
SIKU chache baada ya kuripotiwa kutengana na mkewe, msanii wa filamu za Bongo, Jimmy Mafufu ameibuka na ‘kuachia silabi’ zinazoashiria kumpa masharti magumu mwandani wake huyo. Akizungumza kwa njia ya simu na mwandishi wetu juzi, Mafufu alisema kwa kuwa mkewe aliamua kuita waandishi wa habari wakati wa kuondoka hata wakati wa kurejea...

 

11 years ago

Habarileo

Wassira- Masharti kwenda peponi magumu

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wasira alisababisha kicheko kwa waombolezaji katika maziko ya Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Gabriel Tuppa baada ya kulalamikia masharti yanayoambatana na safari ya kwenda peponi.

 

11 years ago

Mwananchi

Upinzani watoa masharti magumu kushiriki Uchaguzi Mkuu 2015

Serikali imetakiwa kuandaa taratibu za mpito za kushughulikia Uchaguzi Mkuu ujao ili kunusuru nchi kuingia katika mtanziko unaoweza kuwa chanzo cha machafuko ya kisiasa, endapo utafanyika bila kupatikana kwa Katiba Mpya la sivyo Kambi Rasmi ya haitashiriki.

 

9 years ago

Bongo5

Nahreel aelezea kwanini ameweka masharti magumu ya kujiunga na chuo chake cha muziki

Producer wa The Industry, Nahreel amesema kuwa lengo la kuanzisha chuo cha muziki ni kutaka kutengeneza watu watakaoweza kuja kuleta mapinduzi kwenye muziki wa Bongo. Hit maker huyo wa ‘Nana’ ya Diamond na ‘Game’ ya Navy Kenzo ameongeza kuwa kutokana na sababu hiyo ndio maana hachukui watu hovyo hovyo wanaohitaji kujiunga na chuo chake cha […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yampa Kitundu siku 14

p>CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa siku 14 za kujieleza kwanini asifukuzwe uanachama, aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Singida, ambaye amejiuzulu, Wilfred Kitundu kwa kukashifu chama na...

 

10 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YAMPA ADHABU YA KUFUA MASHUKA YA HOSPITAL DIWANI WA CHADEMA

Na Editha Karlo wa Globu ya jamii,Kigoma
MAHAKAMA ya Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma imempa adhabu ya kufua mashuka ya wagonjwa katika hospital ya Wilaya ya Kakonko  na kuzibua mitaro ya barabarani Diwani wa kata ya Kasanda  kupitia tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yeye na wenzake wanne kwa muda wa siku kumi na nne baada ya kukutwa na hatia ya makosa matatu.
Mbele ya hakimu mfawidhi wa mahakama ya Wilaya ya Kibondo Erick Marley,mwendesha mashitaka wa polisi Peter Makala...

 

9 years ago

Mtanzania

Mwanamkakati Chadema alikiuka masharti ya ukaaji — Uhamiaji

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

IDARA ya Uhamiaji imesema mwanamkakati wa aliyekuwa mgombea  urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Bashir Awale, amekiuka masharti ya kibali cha ukaaji alichopewa.

Kamishna  wa Uhamiaji, Usimamizi na Udhibiti wa Mipaka nchini,  Abdullah Abdullah    alisema hayo jana alipotoa ufafanuzi kuhusu hatua ya polisi kumkamata Awale   Jumatatu iliyopita.

“Hati yake ni ya ukaaji …inampa sifa ya mgeni aliyeruhusiwa kuishi nchini kwa kazi ya uwekezaji na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani