CHADEMA yatanga kiama kwa wasaliti
UONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Dodoma umetangaza kiama kwa wanachama mamluki ambao wamekuwa wakitumiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa ajili ya kusababisha migogoro ndani...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Mnyika: Wasaliti hawaponi CHADEMA
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kitaendelea kutimua wasaliti na kutaka wananchi kuendelea kuwaunga mkono kwenye Operesheni ‘M4C Pamoja Daima’. Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, alitoa kauli hiyo jana...
11 years ago
BBCSwahili13 Jan
Kagame:Onyo kwa wasaliti Rwanda
9 years ago
StarTV21 Dec
Viongozi wa CCM Iringa wafungiwa ndani kwa saa 4 madai ya kutowawajibisha wasaliti
Viongozi wa chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Iringa, wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kufungiwa ndani kwa takribani saa nne – katika jengo la CCM Mkoa, kwa kile kinachotajwa kushindwa kuwachukulia hatua wasaliti wa chama hicho.
Tukio hilo linalodaiwa kufanywa na baadhi ya vijana wa chama hicho, wakishinikiza kujihudhuru kwa Jesca Msambatavangu- mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, kiongozi anayetajwa kukihujumu chama na kusababisha jimbo la Iringa mjini kuchukuliwa na Upinzani.
katika...
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-oqA7vQY3_4s/U76q5EmucOI/AAAAAAAABV0/JYZH9pmcwyU/s72-c/Unknown.jpeg)
Ngeleja atangaza kiama kwa watendaji
NA PETER KATUANDA, SENGEREMA
MBUNGE wa Sengerema (CCM), William Ngeleja, amecharuka na kutishia kuwang’oa baadhi ya watendaji watakaokwamisha na kuchakachua miradi ya maji wilayani Sengerema.
![](http://4.bp.blogspot.com/-oqA7vQY3_4s/U76q5EmucOI/AAAAAAAABV0/JYZH9pmcwyU/s1600/Unknown.jpeg)
Alisema hatakubali CCM ikose kura katika uchaguzi ujao kwa sababu ya...
11 years ago
Uhuru Newspaper01 Jul
HELSB yatangaza kiama kwa waajiri
NA MWANDISHI WETU
BODI ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HELSB), imewatangazia kiama waajiri watakaoshindwa kuwasilisha taarifa za watumishi waliokopa katika bodi hiyo.
Imesema haitakuwa na huruma na waajiri hao na kwamba itawafikisha mahakamani.
Mkurugenzi Msaidizi Urejeshaji Mikopo wa HELSB, Robert Kibona, alisema hayo jana mjini Dodoma katika kutano mkuu wa mwaka wa wakurugenzi wa Utawala na Raslimali watu serikalini.
Alisema tayari waajiri watano wamechukuliwa hatua kutokana na kushindwa...
10 years ago
Tanzania Daima06 Sep
Magufuli atangaza kiama kwa wakandarasi
WAZIRI wa Ujenzi Dk. John Magufuli ametangaza kiama kwa wakandarasi wa barabara watakaochelewa kukamilisha miradi ya barabara waliyopewa ikiwa ni pamoja na wale watakaojenga chini ya kiwango. Dk. Magufuli alitoa...
11 years ago
Mwananchi08 Mar
Mbeya yahaidi kiama kwa Rhino, Simba
9 years ago
Raia Mwema02 Dec
Dk. Tulia: Wasaliti watadhibitiwa
Katika toleo lililopita tuliwaletea mahojiano kati ya Naibu Spika Dk.
Waandishi Wetu
10 years ago
Mtanzania24 Apr
Mangula awashukia wasaliti CCM
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula amesema chama hicho kamwe hakitawafumbia macho viongozi wasaliti wasiokitakia mema chama hicho.
Amesema wanachama wake, wanatakiwa kuwafichua viongozi wa aina hiyo ili kukinusuru kisipoteze nafasi za majimbo na udiwani katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu.
“Endapo mwanachama au kiongozi, akibainika kufanya hujuma dhidi ya chama, atachukuliwa hatua kali ikiwemo ya kufukuzwa uanachama, CCM haina...