CHANGAMOTO YA FLORIDE BADO NI KUBWA ARUMERU
![](https://1.bp.blogspot.com/-nv-Uj_LIMT0/XoW5YxdsgCI/AAAAAAAAI8A/O99gkgiGZlIV44INsbplaCgauiUKjgDKACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200401_122502_249.jpg)
Mkurugenzi wa Ngauwsa akitoa Maelezo ya Mradi wa kutibu Floradi unaondeshwa na mamlaka ya maji Safi mji mdogo wa Ngaramtoni uliofadhiliwa na shirika la Maendeleo na misaada la Uingereza Uk aid kwa vijiji vitano vya Ngaramtoni kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Auwsa Mwanasheria Edward Mroso Jana wilaani Arumeru.
Sehemu ya tanki la maji Safi yaliotibiwa kwenye mradi wa vijiji vitano kuondoa floride kwenye maji uliofadhiliwa na Ukaid uliokabidhiwa kwa Auwsa Jana wilayani Arumeru picha zote na Ahmed...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo05 Apr
‘Ajira bado ni changamoto’
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amekiri kuwepo kwa changamoto ya ajira nchini kutokana na taasisi nyingi kukosa uwezo wa kuajiri hapa nchini.
10 years ago
BBCSwahili06 Jul
Umaskini bado changamoto kwa maendeleo
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
‘Unga’ changamoto kubwa viwanja vya ndege
MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege Tanzania imekiri kuwepo kwa changamoto kubwa ya upitishwaji wa dawa za kulevya katika viwanja vya ndege hasa cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam...
9 years ago
StarTV21 Dec
Upatikanaji wa walimu wa ufundi stadi bado changamoto
Ukosefu wa ajira ya moja kwa moja kutoka Serikalini kwa walimu wenye taaluma ya ufundi stadi, imeelezwa bado ni changamoto kubwa inayowakabili walimu hao, hatua inayosababisha baadhi ya vyuo vya Ufundi stadi nchini, kuajiri walimu wasio na sifa zinazojitosheleza katika kada hiyo.
Mpaka sasa Tanzania ina chuo kimoja pekee, kinachofundisha ualimu wa ufundi stadi, huku changamoto ya soko la ajira kwa wahitimu wanaomaliza katika chuo hicho bado halijatafutiwa utatuzi.
Tanzania iko katika...
10 years ago
Mwananchi11 Jul
Hongera Rais Kikwete, changamoto bado nyingi
9 years ago
StarTV02 Oct
Uhaba wa walimu, malipo, vitendea kazi bado changamoto
Changamoto zinazoikabili sekta ya elimu nchini zinachangia kurudisha nyuma sekta hiyo na kusababisha wanafunzi kutotambua mahitaji yao baada ya kuhitimu masomo.
Miongoni mwa changamoto hizo ni pamoja na uhaba wa walimu, uwepo wa mitaala isiyokidhi mahitaji ya kielimu, ucheleweshwaji wa malipo kwa walimu na uhaba wa vitabu na vitendea kazi mashuleni.
Changamoto nyingine ni mazingira magumu ya kazi kwa walimu, wingi wa idadi ya masomo kwa wanafunzi pamoja na urundikanaji wa watoto...
10 years ago
Habarileo11 Feb
Waziri: Ukeketaji bado ni tatizo kubwa
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba amesema ukatili wa kijinsia bado ni changamoto kubwa nchini ambapo suala la ukeketaji bado linatisha huku utafiti ukionesha kwamba kati ya wasichana watano, wawili wanaolewa kabla ya kufikisha umri wa miaka 18.
10 years ago
Dewji Blog21 Dec
Shule ya msingi Misufini yafikisha miaka 40, yakabiliwa na changamoto kubwa
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikagua Mazingira Mbalimbali ya Shule ya Msingi Misufini. kwenye Sherehe za Mazimisho ya Miaka 4o Tangu kuanzishwa Kwa Shule ya Msingi Misufini Iliyopo Manispaa ya Morogoro.Katika Maadhimisho Hayo Mbunge wa Jimbo Hilo alifanya Ukaguzi na Kuikuta Shule Hiyo Ikiwa Katika Hali Mbaya Vyumba vya Madarasa ni Chakavu,Havina Milango Wala Madirisha Licha Ya shulie Hiyo Kuafulisha wanafunzi kwa Kiwango Kikukbwa Ndani ya Wilaya ya Morogoro Mjini.
11 years ago
Habarileo26 Mar
Ugaidi bado ni tishio kubwa EAC - Kenyatta
RAIS wa Kenya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Uhuru Kenyatta amesihi nchi wanachama kushirikiana dhidi ya ugaidi na ujangili, kwa kuwa hakuna nchi yoyote inayoweza kujiona ipo huru zaidi kuhusu matukio hayo.
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10