Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chegeni adai kufanyiwa ‘figisufigisu’ Busega

Matokeo ya kura za maoni CCM yameendelea kukumbwa na vituko katika maeneo mbalimbali nchini ikiwamo kutokubali matokeo na kuharibu nyaraka za kura kutokana na malalamiko ya kuwapo mizengwe na upendeleo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Hatimaye Dk Chegeni ambwaga Dk Kamani Busega

Hatimaye kitendawili kilichokuwa kikisubuliwa kwa hamu na wananchi wa jimbo la Busega mkoani Simiyu, kimeteguliwa baada ya kamati ya siasa ya wilaya hiyo kumtangaza Dk Raphael Chegeni kuwa mshindi katika kura za maoni ndani ya chama.

 

9 years ago

Bongo5

Abdul Kiba adai kuitwa na kikosi cha Simba kufanyiwa majaribio

Abdul Kiba amedai ameitwa na klabu ya Simba ili kufanya majaribio ya kuichezea timu hiyo. Akizungumza na Bongo5 jana, Abdul Kiba alisema ikitokea atapewa nafasi ya kuichezea timu hiyo atacheza. “Yeah bana nimeitwa na Simba, mimi ni mchezaji sio kocha, kwahiyo ukisikia nimeitwa ujue ni kuhusu kucheza. Bado sijakaa nao chini na kuzungumza ila nikifanikiwa […]

 

10 years ago

Raia Mwema

Ngeleja, Chegeni wambeza Lowassa

WAZIRI wa zamani wa Nishati na Madini, William Ngeleja na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC

Christopher Gamaina

 

10 years ago

Mtanzania

Dk. Chegeni ambwaga Waziri Kamani

KamaniNA JOHN MADUHU, MWANZA

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Raphael Chageni, amembwaga Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani katika kura za maoni za kuomba kuteuliwa kuwania ubunge kwenye Jimbo la Busega mkoani Simiyu.

Hatua ya kushindwa kwa Dk. Kamani, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Simiyu, imemfanya aungane na mawaziri na manaibu waziri wa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete walioangukia pua katika mbio za kusaka kurejea katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chegeni awavaa viongozi mizigo

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Dk. Raphael Chegeni, amesema viongozi wanaoonekana kuwa ‘mizigo’ waliopewa dhamana ya kuwaongoza wananchi Wilaya ya Busega, Simiyu watekeleze vema wajibu wao. Dk....

 

10 years ago

Mtanzania

Dk. Chegeni atumwa kumshawishi Lowassa

EdwardLowassaNa Mwandishi Wetu, Mwanza

WAKATI vita ya kuwania nafasi ya kumrithi Rais Jakaya Kikwete ikipamba moto, baadhi ya wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanda ya Ziwa, wamemtaka Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, agombee urais katika uchaguzi mkuu mwaka huu.

Wananchi hao katika kutimiza dhamira yao, wamemtuma Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho Taifa, Dk. Raphael Chegeni, kwenda kumshawishi Lowassa ili awanie nafasi hiyo.

Mjumbe huyo wa NEC ya CCM, Wilaya ya Busega,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Chegeni aishukia kampuni ya madini

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Dk. Raphael Chegeni, ameitaka kampuni ya uchimbaji madini katika mgodi wa Ngasamo wilayani Busega, Simiyu kufuata sheria za nchi kwa kuwalipa fidia...

 

11 years ago

Mtanzania

Dk. Chegeni ataka ajira BoT zimulikwe

Mbunge wa zamani wa Jimbo la Busega  Mkoa wa Simiyu, Dk. Raphael Chegeni

Mbunge wa zamani wa Jimbo la Busega Mkoa wa Simiyu, Dk. Raphael Chegeni

NA JOHN MADUHU

MBUNGE wa zamani wa Jimbo la Busega  Mkoa wa Simiyu, Dk. Raphael Chegeni, ameitaka serikali kuchunguza ajira za ukabila, upendeleo na undugu katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa vile zimetajwa mara kadhaa kutolewa kwa watoto wa vigogo.

Ametoa kauli hiyo  siku chache baada ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kufuta ajira zaidi ya 200 zilizokuwa zimetangazwa na Idara ya Uhamiaji.  Ajira hizo zilidaiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani