Dk. Chegeni ataka ajira BoT zimulikwe
Mbunge wa zamani wa Jimbo la Busega Mkoa wa Simiyu, Dk. Raphael Chegeni
NA JOHN MADUHU
MBUNGE wa zamani wa Jimbo la Busega Mkoa wa Simiyu, Dk. Raphael Chegeni, ameitaka serikali kuchunguza ajira za ukabila, upendeleo na undugu katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa vile zimetajwa mara kadhaa kutolewa kwa watoto wa vigogo.
Ametoa kauli hiyo siku chache baada ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kufuta ajira zaidi ya 200 zilizokuwa zimetangazwa na Idara ya Uhamiaji. Ajira hizo zilidaiwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-xF0gMwVcEJI/VG4lHq_wCfI/AAAAAAAATk8/VI4Bp7QA_Ok/s72-c/02.jpg)
KINANA ATAKA UTARATIBU WA AJIRA SERIKALINI UANGALIWE UPYA
![](http://3.bp.blogspot.com/-xF0gMwVcEJI/VG4lHq_wCfI/AAAAAAAATk8/VI4Bp7QA_Ok/s1600/02.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya Liwale mkoani Lindi ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa kuna haja ya kubadilisha taratibu za ajira badala ya kuwa za kudumu ziwe za mikataba kwani itasaidia kufanya kazi kwa ufanisi.
![](http://3.bp.blogspot.com/-vIg0556k23I/VG4hJ-qOK-I/AAAAAAAATkg/K2ZmV2oL6UQ/s1600/4.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-lI4kFs-x02c/VG4fYeGu_NI/AAAAAAAATj4/cxvMZIWi5KA/s1600/05.jpg)
10 years ago
Mtanzania07 Aug
Dk. Chegeni ambwaga Waziri Kamani
NA JOHN MADUHU, MWANZA
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Raphael Chageni, amembwaga Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani katika kura za maoni za kuomba kuteuliwa kuwania ubunge kwenye Jimbo la Busega mkoani Simiyu.
Hatua ya kushindwa kwa Dk. Kamani, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Simiyu, imemfanya aungane na mawaziri na manaibu waziri wa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete walioangukia pua katika mbio za kusaka kurejea katika...
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Dk. Chegeni aishukia kampuni ya madini
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Dk. Raphael Chegeni, ameitaka kampuni ya uchimbaji madini katika mgodi wa Ngasamo wilayani Busega, Simiyu kufuata sheria za nchi kwa kuwalipa fidia...
10 years ago
Mtanzania16 Feb
Dk. Chegeni atumwa kumshawishi Lowassa
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
WAKATI vita ya kuwania nafasi ya kumrithi Rais Jakaya Kikwete ikipamba moto, baadhi ya wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanda ya Ziwa, wamemtaka Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, agombee urais katika uchaguzi mkuu mwaka huu.
Wananchi hao katika kutimiza dhamira yao, wamemtuma Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho Taifa, Dk. Raphael Chegeni, kwenda kumshawishi Lowassa ili awanie nafasi hiyo.
Mjumbe huyo wa NEC ya CCM, Wilaya ya Busega,...
10 years ago
Raia Mwema12 Aug
Ngeleja, Chegeni wambeza Lowassa
WAZIRI wa zamani wa Nishati na Madini, William Ngeleja na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC
Christopher Gamaina
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Chegeni awavaa viongozi mizigo
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Dk. Raphael Chegeni, amesema viongozi wanaoonekana kuwa ‘mizigo’ waliopewa dhamana ya kuwaongoza wananchi Wilaya ya Busega, Simiyu watekeleze vema wajibu wao. Dk....
10 years ago
Mwananchi04 Aug
Chegeni adai kufanyiwa ‘figisufigisu’ Busega
9 years ago
Mwananchi16 Aug
Hatimaye Dk Chegeni ambwaga Dk Kamani Busega
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Dk Chegeni: Bunge la Katiba lisitishwe kwanza lijipange