Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cheyo aikana ripoti ya Kamati Namba 11

Mjumbe wa Bunge la Katiba, John Cheyo juzi aliomba mwongozo wa mwenyekiti akidai kuwa taarifa iliyosomwa bungeni na Mwenyekiti wa Kamati namba 11, Anne Kilango ni tofauti na ile waliyoijadili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

9 years ago

Michuzi

KAMATI YA STARS YATOA NAMBA ZA UCHANGIAJI

Katibu wa Kamati ya Taifa Stars, Teddy Mapunda leo amefanya makutano na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wa TFF uliopo Karume, ambapo ametumia nafasi hiyo kutangaza namba za simu za uchangiaji kwa Watanzania kwa ajili ya timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’.Akizungumza na waandishi wa habari, Teddy amesema watanzania wanaweza kuichangia Taifa Stars kiasi chochote cha fedha kuanzia shilingi mia moja (TZS 100) kwenda namba 0654-888868 (Tigo Pesa) na 0789-530668 (Airtel Money)...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kamati yataka ripoti ya IPTL

KAMATI ya Uchumi, Viwanda na Biashara, imeitaka Serikali kuwasilisha taarifa ya uchunguzi wa sh. milioni 200 za IPTL katika vikao vya Bunge vinavyotarajiwa kuanza wiki hii, mkoani Dodoma. Akizungumza na...

 

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA KAMATI NAMBA 1 YA BUNGE LA KATIBA AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati Nambari 1 ya Bunge Maalum la katiba, Ummy Mwalimu (kulia) akizungumza na Waandishi wa habari baada ya kuongoza kikao cha Kamati hiyo kwenye Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma  leo Aprili 2, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

11 years ago

GPL

DAVID KAFULILA ALIVYOSHANGILIWA BAADA YA KUWASILISHA MAPENDEKEZO YA KAMATI YAKE NAMBA 5 JANA

Mwakilishi wa walio wachache katika kamati namba tano, Mhe. David Kafulila akiwasilisha mapendekezo ya walio wachache katika kamati yake na Deusdedit Moshi.
Mwakilishi wa walio wachache katika kamati namba tano, Mhe. David Kafulila katikati akishangiliwa na baadhi ya wajumbe baada ya kuwasilisha mapendekezo yao.…

 

11 years ago

Mwananchi

Kamati yakataa ripoti ya Jiji la Mwanza

Ripoti ya mapato na miradi ya maendeleo ya Jiji la Mwanza, imekataliwa tena na Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, baada ya ripoti hiyo kushindwa kufafanua jinsi mabilioni ya fedha yaliyotengwa kwa miradi ya maendeleo, yalivyotumuka.

 

11 years ago

Mwananchi

Ripoti za CAG, Kamati kuwang’oa mawaziri?

Kuna kila dalili kuwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na zile za Kamati za Bunge zinazosimamia fedha za umma, huenda zikawang’oa baadhi ya mawaziri

 

11 years ago

Habarileo

Kagasheki akosoa ripoti Kamati ya Tokomeza

ALIYEKUWA Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki, amekosoa ripoti ya Kamati ya Bunge ya Maliasili, Ardhi na Mazingira akidai ilikuwa ya upande mmoja kwani haikuonesha mauaji ya askari waliohusika katika Operesheni Tokomeza Ujangili. Aidha, ameshangaa walioshangilia kujiuzulu kwake na baadaye uwaziri wake kutenguliwa na Rais Jakaya Kikwete, akisema kujiuzulu ni jambo la kawaida na kwamba angejisikia vibaya kama angeondolewa wizarani kwa sababu za ufisadi au wizi wa mali za umma.

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge laanza kuchambua ripoti za Kamati

 Mkutano wa 14 wa Bunge, unaendelea mjini Dodoma leo. Inatarajiwa kwamba wabunge wataendelea kutema cheche dhidi ya utendaji usioridhisha wa baadhi ya mawaziri. Kwa mujibu wa ratiba ya mkutano huo, leo wabunge watachangia ripoti tatu za kamati za kudumu za Bunge zinazosimamia fedha za umma zilizowasilishwa wiki iliyopita.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani