Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMATI YA STARS YATOA NAMBA ZA UCHANGIAJI

Katibu wa Kamati ya Taifa Stars, Teddy Mapunda leo amefanya makutano na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wa TFF uliopo Karume, ambapo ametumia nafasi hiyo kutangaza namba za simu za uchangiaji kwa Watanzania kwa ajili ya timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’.Akizungumza na waandishi wa habari, Teddy amesema watanzania wanaweza kuichangia Taifa Stars kiasi chochote cha fedha kuanzia shilingi mia moja (TZS 100) kwenda namba 0654-888868 (Tigo Pesa) na 0789-530668 (Airtel Money)...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

PSPF YATOA ELIMU YA MFUKO KWA WAHESHMIWA MABALOZI, WAHAMASIKA WAJIUNGA NA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI

Hivi karibuni Mfuko wa Pensheni wa PSPF ulitoa semina kwa waheshimiwa Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali.
Katika semina hiyo iliyofanyika katika Hotel ya Ramada, jijini Dar es Salaam, Meneja Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa PSPF Costantina Martin alipata fursa ya kutoa mada juu ya PSPF.
Mada ya meneja huyo wa PSPF ilijikita katika maeneo yafuatayo; historia ya PSPF, wanachama wa PSPF, Mpango wa Uchangiaji wa Hiari, mpango wa lazima, mafao yatolewayo na PSPF, mikopo...

 

9 years ago

Vijimambo

NHIF YATOA “DARASA” KWA BLOGGERS WA TANZANIA KUHUSU UCHANGIAJI WA BIMA YA AFYA CHINI YA MPANGO WA “KIKOA”

 MKURUGENZI wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti MKURUGENZI wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti, akifafanua jambo wakati alipokuwa akiwasilisha mada juu ya mpango wa uchangiaji binafsi, KIKOA, wakati wa warsha ya siku moja iliyoandaliwa kwa pamoja kati ya NHIF, na Mtandao wa Bloggers Tanzania (TBN).Warsha hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu...

 

10 years ago

Mwananchi

Cheyo aikana ripoti ya Kamati Namba 11

Mjumbe wa Bunge la Katiba, John Cheyo juzi aliomba mwongozo wa mwenyekiti akidai kuwa taarifa iliyosomwa bungeni na Mwenyekiti wa Kamati namba 11, Anne Kilango ni tofauti na ile waliyoijadili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanaosaka namba Stars kutajwa kesho

MCHAKATO wa ung’amuzi wa vipaji kwa ajili ya maboresho ya timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, ulioshirikisha wang’amuzi wa vipaji zaidi ya 40 umekamilika jana na majina ya nyota...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

DAVID KAFULILA ALIVYOSHANGILIWA BAADA YA KUWASILISHA MAPENDEKEZO YA KAMATI YAKE NAMBA 5 JANA

Mwakilishi wa walio wachache katika kamati namba tano, Mhe. David Kafulila akiwasilisha mapendekezo ya walio wachache katika kamati yake na Deusdedit Moshi.
Mwakilishi wa walio wachache katika kamati namba tano, Mhe. David Kafulila katikati akishangiliwa na baadhi ya wajumbe baada ya kuwasilisha mapendekezo yao.…

 

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA KAMATI NAMBA 1 YA BUNGE LA KATIBA AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati Nambari 1 ya Bunge Maalum la katiba, Ummy Mwalimu (kulia) akizungumza na Waandishi wa habari baada ya kuongoza kikao cha Kamati hiyo kwenye Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma  leo Aprili 2, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

11 years ago

GPL

MAONI YA WAJUMBE 'WALIO WACHACHE' KATIKA KAMATI NAMBA NNE ILIYOWASILISHWA NA MHE. TUNDU LISSU!

UTANGULIZI
Mheshimiwa Mwenyekiti,
Sura ya Kwanza na Sura ya Sita ya Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (‘Rasimu’) ndizo msingi ambao Rasimu yote imejengwa juu yao. Wakati Sura ya Kwanza inagusa suala la muundo wa Muungano katika ibara moja tu kati ya ibara tisa, Sura yote ya Sita inahusu ‘Muundo wa Jamhuri ya Muungano.’ Suala la Muungano na hasa Muundo wake limetawala mjadala wa...

 

9 years ago

Mtanzania

Kamati Taifa Stars yavunjwa

Jamal+MalinziNA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM

KAMATI ya Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, jana imevunjwa rasmi baada ya kumaliza kazi yao iliyokuwa inawakabili ya kuhamasisha mechi dhidi ya Algeria.

Kamati hiyo iliyoundwa na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, ilikuwa na kazi ya kuhakikisha Taifa Stars inafanya vema kwenye michuano ya kuwania kufuzu  kwa kombe la dunia 2018 nchini Urusi.

Akizungumza  jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Farough Baghouzah,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani