Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chris Rock kusherehesha tuzo za Oscar 2016

Mchekeshaji na muigizaji wa Marekani Chris Rock, ametajwa kuwa host wa tuzo za Oscar mwezi February mwakani. Hiyo itakuwa mara ya pili kusherehesha tuzo hizo za filamu zinazoheshimika kuliko zote duniani. Tuzo hizo zitatolewa February 28 jijini Los Angeles. Mara ya kwanza Rock alihost tuzo hizo mwaka 2005. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Chris Rock ampa talaka mke wake wa miaka 20

Mchekeshaji na muigizaji maarufu wa nchini Marekani, Chris Rock amempa talaka mke wake aliyedumu naye kwa kipindi cha miaka 20. Malaak Compton-Rock alitoa maelezo Jumapili hii kupitia jarida la People akisema: “After much contemplation and 19 years of marriage, Chris and I have decided to go our separate ways.” “While recognizing that this is a […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Lupita Nyong'o anyakua tuzo la Oscar

Mwigizaji mashuhuri kutoka Kenya Lupita Nyong'o amenyakuwa tuzo la Oscars la mwigizaji msaidizi wa kike.

 

11 years ago

GPL

LUPITA NYONG'O ASHINDA TUZO YA OSCAR

Lupita Nyong'o akiwa na tuzo yake. Mwigizaji mahiri wa Kenya, Lupita Nyong'o amenyakua tuzo ya Oscar kupitia filamu ya ‘12 Years a Slave’ huko Los Angeles nchini Marekani.

 

10 years ago

Bongo5

Common na John Legend watajwa kuwania tuzo za Oscar

Common na John Legend wanaendelea kung’ara. Baada ya kushinda tuzo za Golden Globe, rapper na muimbaji huyo wametajwa kuwania tuzo za Oscar zijulikanazo pia kama Academy Awards. Wimbo wao ‘Glory’ uliotumika kwenye filamu ya Selma umetajwa kuwania kipengele cha Original Song. Majina hayo yalitangazwa Alhamis hii.

 

10 years ago

Michuzi

Julianne More na Eddie Redmayne washinda tuzo za uigizaji bora wa filamu za oscar

Mwigizaji  Julianne Moore ndiye mshindi wa mwaka huu wa waigizaji sinema wa kike na kushinda tuzo ya Oscar kwa kucheza vyema kwenye filamu ya "Still Alice."Usiku wa kuamka leo huko Marekani, Moore amewashinda Felicity Jones ("The Theory of Everyting"), Marion Cotillard ("Two Days, One Night"), Reese Witherspoon ("Wild") na  Rosamund Pike ("Gone Girl) katika kinyang'anyiro hicho.  Awali alipendekezwa mara tano kugombea tuzo hiyo ya juu katika tasnia ya sinema duniani, na ni mmoja wa waigizaji...

 

10 years ago

Vijimambo

WINDHOCK YAKUTANISHA MARAFIKI ROCK BOTTOM NDANI YA ROCK CITY

Meneja mauzo wa Kampuni ya Mabibo Beer Godfrey M. ambao pia ni wasambazaji wa bia ya Windhock, akitoa maelezo ya ubora wa bia hiyo kwenye hafla maalum iliyoandaliwa na kampuni hiyo mahsusi kwaajili ya kuwakutanisha marafiki na kufurahia uzuri wa kinywaji hicho. Mpango mzima ulifanyika ndani ya Club Rock Botton, Gold Crest Hotel jijini Mwanza.Kulia ni Meneja mauzo wa Kampuni ya Mabibo Beer Godfrey M. akifuatiwa na Maafisa wengine toka kampuni hiyo Rahim Kabyemela (katikati) na Mr. Okere...

 

11 years ago

Michuzi

Lupita Nyong'o kutoka kenya ashinda tuzo ya oscar ya muigizaji msaidizi bora wa kike

Muigizaji Lupita Nyong'o kutoka Kenya amenyakuwa tuzo ya Oscar ya mwigizaji msaidizi wa kike (Best Supporting actress) kwa uigizaji wake katika  filamu ya utumwa ya ''12 Years A Slave.'' leo  alfajiri mjini Los Angeles, Marekani.  Muigizaji  Will Smith ndiye aliyetangaza matokeo hayo, na baada ya kupokea tuzo hiyo kwa shangwe Lupita alifunguka na kusema: " Haikwepi mawazo yangu kwamba hata dakika moja ya furaha katika maisha yangu ni shukrani na maumivu makubwa kwa mtu mwingine.'' pia...

 

9 years ago

Mtanzania

Minaj apanga kukusanya tuzo 2016

nicki-minajNEW YORK, MAREKANI

MSANII wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Nicki Minaj, amesema kuwa mwaka 2016 atahakikisha anajikusanyia tuzo mbalimbali.

Mwanadada huyo ambaye bado anatamba na wimbo wake wa ‘Right to my side’, amesema mwaka huu amechukua tuzo mbalimbali lakini 2016 atahakikisha anaongeza idadi ya tuzo.

“Tunaumaliza mwaka 2015, nimefanikiwa kuchukua tuzo mbalimbali na sasa nimejipanga kwa ajili ya mwaka 2016 ambapo nitahakikisha najikusanyia tuzo nyingi zaidi ya 2015.

“Maandalizi...

 

10 years ago

GPL

CHRIS BROWN, NICKI MINAJ VINARA WA KUTAJWA TUZO ZA BET 2015

Chris Brown na Nicki Minaj wote wanawania tuzo katika vipengele 6. WANAMUZIKI Chris Brown na Nicki Minaj wameongoza kwa kutajwa mara nyingi katika vipengele vya kuwania Tuzo za BET 2015 kwa kila mmoja kutajwa mara sita. Nicki Minaj. Katika kipengele cha video bora ya mwaka, Brown ametajwa mara mbili kwa video zake za Loyal na New Flame.
Minaj naye yupo juu akitajwa katika vipengele sita kikiwemo cha video bora ya mwaka kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani