CORETHA AJIVUNIA PUB, NYUMBA
![](http://api.ning.com:80/files/Aaa76ACbkjINrdvQmcwj9dcBuDIkrRYDX4zjRrGnGnmI6c4PPO0QVR0UT8z7CfZQXhxgnZMAXE7SRAbJ9icXTgG3VIaERXn2/11.jpg)
Mayasa Mariwata/Risasi Mchanganyiko MSANII nyota wa filamu, Coretha Raymond ‘Koletha’ amesema anajivunia mafanikio yake kimaisha, ikiwemo kumiliki pub na nyumba, licha kwamba haijamalizika kujengwa. “Msanii nyota wa filamu, Coretha Raymond. Sina budi kujivunia mafanikio niliyonayo kutokana na shughuli zangu za sanaa, naishi vizuri hapa mjini, kilichonifikisha hapa ni malengo tu, maana wengine wanaambulia patupu kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo06 Apr
JK ajivunia miaka 10 ya mafanikio
SERIKALI ya awamu ya nne inajivunia mafanikio iliyoyapata tangu kuingia madarakani mwaka 2005 na kuweka msingi imara wa nchi katika kutekeleza Mkakati wa Maendeleo wa Mwaka 2025 ambao unalenga kuifanya Tanzania kuwa nchi yenye uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.
10 years ago
Mtanzania09 Sep
Phiri ajivunia chipukizi Simba
![Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Patrick-Phiri.jpg)
Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Simba, Mzambia Patrick Phiri, amesema anajivunia kuwa na kikosi bora na imara chenye wachezaji chipukizi ambacho kinajiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara, itakayoanza Septemba 20, mwaka huu.
Katika msimu huu wa ligi, Simba imesajili wachezaji wengi chipukizi na kuwaondoa wakongwe baada ya timu hiyo kupata matokeo mabaya katika msimu uliopita na kumaliza ikiwa katika nafasi ya nne.
Akizungumza na MTANZANIA jijini Dar...
10 years ago
Habarileo11 Sep
Mwekyembe ajivunia kufufua TRL
MOJA ya mafanikio ya wazi ya Serikali ya Awamu ya Nne katika usafirishaji, ni kufufuliwa kwa Shirika la Reli Tanzania (TRL), ambalo lilikuwa limekufa na kupoteza uwezo wake wa kiuendeshaji. Akizungumza katika semina ya madereva wa treni mkoani Dodoma jana, Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe alieleza namna shirika hilo lilivyokuwa hoi mwaka jana na kufafanua kazi iliyofanyika kwa muda mfupi kulifufua na matarajio yake.
10 years ago
BBCSwahili21 Jul
Nkurunziza ajivunia kuleta demokrasia
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Mpoto ajivunia ziara mikoani
MSANII wa muziki wa asili nchini, Mrisho Mpoto, amesema albamu yake ya ‘Waite’ imekuwa ikifanya vizuri sokoni hasa kupitia ziara yake katika mikoa mbalimbali kwani hadi sasa ameweza kuuza nakala...
9 years ago
Mtanzania16 Dec
Sarah ajivunia kuwaremba wasanii
NA GEORGE KAYALA
MREMBO aliyebahatika kukubalika kwa wasanii wa filamu za Kibongo, Sarah Mapunda, amesema kuwa ana kila sababu ya kujivunia kazi ya kuwaremba waigizaji hao kwa kuwafanyia ‘makeup’ ili wawe na mwonekano
mzuri.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Sarah alisema kuwa karibu waigizaji wote wa filamu nchini wamekuwa wakitegemea huduma yake ya make-up na kwa kiasi kikubwa imemfanya aendeshe maisha yake bila kutetereka, hiyo imetokana na wahusika kumkubali.
“Najivunia kufanya kazi ya...
9 years ago
Mwananchi18 Nov
Maguli ajivunia kucheza na Samatta
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Dullayo ajivunia kipaji chake
MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abrahaman Kasembe ‘Dullayo’, amesema anajivunia kipaji alichonacho kwani hakiwezi kuchuja kama inavyokuwa kwa wasanii wengine. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Dullayo alisema,...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Mtitu ajivunia mafanikio 2013
MKURUGENZI wa kampuni ya kizalendo ya 5 Effects Film, William Mtitu, amejivunia mafanikio aliyoyapata mwaka 2013 kwa kufanikiwa kutoa filamu tatu ambazo zote zinafanya vizuri sokoni, huku mapema mwezi huu...