Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


COSTECH yamwezesha Mbunifu wa umri wa miaka 80 katika kutengeneza nishati ya umeme wa sumaku

  Mzee Salvatory Magayana akimuelekeza mjuukuu  wake (mwenyekofia) nanna ya kuunganisha mtambo wa kuzalisha umeme kwa kutumia nguvu za sumaku.Mwalimu wa Ufundi chuo cha Ufundi VETA Mwanza, Lawrence Mashindano (wa kwanza kushoto) akimwelekeza Mzee Salvatory Magayana namna yakutumia mashine za kisasa katika kuboresha mtambo wake wa kuzalisha umeme wa nguvu za sumaku.
TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) yamwezesha Mbunifu mwenye umri wa miaka 80 katika kutengeneza nishati ya umeme...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

COSTECH yamwezesha Mbunifu kutengeneza mashine ya kuchenjua dhahabu

 Mbunifu George Mkama  akiwaonesha mashine ambayo ameibuni kwaajili ya kuchenjulia dhahabu.
TANZANIA ni nchi ya nne kwa uchimbaji wa dhahabu Afrika huku ikitajwa kuwa na hazina kubwa ya madini mengine kama vile Almasi na Tanzanite.
Kwa miaka mingi, kabla sheria ya madini haijafanyiwa marekebisho bado, kwa mwaka 2017, Sekta hiyo ilikuwa inachangia chini ya asilimia tano kwenye pato la Taifa.
Kwa sasa mipango ya serikali ni kuifanya sekta ya madini  ichangie kwenye pato la Taifa kwa asilimia 10...

 

5 years ago

Michuzi

COSTECH yamwezesha Mbunifu kutengeneza mashine inayoweza kupima magonjwa ya moyo

 Mbunifu wa mashine ya kupima magonjwa ya Moyo, Janeth Henry Tilya. Mbunifu Janeth Henry Tilya akionesha waandishi wa habari (hawako pichani)namna  mashine inavyofanya kazi.

Na COSTECHTAKWIMU za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonesha kuwa kila mwaka wastani wa watu milioni 58 hupoteza maisha duniani kote. Vifo vya watu milioni 41 sawa na asilimia 71 ya vifo vyote kwa mwaka husababishwa na magonjwa yasiyoambukiza yakiwemo magonjwa ya moyo, kisukari, figo na shinikizo la damu.
Magonjwa ya...

 

5 years ago

Michuzi

COSTECH yamwezesha Mbunifu wa matofali yanayotengenezwa kwa kutumia taka ngumu

Na COSTECH
Takwimu kutoka kampuni in inayojihusisha na mikopo ya Nyumba Tanzania (TMRC) zinaonyesha kuwa Tanzania ina upungufu wa nyumba milioni tatu. Takwimu hizo pia zinaonyesha  kuwa nchini Tanzania kila mwaka kuna ongezeko la mahitaji ya nyumba 200,000. Sababukubwa za ongezeko la mahitaji ya nyumba nchini ni pamoja na gharama kubwa ya vifaa vya ujenzi.Gharama kubwa ya vifaa vya ujenzi inasababisha wananchi wengi kuishi kwenye nyumba zisizo bora kwani hujenga nyumba zao kwa kutumia vifaa...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YAFANYA ZIARA KATIKA MITAMBO YA KUFUA UMEME YA KINYEREZI 1

Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Wanja Mtawazo ( kulia) akisalimiana na Mbunge wa Lulindi- Masasi, Jerome  Bwanausi ( kushoto) ambaye ni mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini mara baada ya kamati hiyo kuwasili katika eneo la mtambo wa kufua umeme wa Kinyerezi I. Kamati hiyo inafanya ziara katika miradi ya umeme katika mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Singida, Arusha na Kilimanjaro pamoja na kuzungumza na wadau wa madini ya...

 

5 years ago

Bongo5

Jocktan Makeke: Mbunifu wa Tanzania anayetumia ngozi, mifupa, miti, makopo na vingine kutengeneza nguo

Kabla wakoloni hawajaja Afrika na kututawala, mababu zetu walikuwa wakiishi kwa kutegemea mazingira yanayowazunguka.

Mavazi waliyovaa, yalitokana na miti na vitu vingine vya asili. Baada ya mkoloni kuja na kudai kuleta ustaarabu Afrika, mengi yalibadilika. Tukipeleka mbele hadi mwaka 2017, asilimia zaidi ya 90 ya nguo ambazo Watanzania tunavaa, ni zile zilizotengenezwa nje na nyingi huja kama mitumba.

Mbunifu wa mavazi/Msanii wa mitindo, Jocktan Makeke ana jicho la tofauti katika namna...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFANYA ZIARA KATIKA MKOA WA SIMIYU KUKAGUA MIRADI YA UMEME NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akipokelewa na baadhi ya watendaji kutoka Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Kanda ya Ziwa na Nishati na Madini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza. Profesa Muhongo anafanya ziara katika mikoa ya Simiyu, Tabora na Shinyanga lengo likiwa ni kukagua miradi ya umeme vijijini inayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Taneesco.Mkazi wa kijiji cha Ihale kilichopo wilayani Busega mkoani Simiyu...

 

10 years ago

Michuzi

TANESCO IMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA YA UTOAJI WA HUDUMA YA UMEME NCHINI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 10 -MHANDISI MRAMBA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme (Tanesco),Mhandisi Felchesmi Mramba akizungumza na waandishi wa habari juu ya mafanikio ya miaka 10 ya shirika hilo katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo leo jijini Dar es Salaam.Sehemu ya waandishi wa habari wakifatilia taarifa ya Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco,hayupo pichani katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo leo jijini Dar es Salaam.
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
SHIRIKA la Umeme (Tanesco) limesema kuwa limepata mafanikio katika kipindi cha miaka...

 

9 years ago

BBCSwahili

Umri ni miaka 26 lakini umbile ni miaka 10

Kutana na Hyomyung Shin,raia wa Korea anayeugua ugonjwa nadra wa 'Highlander Syndrome' unaomzuia kuzeeka !

 

5 years ago

BBCSwahili

Israel Habimana: Raia wa Rwanda aliyeuza mali yake kutengeneza bwawa la umeme kwa wanakijiji

Israel Habimana aliuza mali yake kutengeneza umeme unaotumika na familia 200 licha ya kwamba hakusoma

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani